Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan amezuru na kuweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa Kwanza wa Malawi, Hayati Kamuzu Banda Nchini Malawi.
Picha lilianza pale mkataba ulipovuja, mamlaka hazikutegemea ..Jambo kama hili. Hata kama lingepekekwa bungeni Hakuna amabaye angeuona huo mkataba.
Tungekuja kugundua after 5 or 10 years Later kwambia hawa waarabu wamekuja kuishi Tanzania ...
Mnategemea Samia ajitokeze aongelee Nini Jambo la...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Makala ya leo ni pongezi kwa Jaji Stella Mugasha wa Mahakama ya Rufani Tanzania, kusimama kidete, kupinga uvunjifu wa katiba uliofanywa na Rais wa JMT, kumuongezea muda wa kuhudumu katika nafasi ya...
Namuona mama (pichani chini) anatrend sana, nadhani ni kutokana na barua yake ya kukataa kuungana na walio wachache juu ya 'anachosema' dhuluma kwa watanzania.
Nimesoma sehemu ndogo sana ya barua yake hapo chini, mama yetu huyu sijui ni Msabato kaona liwalo na liwe, hataki hukumu ije mbele...
MHE. KWAGILWA NHAMANILO ASEMA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN APEWE MAUA YAKE
"Niendelee kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Amir Jeshi Mkuu, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi kwa uongozi wake bora na thabiti wenye mafanikio makubwa...
Wengi watashangazwa na huu uzi.
Nimekuwa nakosoa tena kwa lugha kali utendaji wa hovyo usiozingatia uhalisia hususani kuanzia awamu hii ya sita.
Tembea uone.
Nilifanikiwa kutembelea soko la Machinga pale mji mkuu Dodoma, nilijihakikishia kuwa plan na ukamilishwaji wa mradi wa soko hilo la...
Nipo natumia huduma hii tangu mwaka jana na msukumo wa kuja huku ilikuwa ni baada ya mitandao kupandisha bei za mabando, nadhani wote mnakumbuka mabando yalikuwa bei chee ila kuna wabongo hawakutosheka wakaanza kuyabipu makampuni ya simu kwamba vifurushi visiwe vina expire, Mb ni chache, n.k...
JAMHURI ya Muungano wa Tanzania-Kazi Iendelee.
Mei Mosi kulifanyika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani, kama ilivyo kawaida ya siku zote inapofika tarehe na mwezi huo.
Kitaifa siku hiyo iliadhimishwa mkoani Morogoro ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Katika sherehe...
Mchezaji maarufu wa mpira wa miguu duniani "Sadio Mane wa Senegal" (Afrika Magharibi), ambaye kipato chake ni dola 186K kwa wiki, alionekana katika maeneo mengi akiwa na simu zilizovunjika.
Katika mahojiano alipoulizwa kuhusu hilo, alisema nitaitengeneza. Alipoulizwa kwa nini usinunue mpya...
TUMPE MAUA YAKE MHE. SAMIA
( picha kwa hisani ya Ikulu.go.tz)
UTANGULIZI
Andiko hili limelenga kumpa maua yake mhe. Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wake jadidi wa nchi yetu ya Tanzania. Naomba kuchukua fursa hiii kumpongeza kwa dhati mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kumpa maua yake kwa kuiongoza...
Nilikwenda hapo hospitali ya Benjamin Mkapa siku ya Alhamis wiki iliyopita, nikiwa na tatizo ambalo lilihitaji wabobezi. Mimi ninaishi Dodoma, baada ya kutafakari sana, nikakata shauri kuwa niende tu. Mwanzoni niliwaza labda niombe ruhusa kazini, nifunge safari Dar niende hospitali kubwa kubwa...
Nimekuwa safarini tangu mwezi March katika mikoa mbalimbali, nilichokiona humo njiani ni alizeti kuchanua ziki face upande wa mashariki, nimeiona hii Singida, Dodoma, Iringa, Morogoro, Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro.
NB: Naomba michango yenye kuelimisha tafadhali.
Leo Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa amefanya jambo Kubwa sana namna alivyotatua Mgomo wa wafanyabiashara.
Mambo makubwa nimejifunza kupitia mgogoro wa Leo Moja amekuwa sehemu ya wenye Tatizo, amekuwa mwalimu mzuri katika kufundisha namna ya kutatua migogori katika Jamii na Kubwa ameshirikisha...
Katika sajili ambazo Yanga walizifanya na scouting ya maana ni uyu mzanzibari Ibrahim Bacca, ni beki ambaye anastahili maua yake
Anajua kukaba mshambuliaji wa aina yeyote yule, anatumia akili zinapohitajika na anatumia nguvu pale inapoitajika
Namuona Nadir Haroub Canavaro ndani ya Bacca, yule...
Kwenye tasnia ya music systems na vinu huwezi kukwepa Giants wa kijapani kama akina Kenwood, Sony, Pioneer na wamarekani kama Bose, JBL, Harman Kardon na wengineo.
Mimi ni music Enthusiast toka niko ng'aa na nimeshapitia mengi ila nikiri tu sijawahi kuwa fan wa products za Apple na accessories...
Sawa, hauna video, lakini hata kwenye redio haukuchezwa pia
(a) Ni kwamba wamiliki wa redio zetu pamoja na watangazaji wao hawana uhakika na uhuru wa vyombo vya habari walionao?
(b) Au ndo kusema kuwa barua kutoka BASATA zilisambazwa sehemu husika kimya kimya pasi na taarifa kwa umma?
Wacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.