Habari wakuu,
Ni mda sasa tangu niwe na mke wangu katika ndoa yetu kuna vitu vingi vimeendelea vingine unameza kama kidume vingine unashare kwa lengo la watu kujifunza au kutoa na kupokea ushauri panapobidi.
Moja kwa moja twende kwenye kiini cha uzi huu,
Mwezi uliopita mke wangu alipokea simu...