Inawezekanaje mtu mwenye akili ndogo na uelewa finyu kama huyu kuwa mwandishi wa habari katika kituo kikubwa cha habari?! Hii nchi bado ina safari ndefu sana.
Wana jamvi,
Planning a successful tour requires ushirikiano na makubaliano ili kuhakikisha kila mtu anafurahia safari. You have the freedom to organize any travel adventure, select the best destination, and set a budget inayokidhi mahitaji ya kila mmoja.
It's very important to support domestic...
Kuna siku nipo mtaani nakutana na msemaji wa kijiwe cha kahawa.Maana kwenye vijiwe vya kahawa kuna wasemaji ijalishi akili yako ikoje kikubwa kuwazidi uwezo kuongea.
Mada aliyokuja nayo anasema wazungu ni waongo sana wanadanganya kila kitu.Sasa cha kujiuliza hapo hapo kijiwe cha kahawa kuna...
Ni muda sasa umepita na watu wengi wamekuwa wakichangia mijadala na kutoa Thread mbalimbali kuhusu mawazo ya biashara, na muongozo wa uendeshaji wa biashara ni muda rasmi kila mmoja alifanikiwa kupitia wazo la biashara kutoka Jukwaa hili la biashara kutoa ushuhuda wa wazo na namna alivyofanya...
Hapa kuna mpangilio mzuri zaidi wa maandishi yako kwa mtiririko mzuri na uwazi:
Nguvu ya Hofu na Sanaa ya Kubadilisha Nishati
The Keeper
Don Pablo – The Master of The Mind Brotherhood
Kumtawala mwanadamu, mpandikie hofu ndani yake, na utateka akili yake yote. Hofu ni nguvu kubwa zaidi...
Katika dunia ya leo, ambapo changamoto za ajira zinaendelea kuongezeka, ujasiriamali umekuwa suluhisho muhimu kwa watu wengi wanaotaka kujitegemea na kujenga maisha bora.
Hata hivyo, wajasiriamali wengi hukutana na changamoto ya kupata wazo sahihi la biashara na kujua ni mtaji gani unahitajika...
Naomba nisieleweke vibaya ama nikaonekana nina ubaguzi na hii jinsia yakike kutokana na maoni yangu!, ikiwa kuna mtu nitamkwaza kwa hii mada basi tusameheane!.
Kitu kinachoitwa uongozi na wanawake kwenye haya maisha naweza sema kwa idadi yao basi wanaouweza uongozi labda ni asilimia 2 tu ya...
Mfumo wa maisha ulitengenezwa husiishi peke yako! Ukiona unaishi peke yako ama umelaaniwa, mchawi, au kichaa/chizi. Kama una akili timamu basi jua fika unapigwa matukio na upweke na msongo wa mawazo! Haijalishi utajitahidi kivipi kuwa na gadgets za electronics kukuliwaza! Ebu angalia huyu mdada...
Wakuu habari!
Mimi ni kijana wa makamo nimekuwa nikiona mtandaoni kwa mataifa ya Europe na Asia kukiwa na makampuni mengi yanayojihusisha na shughuli za fundraising kwa miradi na mawazo ya kibiashara yenye tija kwa jamìi na ulimwengu na kuwasaidia vijana kufikia malengo yao huku wakiongeza...
Mimi nafanya hivi
1. Nakula vizuri, chakula nachokipenda
2. Natoka kwenda kutembea
3. Nalala
4. Nalia sanaaaaaaa
5. Naenda kununua nguo mpya
6. Nafanya usafi
Na mengine mengi
Wewe je?
Lengo ni kuwapa experience wanaopitia wakati mgumu,wanaweza kupata ideas mbili tatu
Uzi tayari
Pia soma...
Wakuu kuna sehemu boss kahitaji watu wa finance na account kwa ajiri ya auditing, sasa tunafanya nahitaji kuuliza wenye experience unapomaloza auditing kuna uwezekano wa kupata ajira hapohapo katika kampuni hio? (Internal audit) Umuhimu wake ni upi??
Nimeweka huu Uzi ili watu wanaoishi na ugonjwa kisukari kuelezana na kusaidia mawazo na uzoefu na changamoto za ugonjwa na kuelezana namna kukabiliana nazo karibuni
Salaaam ndugu zangu wa JF.
Nitaelezea kwa ufupi sababu ambayo, inanifanya hadi sasa niwe kwenye msongo wa mawazo.
Ilikua mwisho wa mwaka 2024 tarehe, 31..baada ya mishe mishe za kila siku ndipo nilipopata natasi ya kukutana na binti mmoja ambaye sio muda nimeanza kuwa nae kwenye mahusiano...
Wakuu!
Leo tena nimeona isipite hivi hivi bila kutia neno lolote la maana na mimi kwenye tafakuri zangu. Hili nitakalolieleza ni moja kati ya yale mengi ambayo nimekaa nikayawaza sana kuhusu watoto waliozaliwa 90 na watoto waliozaliwa 2000.
Kwanza kabisa inabidi uelewe watoto wa 90 ni wale...
Wakuu!
Naomba nielezee na hii walau kwa uchache.
Katika pitapita zangu za hapa na pale na kuangalia huku na kule kwenye kujitafuta, kujitafakari, kufikiri na kujichanganya na watu tofauti tofauti. Nimekuja kugundua/kubaini kwamba kuna ongezeko kubwa sana la wanawake wenye msongo mkali wa...
Kuna diaspora wengi wasomi, wafanyabiashara, na wafanyakazi wenye uzoefu mkubwa ambao wangetoa mawazo bora kwa maendeleo.
Badala ya kutegemea wasomi wa aina ya Mkumbo wanaokariri, ni muhimu kuomba mawazo ya diaspora kwa manufaa ya umma na kuyachanganya na fikra nyingine.
Hawa diaspora...
Habari wakuu, wapendwa.
Hivi njia ya kuoa mwanamke Kwa kufuata Sheria Kwa mujibu wa dini, Mila bila kuongeanaye Binti inaweza kuwa ni njia sahihi kwa nyakati hizi tulizonazo na mabinti wa kileo Hawa.
Msada wa...
Kijana wangu ana changamoto kwenye shingo yake kama inavyoonekana kwenye picha.
Mshipa wa upande mmoja umevimba tofauti na wa upande wa pili. Umri wake ni mid 30s, hanywi pombe wala kuvuta sigara.
Tatizo hapa linaweza kuwa ni nini ndugu zangu? Zingatia kwamba hana maumivu yoyote yanayomsumbua...
Heshima kwenu Wakuu,
Nimetafakari kama raia wa kawaida tu, na raia namba 53,398,487 wa Jamhuri yetu.
Kuna hii saga au mvutano unaoendelea ndani ya Chadema katika madhira ya kugombea uongozi baina ya timu ya Mwenyekiti wa sasa Ndugu FREEMAN AIKAEL MBOWE (STU) na Makamu wake Ndugu TUNDU ANTIPAS...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.