Babu Trump ashaonya kuhusu ukandamizaji, unyanyasaji na mauaji ya wakristo. Sasa endeleeni kuwachokoza TEC

Babu Trump ashaonya kuhusu ukandamizaji, unyanyasaji na mauaji ya wakristo. Sasa endeleeni kuwachokoza TEC

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Wahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa
Babu Trump hana hata mwezi ameonya juu ya matukio ya ukandamizaji, unyanyasaji na mauaji ya wakristo.
Marekani ni watu wana intelenjinsia Kali duniani, Kuna mambo wanawajua hata kabla ya sisi kujua.

Ukiona Marekani amesema jambo ujue intelenjinsia yake sio ya doria mitandaoni, wako mbele ya muda

Hayo maandamano na mbwembwe mnazowafanyia TEC kishabiki, msije Dhani Dunia inaona ni jambo dogo.

Hapo watu wana connect Ile report ya Marekani kuwa Kuna ukandamizaji, unyanyasaji na mauaji ya wakristo.

Babu Trump ashatua Nigeria anafanya operation Kali kuwaokoa wakristo, Jana amefanya unyakuo huko Venezuela
Endeleeni Kuandamana pale ubalozi wa Vatican, mkidhani kanisa catholic ni sawa na kanisa la Gwajima
 
Hayo maigizo si afya kwa taifa mjue, heshimuni makanisa, hayo si vyama siasa kama CUF na CHADEMA unaweza kuvivuruga upendavyo
 
Back
Top Bottom