Moyo wangu umeguswa kuwapongeza Azam Tv kupitia channel yao ya UTV kwa habari zao motomoto na za kina, zilizosheheni uchambuzi wa kiuweledi na kitaaluma. Hongereni sana na endeleeni kutuhabarisha watanzania na walimwengu kwa ujumla. Pamoja na pongezi hizo, ipo kasoro moja ambayo mmedumu nayo kwa...
Mli bwanji?
Kuna manzi ukiachana na yule nurse nilowapa story yake, huyu manzi anafanya kazi kama manager restaurant flani kubwa hapa mjini.
Huyu manzi tumuite Kokugonza, baada ya kuzoea kupata chakula pale mara Kwa mara tukazoeana. Imeenda mwisho wa siku tukabadilishana namba.
Kwa uzuri huyu...
https://youtu.be/Qoag3vwDQrk
Msanii wa UGANDA Jose Chameleon aliimba wimbo unaosema tusisubiri kutoa sifa kwa watu ,wakishaenda, tuwape sifa zao wakiwepo,na ikipendeza wakiwa madarakani ..watanzania tumpe maua yake Rais Samia
Wakati tuelekea mwishoni mwa mwaka 2024 ,ni wakati wa watanzania...
KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, mkoani Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Debora Magiligimba, amewataka wanaume wanaonyimwa unyumba kuripoti katika madawati ya jinsia yaliyopo katika vituo vya polisi kwani huo ni ukatili.
ACP Debora ametoa wito huo Desemba 1,2021 wakati...
1. Kwa misiba ya Karibuni ya watu maarufu hapa nchini (Mafuru na Ndugulile) nimegundua wajane wote ni toka Uchagani.
2. Hawa viumbe wananusa fursa na kujulia namna ya kukuza kipaji cha mume mpaka ngazi za juu. Tofauti na wanaume wa Uchagani wanaoshobokea Wadangaji Vyasaka wanakuja kuharibu...
KWA miaka ya hivi karibuni kuna kukithiri kwa wizi wa mashada ya maua makaburini, na ung'oaji wa misalaba unaofanywa na baadhi ya wananchi kwa Malengo tofauti tofauti.
Katika baadhi ya makaburi ambayo hayalindwi, kumekuwa na aina hiyo ya wizi hasa katika miji mikubwa kama Dar es Salaam, Arusha...
Victor Oladokun, Mshauri Mkuu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika ameielezea vyema haiba ya Rais Samia Suluhu Hassan katika maoni yake ya hivi karibuni wakati wa mkutano wa G20 nchini Brazil.
Akisisitiza mvuto wake, ujasiri wake, na maendeleo makubwa aliyoyafanikisha kwa Tanzania, kauli ya...
Nimetumia SGR mara sita.niwe muwazi Mkurugenzi TRC Kadogosa kwenye swala la mfumo wa SGR umesimama vema kabisa
Developers wa mfumo wa wa SGR online ticket apewe maua yake amefanya kazi nzuri sana naamini hawezi kuwa mbongo pia natamani nijue wameipata kwa bei gani(Thamani anayejua atudokeze)...
Wanaume mnaovaaga hivi chukueni maua yenu 💐💐💐💐 mnapendezaga sana mnakua sexy.
Hapa wanalengwa wanaume warefu wembamba wasio na kitambi. Kama wewe una kitambi au mfupi alafu unavaa ivi haya maua hayakuhusu pita hivi ↪️
Khaaaaah..... Mi shahidi wallah. Wanaume wenye upara wana peleka sana moto....wanakuwa watamu sana. .niliambiwa na daktari mmoja kuwa libido ipo juu sana kwa wanaume wenye upara.
Wengi wao wanatembeza sana ubooooh....nami nimeshuhudia wanakuwa na hamu balaaaaaaah....niliwahi andika nikasema...
Kwenye biashara iwe ni service provider au manufacturer kuna kujenga brand name lakini pia kuna logo ambayo kazi yake kubwa ni kuitambulisha brand yenyewe.
Logo ni sehemu muhimu ya kutangaza brand, huduma, bidhaa au biashara. Ni moja ya kipengele ambacho kinahitaji designer mbunifu sana ili...
Hapa nimechill having a drink,im 31 years old. Hapa naangalia nyimbo ya prof. Jay nikusaidiaeje mixer ferooz na video yao imetengenezwa sijui na nani.
I’m heartbroken ila this song today i realize how Producer Majani is a legend. This beat is phenomenal and captivating. I can feel my sorrow...
Wakuu,
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema kuwa siku ya kesho ambayo kutakuwa na tukio kubwa la Land Rover Festival ambalo linafanyika huko jijini Arusha kama huna gari aina ya Land Rover paki tu gari lako nyumbani.
Makonda amesema kuwa kwa kuwa kesho kutakuwa na msafara wa gari...
Wamasai ni wazalendo, na masomo ya kiraia wametupa:
"Ilikuwa Ngorongoro, tukayasikia Loliondo."
Kwa hakika hawa hata kama wangekuwa Gaza, Mossad wangenyoosha mikono.
Haipo shaka hawa ndugu wanaipenda nchi yao kuliko wapalestina!
Wangekuwa chama, wasingeibiwa kura na katiba waitakayo...
Ni bahati mbaya kuwa mashariki ya kati mpalestina ni mhanga wa udhwalimu.
Kwamba yalimkuta tokea 1947 huko, kumbe ana uchaguzi upi mwingine?
Kwa hakika Gen Z wamepata funzo:
"Haki hupiganiwa kwa wivu mkubwa hata kama ni kwa kupoteza kila kitu yakiwamo maisha."
Kwamba vita ni rasilimali ziwe...
Habari waungwana ,natamani kujumuika katika biashara ya uuzaji wa vitambaa hivi vya wakina mama ambao umeshamiri na mita moja inauzwa sh 5000
Niko Dodoma, mwenye uzoefu na biashara hii na mahali wanapochukulia naomba muongozo
ukiangalia Mhehe/ Mbena moja moja wapo pasua kichwa lakini ukiangalia kwa jicho la wastani / average wanawake wengi wahehe na wabena wanapoingia kwenye ndoa huwa ni loyal, ride or die, wavumilivu, humheshimu mwanaume kwa hiari, hawana tamaa ya mali, n.k.
Nina katabia kabovu sana ka kupenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.