Kichwa cha habari chajitosheleza...Yaan mwanamke hubaki kusikiliza mwanaume ameamua nini...Huwa hawajali kabisaa,awe msomi, mwanafunzi, mke wa mtu na n.k..
Wenyewe hubaki kusikiliza mwanaume kaamua nini ...
Muda na Nguvu za Kumuonyesha Mbwembwe za Kishamba za Kimedani Adui yako Genius wa Afrika upo ila wa Kutumia Akili Kubwa ya Kuhifadhi Maji mengi yanayozagaa Mkoani Morogoro kutokana na Mvua na Mafuriko ili yaje kuwa Msaada kwa Wakulima Kipindi cha Ukame hatuna.
Mama Samia hongera kwa kazi nzuri.
Kwa hayo niliyotaja hapo juu yalifanywa na Magufuli bila kutushirikisha private sector. Nakuomba ubinafsishe Kwa private sector ili Selikari ikusanye mapato na kulipana posho nzuri huku tukihakikisha wananchi wa vijijini wenye nyumba za ovyo wanalipia pango la...
Mbunge Lugangira: Matumizi ya Mitandao Katika Uchaguzi Yaingie Katika Sheria
MBUNGE wa Viti Maalumu, Neema Lugangira ameshauri Mswada wa Sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi uwe na Ibara inayoongelea masuala ya Matumizi ya Mitandao katika Uchaguzi ikiwemo (Akili Mnemba - AI).
Lugangira ametoa...
dah sijui nafanya nini mimi jamani.pesa ambayo ilikuwa ya matumizi ya nyumbani na nauli ya mdogo wangu kwenda shuleni niliingia ushawishi nikaipeleka kwenye forex.
najuta sijui ntafanya nini mimi na sina sehemu ya kukopa sina mchele wala unga ndani,upumbavu wangu mimi kuipeleka laki tatu yote...
Wakati mzuri wa kushauriana
wapo wanaofurahia Jan na wengine wameanza kulala jana bar nk
Nawakumbusha mwaka tu ndio umebadilika changamoto ni zile zile ulizotoka nazo hulo
Jifunze kutunza pesa kutumia pesa kwa heshima
Alldbest
Dar es Salaam watu Wanafanya kazi maeneo Mbalimbali.
Sehemu ambayo mtu anaishi na anakofanyia Harakati zake za kiuchumi anatumia usafiri kurudi Nyumbani.
Na Kila nikitazama Matukio ya watu kupigwa mtaani.
Kuna Dada anauza Miogo usiku kuazia saa Moja usiku mpaka saa 4.
Amepigwa ktk Mbavu. Na...
Wakuu, pamoja na kuwa kila mtu na maisha yake na life style yake lakini ni vema kukumbushana kuwa na tahadhari kwenye matumizi ya Fedha.
Bila hivyo kuna mambo yataparangana Januari au hata miezi mitatu ya mwanzo mwaka 2024.
Tule bata ila kwa mipango
Kuambatisha picha katika habari yoyote ni muhimu katika kuongeza uelewa na kufafanua tukio au taarifa fulani.
Ili kutumia picha katika kutoa taarifa kuhusu jambo fulani, unapaswa kuzingatia uhalali wa hiyo picha, uwiano wa picha hiyo na tukio unalokusudia kulitolea taarifa au kulifafanua...
Wakuu salamu kwenu, Heri ya mwaka mpya 2024.
Sasa wakuu, nahitaji kununua oven kwa ajiili ya matumizi ya familia ya watu 6-8.
Ni oven kampuni gani nzuri itanifaa na za ujazo wa litre ngapi?
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye, amesema Tanzania imefanikiwa kupata nafasi katika 'Obiti' ambayo ni Nyuzi 16W itakayowezesha Matumizi ya Eneo la Anga Kidigitali ikiwemo urushaji wa Satelaiti.
Endapo Urushaji wa Satelaiti utafanyika, Tanzania itaongeza uwanda...
Wabunge nchini Marekani wamepiga kura kukosa imani na Rais wao Joe Biden kwa malalamiko ya kwamba Rais anatumia madaraka yake kula rushwa, kutakatisha fedha na familia yake kuwa na utajiri wa mabilioni huku vyanzo vikitiliwa mashaka.
Matokeo ya kura, Wabunge 221 wameunga mkono, wabunge 214...
Haiwezekani Second on Top nationa l ranking administratively/power atoke nchini for 30 days halafu uwaambie wenye akili eti alikuwa kwenye kazi maalum. Watu si wajinga wajue!
1. Mnaficha gharama z safari be it matibabu or else other bussiness
2. Mnaficha ugonjwa
Yatajulikana maana huko...
https://youtu.be/FHNY4s5ekxk
"Mnamo saa kumi na mbili asubuhi, nilikuwa nimelala ndipo mume wangu aliponiamsha, akiuliza, 'hilo si tetemeko la ardhi?' Mimi na watoto wetu tulianza kukimbia nje, lakini tulijikuta tumezungukwa na matope kila mahali, na yalianza kutuburuta. Tulikwama kwa saa...
Nilishawahi kutumia sabwoofer ya boss ikazingiua baada ya miezi 3 nikanunua sean piano nayo baada ya miezi sita yaleyale uwezo wa kununua home theater sina je naweza nunua sabwoofer gani ambayo inaweza kudumu hata miaka miwili bila tatizo
Salaam wana JF,
Niende direct kwenye point. Tanzania imepeleka watu 736 katika mkutano wa mabadiliko tabia ya nchi huko Dubai #Cop28
Msafara ambao unajumiasha viongozi,wafanyabiashara,makatibu,wasaidizi nk.. Je nani anagharamia tiketi? Maradhi? Posho? Za kwenda na kurudi mpaka mkutano huo...
Ubongo ni kiungo muhimu katika Mwili wa Binadamu ambacho baadhi ya tafiti zinakitaja kuwa kama 'Msimamizi Mkuu' wa utendaji kazi wote wa Mwili.
Ili kiungo hiki kifanye kazi kwa usahihi, ni muhimu kutofanya vitu vinavyoweza kuathiri utendaji wake ikiwemo Kufanya Mazoezi ya Mara kwa Mara na...
Mwaka 2023: Mabadiliko Makubwa katika Mchakato wa Uchaguzi Kupitia Teknolojia ya Dijitali
Katika miaka ya hivi karibuni, mchakato wa uchaguzi na shughuli zinazohusiana nao umepitia mabadiliko makubwa, yaliyosukumwa na maendeleo ya teknolojia ya dijitali. Hali hii imeleta mazingira mapya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.