Miaka ya nyuma iliwezekana waziri kuanza na majukumu yake kabla hajala kiapo cha ubunge na hii ilikuwa ni kwa sababu wabunge waliapishwa wakati wa vikao vya bunge.
Je, kwa sasa hawa wabunge wapya akina Dkt. Dorothy na mwenzake itabidi waanze kwa Ndugai ndio waelekee Chamwino?
Nawatakia...
Pengine wapo watu hawaelewi maana ya teuzi za mawaziri na namna zinavyoweza kubadilisha mambo.
Ngoja niwaeleze...
Mawaziri ni influencers na watekelezaji wa sera. Sera ndizo zinazoendesha mambo mengi kama sio yote kwenye sekta mbalimbali. Hakuna linaloenda bila ya sera, hivyo sera zikiwa nzuri...
Kiukweli Chadema wana mchango wa kutosha katika serikali yetu na hasa katika level ya uwaziri.
Mawaziri wafuatao wamewahi kutumika pale Ufipa katika level tofauti za uongozi kwa nyakati tofauti tofauti.
1. Prof Kitila Mkumbo
2. Mh Pauline Gekui
3. Mh Patrobas Katambi
4. Dr Godwin Mollel
5...
1.Nendeni mkasikilize matatizo ya ya wananchi na mkayafanyie KAZI Kwa unyenyekevu mkubwa.
2. Mtangulizeni Mungu na masilahi ya Taifa huku mkiongozwa na katiba na sii vinginevyo.
3. Mtengenezeeni Rais kupendwa na chama kupendwa na sio kumpaka mafuta Kwa mgongo wa chupa kulinda Vito vyenu yes...
Nimeangalia kwa umakini baraza jipya la mawaziri sijaona hata jina moja la kutoka Zanzibar.
Tunaenzi vipi muungano wetu?
Labda aliyeteua ana majibu sahihi lakini kwa afya ya muungano naona kama hii sio sawa.
Mawaziri wote ni kutoka Tanganyika wakati Baraza ni la muungano
Ina maana wajumbe...
Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma kuhusu Uteuzi uliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo tarehe 05 Desemba 2020
========
Rais Magufuli pia amewateua kuwa Wabunge Dkt. Dorothy Gwajima(Alikuwa Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI -...
Asilimia 99 ya Wabunge ni wa CCM najua jinsi gani mheshimiwa Rais unapata changamoto kuchagua Mawaziri.
Mheshimiwa Rais wala usiwe na haraka. Chagua taratibu sana. Wapitie hawa wabunge mmoja baada ya mwingine. Then hata kama itachukua miaka 2 au 3 wala haina shida. Sisi hatuoni tatizo lolote...
Rais wangu mpendwa naomba ukiona inafaa nikupenyezee ushauri wangu. Yawezekana wasaidizi wako wanaogopa kukushauri....
Kama mwananchi na mdau wa maendeleo kuna mambo mengi sana yanekwama huku katika wizara since July mchakato wa kura za ndani CCM ilivyoanza basi mawaziri wakawa vey much busy...
Katika hafla ya kumwapisha Waziri Mkuu Majaliwa na Mawaziri Mpango na Kabudi, Magufuli alisema wazi kuwa hana haraka ya kuteua baraza la mawaziri. Sababu yake ilikua ni uwingi wa wabunge wa CCM ambao unampa muda mwingi wa kufikiri na kuchambua yupi anayefaa.
Leo wakati Mwinyi wakati anatangaza...
Rais wa Zanzibar Dr Hussein Mwinyi yupo mubashara Channel ten anatangaza baraza jipya la mawaziri.
Baraza la mawaziri limetangazwa lakini Wizara mbili zimebaki wazi na uteuzi utafanywa baadae nazo ni Wizara ya afya na Wizara ya Viwanda na Biashara.
Rais Mwinyi amesema kwa sasa hakutakuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.