Habari,Natumaini mko salama na poleni na majukumu ya kila siku.Karibu ujipatie miche ya kisasa ya matunda.
Tunapatikana Chuo kikuu cha kilimo (SUA) lakini tunatuma na mikoani kwa uaminifu mkubwa.
Pia ipo huduma ya kufanyiwa layout na kupandiwa miche yako shambani kwako,team ya wataalamu...