Hakuna kifurushi cha data kupotea tena! ICASA sasa inawataka waendeshaji wa kampuni za simu za mkononi ambazo huuza vifurushi vya kulipia kabla (prepaid) ambavyo havijatumika visipotee bure.
Muda wa kuisha kwa data ya simu umekuwa mada yenye utata kwa muda mrefu, hasa kwa watumiaji wa kulipia...
Kwa wale watumiaji wa mtandao wa Vodacom ambao bado hamjasanuka basi nawasanua unaweza kupunguza spidi ya intaneti yako ili kuzuia bado kuisha haraka.
Kwa kawaida usipo-limit matumizi ya spidi basi Vodacom wanakuwezesha kuperuzi kwa spidi ya hadi 100Mbps. Hii ni spidi ya hatari kwa bando lako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.