DODOMA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeonesha kuridhishwa na utekelezaji wa majukumu ya Tume ya Taifa ya Matumizi ya Ardhi, huku ikisisitiza umuhimu wa kukamilisha hatua zote za upangaji wa matumizi ya ardhi.
Kauli hiyo imetolewa leo, Oktoba 22, 2026, jijini Dodoma...