Sijui kama Ndugai anaelewa maana ya kuwa Spika? Anachofanya ni mahaba ya waziwazi kwa kwa Serikali ambayo anashindwa kuyaficha. Kila mwananchi anafahamu function ya Bunge na Mahakama kama taasisi huru (hata wale wanaolipwa pesa na polepole lakini watajitoa akili)
Ni jambo la kushangaza kuona...
Unajua kuna watu huwa nawakutaga wanasema mimi mpira wa BONGO siangaliii kabisa,ukimuuliza kwanini haangaliii Atakupa sababu za ajabu ajabu tena za kijinga jinga zisizo hata na maana yeyote Huwa nawambia watu wa namna hiyo kuwa "nyie mpira sio fani yenu na wala haupo kwenye damu" hivyo...
Unajua maisha ya sasa hivi kila mtu analia kilio chake, huyu atalia sauti ndogo, yule kubwa, yule mwingine atalia kimoyo moyo ila wote tunalia na kubwa linalotoa watu machozi ni Ugumu wa maisha, ukosefu wa ajira, nk.
Leo nitaongea na walimu tu ambao wengi hulalamika ajira hamna,maisha magumu na...
Habari za uzima ndugu zangu, poleni sana na miangaiko ya hapa na pale, Mimi ni kijana mwenye miaka 37 kwa sasa elimu yangu ni degree, kama mnakumbuka nilishawai kuja na uzi wa baba yangu mzazi wa kunizaa kunitimua nyumbani kisa eti mimi ni mwanachama wa chama cha mapinduzi kisa cha kunifukuza ni...
Naombeni msaada asilimia 98 ya mawazo yangu nawaza wanawake Yani kila baada ya dk 2/3 lazima niwaze wanawake hivi ni Mimi peke yangu au wanaume wote.
Mimi najihisi Nina tatizo naomba msaada wa kisaikolojia. Hii Hali naona sio ya kawaida.
Trump amesema kuwa kuendelea kuwafingia watu ndani ni kuwaua zaidi kuliko CORONA yenyewe
Watu wanaopiga namba za dharua imepindukia alisema Trump
Trump amesema wataandaa muongozo wa kukabiliana na janga hili alhamisi hii atatangaza namna ya watu watavyokabiliana na hili janga huku amri ya...
1. Ni kawaida kuhisi huzuni, kupata mawazo, kuchanganyikiwa, kuogopa au kuwa na hasira wakati wa matatizo. Ongea na watu unaoamini watakusaidia. Wasiliana na familia yako au marafiki
2. Kama ni lazima ukae nyumbani, kuwa na maisha yenye afya ikiwa ni pamoja na kula lishe sahihi, kulala, kufanya...
Ndugu zangu wana JF nina mambo mengi ila mawili ndio makubwa sana kwangu
1. Sipati usingizi napohitaji kulala
Hivi, ukiwa kitandani unahitaji kulala akili yako inatakiwa kuwa focused katika jambo gani ili uupate usingizi?
Maana nimejaribu mengi bado nipo palepale. Mimi ni dereva na kutokana na...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 nimeajiriwa.
Baba yangu amegoma kabisa kujenga nyumba yake akidai mimi nisipomjengea watu watanidharau na kunicheka, yaani kwa ufupi nawaza mpaka nakonda ukizingatia kwa sasa namjengea mama ambaye tayari walishaachana na baba.
Mama naye alikuwa anaishi...
Mashabiki kindakindaki wa mpira wa miguu hupata msongo wa mawazo wanapokuwa wakitazama timu zao, wanaweza kujiweka hatarini kupata mshtuko wa moyo, utafiti umeeleza.
Utafiti uliofanywa Oxford ulipima mate ya mashabiki wa Brazil wakati walipoweka historia ya kushindwa walipocheza na Ujerumani...
Nina imani wengi tumeajiriwa ila tunatamani kuongeza kipato zaidi.
Naomba tuchangieni biashara ipi tunaweza fanya tukiwa kazini.
Kwa mimi kazi ambayo naweza fanya nikiwa kazini ni za kuuza bidhaa online na baadae nikitoka mida ya saa kumi nafanya delivery.
Je, wewe unafanya ishu gani na huku...
Nilikutana na mume wangu wote tukiwa 30+. Nilishakuwa na kwangu tofauti yangu na mwenzangu yeye anaishi kwao ingawa yeye ndiye alijenga nyumba.
Kama mwanaume aliyeoa anataka niishi kwao. Hataki kuingilia vitu alivyonikuta navyo. Maisha ya kuishi ukweni yamenishinda, ninatamani tununue...
Mapendekezo ya cha kufanya Wizara ya Afya
Niweke wazi tu kabla ya yote kuwa mimi kwa miaka zaidi ya 10 sasa nimekuwa nikifanya kazi kama consultant kwenye kampuni za Afya. Mwaka wa uchaguzi nitatumia muda kutoa mawazo yangu kwenye sehemu na wizara tofauti. Nianze na machache kwenye Afya
Mfumo...
Kuwa mjanja mdogo wangu.
Utatumiwa sana kwakuwa ni maarufu uendeshe faida kwenye kituo cha watu halafu akipata mbinu nyingine anaku-dump.
Kuwa makini Diamond.
Kwanza nawapa pole kwa yanayoendelea nikiwepo mimi mwenyewe.
Lengo la uzi huu ni kutafuta namna mbadala nje ya kazi zetu. Mimi nimekuwa na kabiashara kangu na huko ndo nguvu zangu iliko kwa wingi maana ndiyo kazi inayoniweka mjini naonekana mtu.
Pili nawaomba tusiwaze sana kwamba sijui...
Naombeni ushauri kati ya hizi kozi. Ni kozi ipi ambayo ipo marketable ukimaliza masomo:
- Law
- Journalism
- Public administration
- Social Work
Naombeni ushauri wenu hapo wakuu.
Uchaguzi wa ndani CHADEMA
Wabunge na Mameya CHADEMA wamuunga mkono Mbunge wa jimbo la Ndanda Mhe Cecil David Mwambe kuchukua fomu ya uenyekiti wa CHADEMA taifa kumrithi Mbowe.
Kwa taarifa kutoka moja ya wabunge wanaomuunga mkono anasema wamemchangia shilingi milioni 25.
Anasema katika kikao...
Salute wakuu,
Baada ya kutulia na kufikiri sana, nikapata wazo la kufungua biashara ya vitu vya electronics sijui kama nipo sahihi. Vitu hivyo ni kama:
Flash drive
Memory card
USB wire
Charger
Card reader
Power bank
Min speaker
Bluetooth earphone
Hair cutting machine
External and Internal...
Habari wapendwa,
Poleni na majukumu kunakipindi nilikutana na changamoto flani nikataman niuze baadhi ya vitu kimoja wapo lilikuwa ni shamba langu lile la Kilosa. Nashukuru Mungu sikupata mteja maana bei nilio kuwa nauza na ninacho kiona sasa nilikuwa nauza bei sawa na bure.
1. Zao la ufuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.