Na Caroline Nassoro
Karne hii ya 21 inajulikana kama karne ya Sayansi na Teknolojia. Sekta hii imepewa umuhimu wa kipekee katika zama hizi, na ni ajabu kama utakuta mtu hana japo simu ya mkononi, kwani siku hiz, hususan simu janja (smart phones) ni sawasawa na benki, shajara, na kila kitu...