mauaji ya wakristo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania Babu Trump ashaonya kuhusu ukandamizaji, unyanyasaji na mauaji ya wakristo. Sasa endeleeni kuwachokoza TEC

    Wahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa Babu Trump hana hata mwezi ameonya juu ya matukio ya ukandamizaji, unyanyasaji na mauaji ya wakristo. Marekani ni watu wana intelenjinsia Kali duniani, Kuna mambo wanawajua hata kabla ya sisi kujua. Ukiona Marekani amesema jambo ujue intelenjinsia...
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Wakristo huko Syria wana hali mbaya sana! Ulimwengu umekaa kimya

    Wakristo huko Syria sasa hivi wanakabiliwa na mauaji ya kutisha baada ya utawala Miya wa Syria kuamua kuwaua watu ambao wao wanawaita Makafiri. Mauaji hayo yanawalenga waliokuwa waliokuwa wanaunga utawala wa Assad na wote waliowaita wao MAKAFIRI kufikia leo hii bado sijaona Maandamano kutoka...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wakristo 70 wamekutwa wamekatwa vichwa kanisani DRC

    Wakristo 70 wamepatikana wakiwa wamekatwa vichwa katika kanisa moja katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), katika shambulio la hivi punde dhidi ya waumini kaskazini mashariki mwa nchi hiyo. Kulingana na vyanzo vya habari, mnamo saa nne asubuhi Alhamisi iliyopita (13 Februari) washukiwa...
Back
Top Bottom