Baada ya serikali kuhamia Dodoma ni wazi kuwa mawaziri wote sasa wanatakiwa kuishi Dodoma jirani na ofisi zao.
Je, hizi nyumba zao za mikocheni kwa sasa hivi nani anaishi humo?
Nashauri tupewe watumishi wa DSM au serikali izipangishe kwa wanachi kwa kodi ndogo ili kila mwananchi afaidi matunda...
Upepo unapeperusha mawingu kwa taratibu na huwezi kujua kama mawingu yanasafiri, kumbe ni dunia ndiyo inazinguka kwenye muhimili wake.
Kulingana na vyanzo mbalimbali vya taarifa vinasema Kyagulanyi alikubalika miongoni mwa wapiga kura vijana ambao ni 78% kulingana na watu wazima kwa asilimia...
Watoto wa madarasa ya awali na darasa la kwanza hawapokelewi mashuleni mpaka wazazi watoe michango.
Utafiti uliofanyika unaonyesha mzazi wa darasa la kwanza analazimika kuchangia kati ya tsh. 15,000 hadi tsh. 80,000. Wakati wale wa awali michango yao ni kati ya tsh. 20,000 hadi 100,000.
Mbaya...
Waziri wa Serikali za Mitaa, Lingson Belekenyama na Waziri wa Usafirishaji, Sadik Mia wamefariki Januri 12 asubuhi kutokana na COVID19.
Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera ametangaza siku tatu za maombolezo kwa ajili ya mawaziri na wamalawi waliofariki kwa COVID19.
Bendera zitapepea nusu mlingoti...
Lingson Belekanyam alipatikana na COVID-19 wiki iliyopitaImage caption: Lingson Belekanyam alipatikana na Covd-19 wiki iliyopita
Malawi imepata pigo kubwa baada ya mawaziri wawe wawili kufariki dunia kutokana na COVID-19.
Waziri wa habari wa Malawi, Gospel Kazako amethibitisha kuwa mawaziri hao...
Najiuliza tu kwa kuwa wakati wa kampeni tuliambiwa katika maeneo mengi ilani ya CCM imetekelezwa kwa 100% na maeneo machache kwa zaidi ya 95% inakuwaje tumbua tumbua iendelee kwa kasi kubwa?
Kwa mfano Naibu waziri wa maji, Naibu waziri wa afya, Naibu waziri wa TAMISEMI, waziri mwenyewe wa...
Waziri wa Tamisemi Selemani Jafo siyo mgeni wizarani hapo amekuwepo tokea muhula wa kwanza wa Rais Magufuli kadhalika Waziri wa maji Juma Awesu alikuwa Naibu waziri kwenye wizara hiyo.
Nimefuatilia ziara za mawaziri hawa mikoani na kushuhudia wakipiga mikwara mizito kusimamisha kazi na kutumbua...
Kwamba Waziri anapata taarifa za ubadhirifu mkoa flani anasubiri hadi siku apate wasaa wakusafiri kwenda mkoa husika ndipo akatangaze kumsimamisha mtuhumiwa kazi?
Hivyo vyombo vinavyomlisha Waziri taarifa kwanini visijikite kudhibiti ili Waziri akifika asikute tuhuma? Au wao wamepewa mamlaka ya...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima pamoja na Naibu wake Dkt. Godwin Mollel wametoa namba za simu kwa ajili ya kupokea maoni, kero, ushauri au taarifa kutoka kwa wananchi. Wamesema lengo la kutoa namba hizo ni kwa ajili ya kurahisisha upatikanaji wa...
Nachukua nafasi hii kuwapongeza TOC kwa kufanya Uchaguzi wao kwa mujibu wa katiba yao.
Pili, niwapongeze Shirikisho la Kenya (AK) kwa kutimiza miaka 70 tangu kuanzishwa kwake wakifikia mafanikio makubwa ya Riadha duniani.
Shirikisho la Riadha la Kenya linasherehekea miaka 70 tangu kuanzishwa...
Rais wa Tanzania, John Magufuli leo Jumatano ataongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri jijini Dodoma. Matangazo ya moja kwa moja ya kikao hicho yatarushwa kuanzia saa 4:00 asubuhi.
Historia itawekwa leo ikiwa ni mara ya kwanza kikao cha Baraza la Mawaziri kurushwa mbashara kwenye TV na...
Baada ya kuisoma ilani ya chama tawala CCM na kusikiliza hotuba ya rais alipokua anafungua bunge watanzania wengi tuliiona nia ya dhati ya serikali yetu kuboresha uchumi kwa kiasi kikubwa haswa kwa kuhakikisha wawekezaji wanapewa support na serikali kwa kujengewa mazingira mazuri na rafiki ya...
January Makamba, Mwigulu Nchemba,Nape Nnauye, Ridhiwani Kikwete na Hamis Kigwangala ukitazama vizuri ni baadhi ya vijana wa CCM ambao ama walikuwa "wanaandaliwa" au "kujiandaa" kutoa uongozi mkubwa kwa Taifa letu katika siku zijazo .
Nasema hivi nikizingatia " generational succession plan" ya...
2015 muda Kama huu Kigwangala alikuwa tayari ameshasimama getini kushughulika na watoro na wachelewaji maofisini.
Dakika Kama hizi tayari watu wameshafungasha virago kwa fitina za mkuu wa mkoa wa Dar.
Dakika hizi viongozi waandamizi washautwa mafisadi wanapambana na maelezo polisi na takukuru...
Wengi wetu tulitegemea mawaziri wataapishwa kesho lakini kwa bahati mbaya Kamishna wa Tume ya Maadili Jaji Mstaafu Halord Nsekela amefariki dunia leo.
Kwa ratiba niliyonayo marehemu Nsekela aliyefia jijini Dodoma mwili wake utasafirishwa siku ya Jumanne kuelekea Tukuyu Mbeya ambako atazikwa...
Miradi na mikakati ya miradi hii iliyofeli ndani ya miaka kumi ni kielelezo tosha kwamba hatutaendelea Kama tusipoamua kujitathimini na kusimamia mambo machache.
1. Tulitumia fedha nyingi sana kwenye agenda ya Big result Now, tukanunua trektaa na vitendea kazi vingi lakini leo hii hatusikii big...
Mh Magufuli kateua baraza la mwaziri, 05-12-2020 mida ya jioni kama alivyotabiri kigogo2014 lakini watu wamelipa kisogo na habari za simba na Plateau zimevuma kuliko Baraza Lenyewe.
Je, watanzania wamechoka na kuona hakuna jipya au?
1. Maji -Juma Aweso
2.Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo-...
Hatimaye Rais Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko katika baraza la mawaziri ambapo mawaziri kadhaa wameondolewa, wapya wameingizwa na wengine kuhamishwa wizara huku kadhaa wakiendelea kushika nafasi zao.
Rais amemteua mbunge mwingine mpya - Bi. Saada Mkuya Salum
Imeelezwa kuwa tukio hili...
Nazidi kuwasihi Watanzania wenzangu! Hoja zingine za kipuuzi tuziepuke!
Ajenda ya 50 kwa 50 Pasipo uwezo binafsi haina maana!
Inchi inahitaji maendeleo, Tunaelekea kwenye kasi ya kufanya kazi usiku na mchana
Wanaume wenye uwezo mkubwa wapo wengi mlitaka waachwe ili wakateuliwe wanawake kisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.