mawaziri

  1. Komeo Lachuma

    Baraza la Mawaziri limepangwa na Kikwete! Tunashukuru kuwaondoa wote waliowekwa na Marehemu

    Haya maneno mnayatoa wapi? Kuwa baraza limepangwa na Kikwete na ameona amweke na mwanaye ndani? Acheni hizo... Rais samia naye ana weza chagua awatakao mwacheni jamani.
  2. This is...

    Kabudi, Lukuvi, Kitila, Waitara na Mwambe ndiyo walikuwa wanamkwamisha Rais Samia?

    Katika hotuba yake Rais SSH alisema atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ili kumteuwa na kutengeneza safu ya watu wanaoweza kufanya naye kazi. Kwasababu wengine wanamkwamisha. Baraza jipya limetangazwa na Mawaziri walioachwa ni wanne. Kwahiyo tafsiri yake ni kwamba hawa wanna ndiyo...
  3. Roving Journalist

    Rais Samia atangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu

    Muda mfupi ujao Mabadiliko ya Baraza la mawaziri yanatarajiwa kutangazwa kutoka Ikulu Jijini Dar es salaam. ====== Rais Samia amebadilisha muundo wa Wizara Tatu, Ameunganisha Wizara ya Uwekezaji iliyokuwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Wizara ya Viwanda na Biashara kuwa Wizara Moja ambayo...
  4. F

    Ikiwa Baraza la Mawaziri litavunjwa, Napendekeza Mkuchika kwa Umri wake atamfaa Mama

    Tetesi zimezagaa kuwa Baraza lote litafumuliwa na kusukwa upya. Inadaiwa hata waziri Mkuu ataguswa. Mawaziri wakuu wengi wamekuwa na ndoto ya urais. Hivyo Mama asijitege kumteua kijana kwani atakuwa mwiba kwake. Amtafute Mzee mbunge asiye na Cha kupoteza tena aliyeshiba umri na kumteua waziri...
  5. Econometrician

    Utabiri wangu kuhusu Mkeka wa Baraza la Mawaziri!

    Nionanvyo mie Mawaziri wafuatao kuna uwezekano wa kutokuwepo kwenye Baraza la Mawaziri. 1.Prof.Palamagamba John Idani Mwaluko Kabudi-Waziri wa Sheria. 2.Prof.Aldof Mkenda-Waziri wa Kilimo 3.Dr.Dotto Biteko-Waziri wa Madini 4. George Mkuchika Nb. 1.Dr.Ashatu Kijaji Waziri wa habari,anaweza...
  6. B

    Serikali Mpya iko Mlangoni, Hata wa kujiuzuru Hamna?

    Mh. Job Ndugai kesha vunja ukimya. Majibu ya mama yamesikika. Wapi kasimama Ndugai kama yeye na washirika wake kinafahamika. Mama kasema kuna watuhumiwa wa uchaguzi wa 2025. Kwamba hao wote hawatakuwamo kwenye serikali yake mpya. Kutokuwepo kwa hata mmoja wa kujiuzuru ni dalili mbaya kisiasa...
  7. Teko Modise

    Rais Samia: Tulikaa kikao na Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kujadili mkopo. Iko wapi nafasi ya Baraza la Mawaziri?

    Nikiendelea na uchambuzi wa hotuba ya juzi ya Rais Samia, kuna sehemu alisema walikaa kikao cha watu watatu, yaani yeye Rais, Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kuhusu kufanya maamuzi juu ya masuala mkopo na hali ya nchi kwenye ukopeshwaji! Kauli hiyo imenitia mashaka. Nimejiuliza iko wapi...
  8. Nyankurungu2020

    Watanzania tumepatikana, mawaziri watakaokwenda na Rais mpaka 2025 ni kama huyu aliyesaini mkataba wa bil 69 kufunga software Tanesco

    Kweli ndege wa rangi moja huruka pamoja. Hivyo mama kwa kauli yake kuwa lazima aunde baraza la mawaziri ambalo anahisi litamuunga mkono kuchapa kazi mpaka 2025 lazima liwe la vijana kama huyu aliyemteua kuwa waziri wa nishati. Waziri ambae alipoingia tu madarakani Tanesco ikapata mkandarasi wa...
  9. T

    Enyi mawaziri na wabunge nini maana ya makofi na kushangilia

    Imekuwa desturi yenu kila anapohutubia mmoja wa mhimili mnapiga makofi nakushangilia huku mkiimba Tunaimani na Fulani. Huwa mnachambua hotuba zao? Mmekuwa kama watoto kupiga makofi. Rais akimchamba Spika mnashangilia, mkiwa bungeni Spika akiongea ushenzi kwa serikali mnashangilia. Nyie ni ndege...
  10. B

    Ushauri: Rais utakapobadilisha Mawaziri, badilisha na Makatibu Wakuu wa Wizara husika

    Ni maoni yangu tu, maana hao makatibu wakuu ndio watendaji wakuu wa wizara. Kama waziri hayupo sawa, maana yake hata katibu wa wizara atakuwa hayupo sawa Ni mtazamo wangu tu
  11. RWANDES

    Baada ya kuweka koma kwenye orodha ya kwanza ya Mawaziri, Rais Samia asema atatangaza orodha mpya karibuni

    Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza hayo Ikulu Dar es Salaam wakati akipokea taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya COVID-19 Amesema "Nataka niwaambie nitatoa list mpya [ya mawaziri] karibuni. Wale ninaohisi wanaweza kwenda na mimi...nitakwenda...
  12. Doctor Mama Amon

    Salamu za Mwaka Mpya kwa Rais Samia; Wakumbushe Mawaziri kuandaa Mipango Mikakati ya miaka 5 na mwaka mmoja mmoja

    Picha ya Rais Samia Suuhu Hassan akihutubia Taifa usiku wa 31 Desemba 2021 Mheshmwa Rais Samia Suluhu Hassan, Hotuba yako kwa Taifa wakati tunauaga mwaka 2021 na kuingia mwaka Mpya wa 2022 nimeisoma yote. Ni nzuri, inaleta matumaini, kuondoa taharuki na kuonyesha ndoto yako kwa ajili ya...
  13. figganigga

    Spika Ndugai: Wanasema Bunge Ovyo, Wabunge hawana maana, hawajui kanuni za Sheria zinatungwa na Mawaziri

    Spika Ndugai amewaasa watu waache kulishambulia bunhe kwamba Wanapitisha Sheria za Bunge zisizo faa. Amedai saa nyingine Kanuni za Sheria ndio zinakiwa na tatizo. Baadala ya kulaumu, leteni hizo Kanuni tuzibadilishe. "Wanasema Bunge Ovyo, Wabunge hawana maana, hawajui kanuni za Sheria zinatungwa...
  14. Kamanda Asiyechoka

    #COVID19 Kwanini mnawalazimisha kupata chanjo ambayo sio kinga?

    Haiwezekani mpigie chapuo chanjo za kovid na kisha mkiri kwa kinywa chenu kuwa chanjo za kovidi sio kinga bali zinasaidiia ukipata kovidi isikuchape kwa nguvu. Je, mnadhani watanzania ni wajinga? Kwa nini mnawalazimisha kupata chanjo ambayo sio kinga? Kwa nini tusiwe na kinga yetu kamili...
  15. N

    Mawaziri waliosimama kama Mawaziri awamu ya Sita, Wengine hamna kitu kabisa

    Ukweli kabisa kwangu mimi ni mawaili tu mpaka sasa! Mohamedi Mchengerwa na Geofrey Mwambe. Hawa wamezishika nafasi zao kwa kujiamini na wanaendasha kazi za Uwaziri kama ipasavyo. Mohamed Mchengerewa mpaka nimeanza kumfikia come 2030 akae pale juu. Huyu bwana anajitambua sana. Mwambe anajua...
  16. GENTAMYCINE

    Ipi ni 'Logical' kuwaita kwa pamoja Mawaziri Wakuu Wastaafu uwasikilize au uwatembelee tu Mmoja Mmoja 'Makwao' kwa Kuwashtukiza?

    Halafu ilikuwaje Lowassa alitembelewa Yeye kwa muda mrefu ila kwa waliofuata ( hasa wa Jana ) wametembelewa tu kwa muda mfupi mfupi na kama vile tulikuwa tunatimiza Wajibu tu? Endeleeni na Unafiki wenu yaani Wazee wenye Hekima na wanaijua vyema nchi hii tokea Uhuru na msiowapenda mnawatembelea...
  17. S

    Kauli za kuwaita mawaziri wapumbavu ama nonsense zitafutwa na Katiba Mpya

    Katiba yetu inampa Rais mamlaka makubwa sana nchi hii. Rais ni kama Mungu kwa mujibu wa katiba yetu. Mawaziri wanatwezwa lkn hawana cha kufanya. Wakijuzulu "mungu" anaweza kutafsiri hatua hii kama dharau na kuamua kuwashughulikia. Wanalazimika kuipokea kauli ya "mungu mtu" kwa mikono miwili...
  18. figganigga

    Mkeka unakuja wa kuwaondoa Mawaziri nonsense kwenye Serikali ya Samia

    Salaam Wakuu, Tunashukuru rais Samia kwa kuanza kuwaona Mawaziri wanaotoa Matamko nonsense. Namuunga Mkono kwa kuliona hilo. Hii inamanisha kwamba, Mawaziri Nonsense Bye bye. Mkeka safari hii utakuwa wa moto. Mawaziri wameshindwa kumsaidia rais, wanatoa Matamko bila kumshirikisha rais. Mkeka...
  19. Kamanda Asiyechoka

    Katiba Mpya kuondoa tatizo la umeme Tanzania ni kwa kuwawajibisha mawaziri kama January Makamba

    Kama taifa letu litapata Katiba mpya basi tatizo la umeme hapa nchini Tanzania litakwisha kabisa. Maana kama tutakuwa na mawaziri mizigo na wazembe wenye harufu za ufisadi basi itakuwa ni suala kuwaondoa kwa nguvu ya umma tu. Rasimu ya Warioba ilipendekeza Mawaziri wasiwe wanateuliwa kati ya...
  20. beth

    Sudan: Mawaziri 12 wajiuzulu kupinga makubaliano na Jeshi

    Mawaziri 12 wamewasilisha barua za kujiuzulu kwa Waziri Mkuu Abdalla Hamdok aliyerejeshewa Madaraka siku kadhaa zilizopita. Wamefanya hivyo kupinga Makubaliano ya Kisiasa kati ya Waziri Mkuu na Baraza la Kijeshi. Hamdok alirejeshwa Madarakani baada ya kusaini Makubaliano na Jenerali Abdel...
Back
Top Bottom