matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    SoC04 Matumizi ya Akili Bandia katika Sekta ya Afya ya Tanzania

    Karatasi ya Dhana(Concept paper): Matumizi ya Akili Bandia katika Sekta ya Afya ya Tanzania 1. Utangulizi Sekta ya afya nchini Tanzania inakabiliwa na changamoto nyingi, ikiwa ni pamoja na upatikanaji mdogo wa huduma za afya bora, rasilimali chache za matibabu, na upungufu wa wataalamu wa...
  2. S

    Matumizi sahihi ya dawa za kupunguza makali ya VVU yanaondoa kabisa uwezekano wa kumwambukiza mwenza wako wa kingono

    Ukiwa unaishi na maambukizi ya virusi vya UKIMWI (VVU) na ni mtumiaji mzuri wa dawa za kupunguza makali ya VVU, na kufikia kiwango cha kufubaza virusi vyote, kitaalam undetectable viral load, na ukawa unaendelea kutumia dawa za kufubaza virus -ARVs, basi jua huwezi kabisa kumwambukiza mshirika...
  3. NESARA1952

    Jinsi ya kuishi na Mwenza mwenye maambukizi ya VVU au UKIMWI

    Habari wakuu Uzoefu: Nimeishi na mwenza mwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi tukiwa katika mahusiano ya muda mrefu sana kwa takribani miaka 5 (2014-2019), katika kipindi chote hiki tulishiriki vyema mambo yote hata yale ya kujamiana na sote tulifurahia, kwasasa tumeachana lakini sina...
  4. B

    Wakuu Naombeni ushauri kuhusu matumizi ya mouth spray

    Haribani wana jf naombeni ushauri juu ya matumizi ya mouth spray. Na niipi nzuri Kwa matumizi 🙏
  5. Miss Zomboko

    Mei 31: Siku ya Kimataifa ya kuzuia Matumizi ya Tumbaku

    Siku ya Kimataifa ya Kuzuia Matumizi ya Tumbaku huadhimishwa kila mwaka tarehe 31 Mei. Siku hii ina lengo la kuongeza uelewa kuhusu madhara ya kiafya, kijamii, na kiuchumi yanayosababishwa na matumizi ya tumbaku.
  6. X

    CHINA: BYD waweka rekodi mpya wazindua gari linaloweza kwenda zaidi ya km 2000 bila kuongeza mafuta wala kuchaji na matumizi kidogo sana ya mafuta

    Kampuni ya kutengeneza magari ya BYD imezindua gari la mfumo wa Plug-in Hybrid Electric Vehicle (PHEV) PHEV ni magari ambayo yana mifumo miwili umeme na mafuta. Kwa maneno rahisi kama chaji kwenye battery imeisha unatumia mafuta and vice versa. Model hiyo imepewa jina la BYD Qin L. Ukijaza...
  7. P

    SoC04 Matumizi ya nishati safi kwa matumizi ya kupikia na viwandani kwa maendeleo ya Tanzania

    Nishati ni ule uwezo au nguvu ya kufanya kazi inayoleta matokeo Fulani ambayo yanaweza kuwa chanya au hasi, nishati imegawanyika katika makundi makuu mawili ambayo ni nishati safi na nishati chafu. Nishati isiyo safi ni aina ya nishati ambayo husababisha madhara ya kimazingira mara baada ya...
  8. Z

    SoC04 Matumizi ya taasisi za Mawasiliano na mifumo ya Kidijitali kama njia ya mawasiliano (kutoa taarifa) kati ya wananchi na viongozi

    UKUAJI WA SEKTA YA MAWASILIANO NCHINI Namshukuru Mwenyezi MUNGU kwa kunipa fursa ya kuchangia mawazo muhimu yatakayosaidia TANZANIA yetu katika miaka 5-25 ijayo, kupitia Jamii forums. Dunia ya sasa imetawaliwa na mifumo ya utandawazi kupitia teknolojia ya viwango vya juu ya matumizi ya mtandao...
  9. Janeth Thomson Mwambije

    Kuendeleza hamasa ya matumizi ya nishati safi ya kupikia

    Miongoni Mwa Utekelezaji Unaoendelea Kufikiwa na Serikali Ya Awamu Ya Sita, Ni Ufikiaji wa Asilimia Kubwa Ya Matumizi Ya Nishati Safi Ya Kupikia. Na Kwa Kutambua Umuhimu Wake, Nilifanikiwa Kutembelea Kampuni Ya Utengenezaji - Majiko, Ya, "Envotec", Inayotengeneza Majiko Kwa Kuzingatia Usalama wa...
  10. Kasongo_2024

    Matumizi ya kuni na mkaa

    Serikali imejipanga vipi kuhakikisha mwananchi wa kawaida anatumia gesi au umeme kupikia? Je, huu uamuzi wa serikali kuwataka wananchi kutumia gesi badala ya kuni na mkaa, imefanya tathmini ipi na kugundua kuwa wananchi wa kawaida wanaweza kumudu gharama za matumizi ya gesi? Kama serikali ina...
  11. De Rama Msirikale

    SoC04 Matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii na vyombo vya mawasiliano kuhamasisha kuleta maendeleo nchini kwa miaka 5 hadi 25 ijayo

    **Makala: Matumizi Sahihi ya Mitandao ya Utangulizi Katika dunia ya leo, mitandao ya kijamii na vyombo vya mawasiliano vinachukua nafasi muhimu sana katika kuendesha mabadiliko ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Tanzania, kama sehemu ya jamii ya kimataifa, ina nafasi kubwa ya kutumia vyema...
  12. F

    SoC04 Matumizi ya Tuzo ya Milioni 50 kutoka Jamii forums kwa Maendeleo Binafsi na ya Nchi kwa Miaka 25 Ijayo

    Utangulizi Kushinda shindano la "Stories Challenge" na kuibuka mshindi wa shilingi milioni 50 ni tukio la kipekee linaloweza kubadili maisha. Malipo haya ni fursa adhimu ya kuweka msingi imara wa maendeleo binafsi na ya nchi. Katika makala hii, nitaelezea jinsi ninavyoweza kutumia fedha hizi kwa...
  13. K

    DOKEZO Matumizi mabaya ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Kakokonko

    Habari za jioni watanzania wenzagu. Leo nimepokea taarifa kutoka kwa mtu wangu wa karibu aliyeko kigoma na kunihadithia matukio ya kuttisha na nimeona nilete hapa wa watalam tusaidiane. Kwanza ameanza kwa kunitumia ujumbe ulioandikwa na mwananchi wa kawaida nami naomba niuweke hapa wote...
  14. A

    DOKEZO Nimefuatilia suala la matumizi ya Elimu Bila malipo kiukweli Serikali ifuatilie kwa kina, kuna kitu…

    Nashauri serikali iweke mifumo IMARA ili fedha za elimu bure zitumike Kama malengo yalivyo na siyo kuachia wakuu wa shule wazitumie tofauti na matakwa ya serikali. Baadhi ya shule zimekuwa tegemezi, fedha zikitoka hazijulikani zinatumika wapi, watoto karibia shule nzima wanakaa chini, ukarabati...
  15. BARD AI

    Zaidi ya Nusu ya Bajeti ya Wizara ya Ardhi itatumika kwenye Matumizi ya Kawaida

    DODOMA: Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imewasilisha Bungeni Bajeti ya Tsh. Bilioni 171,372,508,000 kwaajili ya Matumizi yake kwa mwaka wa Fedha 2024/25 ambapo zaidi ya Nusu ya Bajeti (Tsh. 93,930,673,000) imeelekezwa katika Matumizi ya Kawaida Pia, Wizara imeomba kiasi...
  16. Gentlemen_

    SoC04 Tanzania mpya yenye matumizi bora ya nishati ya gesi asilia

    KURASA 1: UTANGULIZI Maono ya Serikali hivi karibuni yameonyesha ni jinsi gani imepania kufanya mapinduzi ya sekta ya nishati hapa nchini, rejea maagizo ya viongozi wetu wa juu hasa Mheshimiwa Rais Chanzo: Mwananchi Pia, Rais Samia hakuishia hapo alitoa agizo kwa mheshimiwa Waziri Dkt. Seleman...
  17. De Rama Msirikale

    SoC04 Matumizi sahihi ya ukuaji wa teknolojia na mawasiliano ili kukuza pato la uchumi kwa wananchi miaka 5 hadi 10 ijayo

    Matumizi Sahihi ya Ukuaji wa Teknolojia Duniani: Njia ya Kuinua Uchumi wa Mtanzania kwa Miaka 5 hadi 10 Ijayo Katika ulimwengu wa leo unaobadilika kwa kasi kutokana na maendeleo ya teknolojia, Tanzania ipo katika nafasi ya kipekee ya kutumia ukuaji huu kuboresha uchumi wake. Hapa chini ni...
  18. Mhafidhina07

    Mdau kumnunulia mke wako simu na kumpangia matumizi unaionaje?

    Baby nakupa simu hii ila sitaki ujiunge na magroup ya whatsapp,facebook na mitandao mengine,simu hii ni kwa ajili yangu na ndugu tu. Ujanja au ushamba?
  19. J

    SoC04 Namna ya kudhibiti matumizi holela ya dawa za binadamu mtaani

    Dhana ya kufanya biashara kwenye maduka ya dawa Muhimu (DLDM) inahatarisha maisha ya wananchi wanao kimbilia kupata huduma kwenye maduka haya .Maduka ya dawa yamerahisisha huduma ya upatikanaji wa dawa za binadamu wakati huohuo yameongeza hatari ya kupata madhara yatokanayo na dawa hizo.Hii...
  20. pombe kali

    Matumizi mabaya ya neno 'Mlonganzila'

    Mlonganzila ni jina la Hospitali ambayo ni sehemu ya hosipitali kuu ya taifa muhimbili, inasikitisha kuona jina hili la hosipitali limepata maana nyingine ambapo ina maanisha makalio makubwa na hii inatokana na hosipitali huwa kujinasibu kuwa wana uwezo wa kufanya BBL yaani Brazilian butt lift...
Back
Top Bottom