mawazo

  1. Analogia Malenga

    Mawazo ya Kezilahabi kuhusu maisha

    “Maisha ni kama mkufu, unachukua kipande hiki na hiki unaviunganisha, kipande kikikataa kiache kitamfaa mtu mwingine...” Mzingile. Falsafa ya maisha kwa muono wa Kezilahabi, hauna tofauti na wanafalsafa walio wengi, lakini muono wake upo kwenye kujifunza, take that which works for you! Kwa kuwa...
  2. Analogia Malenga

    Mawazo ya Kezilahabi juu ya usomaji wa vitabu

    ''..ulianza lini kutoamini…” “nilipoanza kusomasoma na kusitasita” Nagona Kezilahabi, ni mtu anayeona umuhimu wa kujisomea vitabu, katika kila kitabu chake lazima akupe picha ya mtu kusoma kitabu. Na namna mtu husika anavyobadili fikra zake kupitia usomaji wa vitabu. Katika hii dunia, watu...
  3. Roving Journalist

    Amnesty International and Human Rights Watch: Hali ya ukandamizaji wa vyombo vya habari, watetezi wa haki za binadamu na vyama vya upinzani waongezeka

    AMNESTY INTERNATIONAL HUMAN RIGHTS WATCH TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Ukandamizaji wa vyombo vya habari, watetezi wa haki za binadamu na vyama vya upinzani umeongezeka tangu mwaka 2015, zinasema ripoti mbili tofauti za mashirika ya Amnesty International na Human Rights Watch zilizotolewa leo...
  4. Analogia Malenga

    Mawazo ya Prof. E Kezilahabi kuhusu siasa za Ujamaa

    Kezilahabi amekuwa ni msomi wa zile enzi za Vita baridi (Cold war) wakati ambao wasomi wengi wa afrika walikuwa upande wa UJAMAA, japo baadhi waliamini hawafungamani na upande wowote. Kutokana na vita ile vijana wengi wa Tanzania na wanaharakati wa enzi hizo walijivika ujamaa kiitikani kuanzia...
  5. idawa

    Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

    Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametangaza kuwaruhusu wagombea wote waliochukuwa fomu na kuzirejesha kwa ajili ya kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini Tanzania Novemba 24, 2019 wanaruhusiwa kushiriki uchaguzi huo...
  6. Azizi Mussa

    Suala la kisera: Utashi wa kisiasa na mawazo ya umma vinapokutana, tatizo kubwa linalotukabili linaweza kupata ufumbuzi

    Kuna baadhi ya changamoto kubwa zinazotukabili ambazo, ili zipate ufumbuzi; inabidi ifike mahali maoni ya umma yakutane na utashi wa kisiasa na hapo jambo linaweza kutokea na kuleta mabadiliko makubwa. Moja ya changamoto tunayoweza kuizungumzia kwa leo ni; Suala la ukosefu wa ajira kwa vijana...
Back
Top Bottom