matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Matumizi ya dawa za palizi!

    Habarini Wanajf Naomba kuelekezwa namna ya matumizi ya dawa za kuangamiza magugu sinazofahamika kama palizi. Nimelima alizeti maeneo ya Dodoma. Mimea ya Alizeti ilikuwa na magugu, nikaelekezwa kuwa nikipiga dawa mimea inabaki halafu magugu yanakauka. Hivyo nikapuliza dawa hiyo shambani lakini...
  2. D

    Je, wajua toilet paper na tissue zina matumizi tofauti?

    Toilet paper na tissue paper hata kama baadhi ya wakati hutengenezwa kwa maumbo sawa, hazifanani matumizi. Toilet paper imetengenezwa kuyeyuka haraka majini, hivyo kuifanya iwe salama kwa mabomba na mifumo ya maji taka. Toilet paper imetengenezwa kwa makusudi ya kujisafisha baada ya kutumia...
  3. Mhaya

    Mtandao wa facebook na Instagram haupatikani

    Mtandao wa facebook umeshindwa kufanya kazi mida hii na kupelekea Watu kushindwa ku-login Mimi binafsi nimetumia Facebook lite imekataa nikatumia Google chrome nayo imekataa
  4. Msanii

    Serikali isipuuze tamko la APHFTA kusitisha matumizi ya bima ya NHIF kutibiwa hospitali binafsi. Yanazungumzika

    Tangu Mwenyekiti wa Vyama vya Watoa Huduma Binafsi za Afya nchini (APHFTA), Dk Egina Makwabe atangaze azimio la vituo vyote vya afya kutaendelea kutoa huduma kwa wagonjwa wapya wa bima ya NHIF kuanzia Machi 1, 2024, hakuna response yeyote kutoka upande wa serikali kuhusu tamko hilo. Je, tuamini...
  5. Papaa Mobimba

    Je, ndio mwisho wa Paul Pogba kisoka? Afungiwa kutojihusisha na soka kwa miaka 4 kutokana na matumizi ya dawa za kusisimua misuli

    Paul Pogba ambaye atatimiza umri wa miaka 31 mwezi Machi mwaka huu amefungiwa kutojihusisha na soka kwa miaka minne kutokana na matumizi ya dawa za kusisimua misuli. Mpaka adhabu yake iishe atakuwa ametimiza umri wa miaka 35, umri ambao wachezaji wengi wanatundika daluga. Mchezaji huyo mwenye...
  6. Kaluluma

    Kuna uhusiano wowote wa tumbo kubwa kwa mwanamke na matumizi ya vijiti au njia za uzazi wa mpango?

    Habari za leo wakuu, Nasikia watu mtaani wakisema matumizi ya njia za uzazi wa mpango kama kuweka vijiti huchangia wanawake kuwa na matumbo makubwa, Je, wataalamu, Kuna ukweli wowote katika hili?
  7. K

    Ushauri kwa watawala kuhusu matumizi yasiyo ya lazima sana

    Kila kukicha tunashauri tubane matumizi katika kila eneo, sasa mimi nikiwa mwanchi wa kawaida kabisa nashauri yafuatayo kwa Watawala kuhusu kupunguza matumizi makubwa ya Serikali. (1) Wananchi tumeshuhudia misafara mikubwa ya magari ya umma yakisindikiza misafara ya Viongozi Wakuu mfano Mhe...
  8. S

    Upungufu wa dola nchini: Je, haiwezekani sababu ni kupungua kwa fedha za wafadhili kama sio matumizi ya dola katika kulipa madeni ya nje ya nchi?

    Japo mimi sio mtaalamu wa mambo ya kifedha, lakini napata wasiwasi kuwa sababu ya upungufu wa dola hapa nchini inaweza kusababishwa na ama kupungua kwa fedha za wahisani kama sio matumizi ya dola katika kuhudumia deni la taifa sababu ambazo zinaweza kuwa ni ngumu kuziweka hadharani iwapo kweli...
  9. K

    Je, matumizi ya miti shamba kiholela yanaharibu figo?

    Swali kwa wataalamu: Je, matumizi ya miti shamba kiholela yanaharibu figo? Nauliza kwasababu wagojwa wa figo wameongezeka sana Tanzania
  10. Kaka yake shetani

    Matumizi ya utambuzi wa muziki MP3 yanaelekea kupunguzwa na mfumo wa FLAC

    Kwa wale wapenda mziki wa mfumo digitali baada ya kutumia teknolojia ya wave audio na mpaka kufika kwenye mfumo wa mp3(MPEG-1 Audio Layer III or MPEG-2 Audio Layer II) ambayo formati hii ilisaidia kupunguza ukubwa wa data wa sauti ili ubaki kwenye quality ile ile. Teknolojia inazidi kukuwa...
  11. Mjanja M1

    Naibu waziri wa Afya: Tuhamasishe matumizi ya P2

    Akijibu swali la Mbunge Thea Ntara ambae aliuliza, "Hili suala sasa hivi linatisha, mabinti wanatumia hizo P2 kama unavyotumia panadol yaani hakuna utaratibu, tutafika wakati mabinti hawa hawataweza kupata watoto, je serikali ina mpango gani wa kutoa elimu kwa hao mabinti ili wajue matumizi ya...
  12. mwanamwana

    Baraza la Famasi nchini latoa tahadhari juu ya matumizi holela ya dawa za macho kutibu 'red eyes'

    Baraza la Famasi imesema limekuwa likifuatilia mwenendo wa utoaji wa dawa za macho kwenye baadhi ya maduka ya dawa Nchini ambapo limebaini utoaji holela wa dawa za matone za macho zenye viambata vya antibiotic na steroid kwa Wagonjwa wa Red Eyes wanaofika kupatiwa huduma kwenye baadhi ya maduka...
  13. P

    Kutumia condom ambayo ilikuwa expired mwezi huohuo, unaweza ambukizwa?

    Kuna mtu anauliza, Kama alishiiriki sex mwezi December , na mtu kwakutumia condom ambayo ilikuwa expired mwezi huohuo yaan mwezi December Je Kama huyo MTU Ana maambukizi anaweza kuambukizwa??
  14. Maleven

    BAKWATA naomba mtusaidie hili la matumizi ya speaker swala ya asubuhi

    Sasa kwa mfano hapa, wameshatoa azana kisha wameamua kuweka audio ya sheikh anazungumzia mambo ya ndoa ya ndani kabisa, kwa nature ya audio inaonekana kilikua cha wanawake tu tena watu wazima ila hapa imewekwa kwa nguvu kabisa1 asubuhi hii. Mbona misikiti mingine hawafanyi hivi? Mbona waislam...
  15. A

    DOKEZO Waziri Jerry Silaa, imekuwaje Kituo hiki cha Mafuta kinafanya kazi wakati ulisimamisha matumizi yake?

    Habari Wakuu? Nimepita Mitaa ya Mikocheni leo na kukuta Kituo cha Mafuta cha Barrel kilichopo Mikocheni kinaendelea kufanya kazi ikiwa ni takriban mwezi mmoja tangu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa kusimamisha matumizi ya Kituo cha Mafuta cha Barrel Petrol Energy cha...
  16. Money Penny

    Usinipangie matumizi ya sehemu zangu za siri asikika bikra akilalamika

    Nipo zangu mlimani City kwenye manbo ya kushuti Content za youtube channel yangu Tukiwa break mara wakaja wadada wawili buana mazungumzo yao yalikuwa hivi Dada wa kwanza: my dia usipotoa kwa wanaume hata kidogo wakuonje onje hautaolewa, Dada wa pili (bikra): kwahiyo mwenzetu wewe ulitoa kwa...
  17. X

    Nimechoka kujifanya najua, hebu tusaidiane hapa

    Naombeni matumizi sahihi ya iko na ipo au tuko na tupo. Ukitoa maelezo na mfano wa sentensi itakuwa vizuri zaidi
  18. j_h_kirigini

    Kuzuiliwa kwa matumizi kamili ya huduma za saa janja nchini

    Habari za muda huu wanajamvi. Naenda moja kwa moja kwenye mada.. Mpaka hivi leo matumizi ya saa janja za mkono (smart watch) yameongezeka sana hapa nchini na maeneo mengine duniani, hali hii imetokana na kuongezeka kwa uelewa juu ya teknolojia inavyoweza kusaidia kwenye maisha ya kila siku...
  19. Mwamuzi wa Tanzania

    Pesa ya lodge wewe, pesa ya chakula na vinywaji wewe, mkimaliza kuzini pesa ya nauli wewe, pesa ya matumizi wewe. Kijana, tafakari una akili timamu?

    Ngono ni kitu kinachotukuzwa sana bila ya sababu za msingi. Mwanadamu ana matamanio makuu 3. 1. Kufanya ngono 2. Kula na 3. Kutawala (kuwa kiongozi, kumiliki mali na vitu vizuri). Kijana amepata kibarua siku analipwa posho yake anahaha kutafuta kabinti wakale kahela kake ambako ni kadogo. Ila...
  20. Satirical Yet Awesome

    China yavunja na kubomoa misikiti kwa ajili ya matumizi ya kiserikali

    Hongera China kwa hiki mnachokifanya, hakika nchi yenu itabaki na amani kwa kudumisha tamaduni na dini zenu. Endeleeni na hizohizo dini zenu za Confucianism and Buddhism, waachieni waarabu na tamaduni zao. Chinese authorities have decommissioned, closed down, demolished, and converted mosques...
Back
Top Bottom