Wameona mambo ni mengi sana Mtandaoni wananchi wanakabia juu kwa juu, sasa kazi ni kufanya brain washing kwa vijana wanaotoka kambini na kurejea mtaani
Natumai mmewaambia namna ya kuja kupambana na mafisadi wanaorudisha nyuma maendeleo ya nchi yao
---------------
Vijana kote nchini Pamoja na...
Saivi sio ajabu kukuta mlinzi yupo lindoni lakini kaweka bunduki yake pembeni anachat au kajisahau mazima kwenye tiktok au Instagram
Mfagizi kaegemea ufagio au mopa anachat WhatsApp
Nesi au daktari kaacha majukumu yake badala yake anasosholaizika kwanza huku anachekacheka wakati kuna msururu...