Tanzania watu wanaoshi kwemye comfort zone huo ndo ukweli ukitembea ndo utaelewa watu wako kwenye comfort zone
Ni kawaida Tanzania kupita na kukuta watu wapo kwenye vijiwe vya kahawa au shoe shine mda wa kazi wanabishania yanga na simba au mambo ya siasa, Tanzania mtu anaweza asiwe anafanya...
Eneo la Kawe katika Kituo cha Daladala cha Maringo kuna hali ambayo imekuwa ikinikera kwa muda mrefu, mitaro inayopotisha maji inazibwa kwa makusudu kwa kutumia viroba na vijana wanaofanya biashara ya kuuza maua ‘original’, yaani yale maua halisi, wanafanya hivyo ili wapate maji ya kumwagilia...
John Walter-Manyara
Kampeni Mpe Maua atabasamu asome kifalme imezinduliwa wilayani Simanjiro mkoani Manyara.
Kampeni hiyo inalenga kuboresha sekta ya Elimu mkoani humo ikiwa ni adhma ya serikali ya awamu ya sita kila mtoto apate elimu ambapo Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ameelekeza elimu ya...
Heshima kwenu wanabodi..
Jana wakati nasubiri kuupokea mwaka mpya nilikuwa nimetulia tu nyumbani nikiwa nawatch kideo.
Baada ya kuunglia chanel kadhaa ndio nikakutana na mkesha wa kihistoria wa Boniphace Mwamposa, chuma kilikuwa kinaunguruma kutoa viwanja vya Tanganyika Packers Kawe. Aisee...
Jana usiku kulikuwa na mjadala iliyorushwa na kipindi cha ITV kilichohusu Muswada unaohusu Uchaguzi wa Madiwani, Wabunge na Rais.
Mjadala huu uliwahusisha Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika, Katibu Mkuu wa ACT Ado Shaibu na Ndugu Bob Wangwe naona alikosekana mwakilishi toka CCM...
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeonya matumizi mabaya ya pesa ikiwemo wale wanaotumia pesa hizo kutengeneza mashada na maua kwa ajili ya kuwatunuku wapendwa wao.
Akizungumza na Swahili Times, Meneja Msaidizi Kitengo cha Mawasiliano, Noves Moses amesema pesa inapotumika kufanya shughuli nyingine...
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Ridhiwani Kikwete amesema serikali imeamua kujenga Mfumo wa Kitaifa wa Kielektroniki wa Ununuzi Tanzania (NeST) ili kukabiliana na changamoto ya Rushwa katika mfumo wa manunuzi ya serikali.
Kikwete ameyasema...
Anayestahili kupongezwa basi na apongezwe! Ni jambo dogo lakini nasukumwa kuwapongeza wafanyakazi wa mahakama ya RUFANI TANZANIA hasa kitengo Cha kupokea simu.
Kutopokea simu au kutojibu barua za wananchi ni jambo la kawaida Kwa taasisi za serikali Tanzania. Ni KERO kubwa inayoongeza ugumu wa...
Wanabodi,
Namuangalia Waziri wa Elimu, Prof. Adolph Mkenda akizungumzia hatua za utekelezaji wa sera mpya ya elimu na mtaala mpya wa elimu, kiukweli kabisa Rais Samia apewe maua yake!
Wale wenye access angalieni...
Ukiondoa the landmark ya Baba wa Taifa kutoa bure elimu ya msingi, na JPM...
Sipendi sana kutumia huo msemo, ila kwakuwa ndio uko kwenye chati, wacha niutumie kuwapongeza Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini kwa kutoa utabiri wenye viwango.
Wote ni mashuhuda wa utabiri wa mvua za mafuriko kutoka TMA japo wako watu waliobeza ila muda umethibitisha.
Waliochukua tahadhari...
Hayo Ameyasema Mzee Kinana akiwa msibani Arusha.
Je, viongozi hao ndani ya chama na Serikali yake wenye vyeo vikubwa lakini TABIA mbovu ni akiba nani?
Je, viongozi wenye TABIA mbovu, wamepenyaje na kupewa mamlaka makubwa chamani na Serikalini?
Karibuni🙏
Source: Kusaga.v TV na IPC Mkombozi.v tv.
Mapambano na CCM hayataki lelemama. Ni Kwa maneno, mwonekano au vitendo? Hakupaswi kuwapo shaka popote.
"Ni Mwabukusi, Mdude, Madeleka, Lissu, Slaa, Mwamakula, Ponda, au wa namma hiyo?"
Wapi lugha zao zikabadilika? Wapi wasiwepo kwenye mstari wa moto? Wapi wakatishika? Wapi wakaghairi kwenye...
Baada ya mashabiki kumsakama kwa muda mrefu kuhusu muonekano wake na sura kiujumla, mwanamuziki kutoka Tanzania House Of Talent (THT) Maua Sama aonesha niya yake ya dhati kuhusu kubadili muonekano wake.
Hii si mara ya kwanza kwa Maua kutaka kubadili muonekano wake ila inaonesha kilichokuwa...
Mvua ndio hizo wadau, usiache shamba lako au nyumba yako ikae kinyonge tuone ''DANI GARDEN"
Tunauza Miche mbalimbali ya matunda kama miembe, mipera, michungwa, milimao, ndimu n.k yote imefanyiwa budding( ya muda mfupi).
Pia tunauza MAUA mbalimbali yakupendezesha nyumba yko bila kisahau miti...
Habari wanajf kwa ujumla,wakubwa shikamoo,wenzangu na mie mambo vipi poa,wadogo zangu,marahaba.Nimekuwa nikifuatilia sana mambo mbalimbali yanayohusu ujenzi na ushauri unaotolew kwa kweli!Nimeamini ndo maana wenye nyumba wanakuwa wakali!Ukiwacheleweshea kodi yao.Maana uhalisi wa makisio na...
Hope Nyerere Day inakwenda vizuri kwa wahangaikaji juani kama mimi na mliopo majumbani kama siku ya mapumziko.
Nmepita barabara ya mwenge ubungo leo,hapa mkabara na mawasiliano tower na hostel za magufuli maua haya sasa yamekuwa syo maua tena bali yamekuwa marefu kwenda juu na chini yameziba...
Ni kweli Yanga ndio walikuwa na tovuti mapema zaidi kuanzia mwaka 2012 tofauti na Simba walioanza kuwa na tovuti mwaka 2019 lakini kinachoendelea kwenye tovuti ya Yanga ni aibu na wala hakiendani na uzito wa idara ya habari inayofanya makubwa kwenye mitandao ya kijamii.
Daima mbele nyuma mwiko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.