Ukiachana na nguvu ya urembo na mvuto. Maua yamekuwa pia yakitumika kwa karne nyingi sasa kusaidia katika kutibu maradhi mbalimbali.
Maua mengine yanafahamika kwa uwezo wake wa kuzuia na kupambana na shida kama kichefuchefu, msongo wa mawazo na kitulizo cha maumivu.
Kutokana na upekee wa...
Habari za Jumamosi
Haya mambo haya ndani ya wiki mbili hizi hatujazoea, kupishaha na magari sana sana coastal zenye waombolezaji kiasi hiki, barabarani unaweza kupishana na coastal zilizobeba miili ya wafu zaidi ya 9 kwa siku, hali hii sikuizoea kabisa.
Unaweza kujiuliza kuna ajali gani...
Habari wakulima wenzangu,
Nimelima tikiti ekari mbili na linaendelea vizuri kwani halina ugonjwa wowote mpaka leo siku ya 34 tokea mbegu kupasuka.
Changomoto nayoipata kwa sasa ni mmea kuzalisha maua mengi sana lakini maua dume kwahio mpaka sasa matunda yalozalishwa ni machache sana. Hali...
Baadhi ya mahitaji ya wadau:
Naombeni kupewa orodha ya maduka ya suti za kiume (za kisasa) yaliyopo Kariakoo. Nahitaji kuyazungukia. Kwasababu ya muda siwezi ku-design kwa fundi ndo maana nataka kuitungua dukani. Shukrani.
Kariakoo au Dar ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za...
Wanabodi,
Kwa vile uchaguzi wa Zanzibar pia umesababisha vidonda na bado ni vibichi, damu bado haijakauka, hivyo naomba kuanza bandiko hili kwa a healing massage ya kuponya vidonda kwa kuungana na Watanzania wengine wote wapenda haki, amani na utulivu, kutoa pole kwa wahanga wa kilichotokea...
Watanzania fulani humu hupenda kusema kuwa Tanzania inaexport maua kwa wingi kushinda Kenya. Ukweli usiopingika ni kuwa Kenya ni ya kwanza Afrika kwa wingi wa kuexport maua. Kumbe hata nchi kame kama Ethiopia pia inaexport maua kwa wingi kushinda walazy wa kusini? Wabongo tusiwahi bishana tena...
Historia ya Benjamin Mkapa
MFULULIZO WA MATUKIO MBALIMBALI YALIYOTOKEA WAKATI WA MSIBA NA MAZISHI YA HAYATI MZEE BENJAMINI WILLIAM MKAPA
WANANCHI WASIMAMA BARABARANI KUAGA MWILI WA RAIS MKAPA
Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, wameonekana wakisimama barabara kuonyesha heshima kwa...
bendera
chadema
habari
haki
historia
huzuni
itv
kubwa
makongoro
makongoro nyerere
maua
mkapa
musiba
mwanaharakati
nyerere
nyumbani
rais
saa
serikali
shada
sherehe
tanga
tbc
uhuru
upinzani
watoto
Rosela ni ni maua yanaoteshwa au kupandwa mazingira ya kawaida haswa nyumbani, maua haya yanapatikana kirahisi katika nyumba za ndugu, jamaa na marafiki na sehemu zinginezo japo kuwa baadhi ya watu huyaita maua damu
MATUMIZI YA ROSELA NA FAIDA ZAKE KWA BINADAMU
Maua ya rosella utengenezwa...
Nilipata safari ya dharura kutokana na shughuli zangu katika mkoa wa kilimanjaro, Arusha na Manyara, dah kweli dunia hii kuna watoto waliobarikiwa.
Nilipokuwa napita pita njiani...nakutana na warembo matata wenye shepu zao, sura za kuvutia, tabasamu lisilohisha, na miili ya ushawishi n.k...
Kwangu me hii ngoma ndio ngoma yangu Bora kwa mwaka huu.Wakati maua sama ametoa iokote nilizani amebahatisha hi ngoma ilikuwa kubwa sana kuliko jina la maua sama nikajiuliza je ngoma inayofuata itaifunika iokote bila Shaka maua sama kapindua meza ndio ikatokea hi ngoma.
Hi suala lilimshindwa...
Huu mti ni aina ya Cactus kama sikosei, tangu ulipopandwa mwaka 1999 sikuwahi kuuona ukitoa maua, hadi leo ndio nimeona maua yake. Tunatakiwa kuuondoa ili kupisha ujenzi, kuna mtu anautaka nimuuzie?
Serikali imesema itakodi ndege kupeleka matunda na mbogamboga nje ya nchi kutoka katika viwanja vya ndege vya Songwe na Mwanza, wakati huu ikijiandaa kununua ndege ya mizigo kwa kazi hiyo.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe alisema hayo wakati akijibu swali la nyongeza la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.