Mawazo ni kitu cha msingi sana katika maisha yetu.Mawazo yana nguvu kubwa.
Mawazo yakiunganishwa na malengo yanayoeleweka,subira pamoja na Nia yatatusaidia kufikia mafanikio na utajiri.
Watu huwa tunapitia hali ngumu mbalimbali katika maisha,kwa mfano.
1. Umaskini.
2. Kukosa nafasi za ajira...
Habarini wadau,
Jamani dada zetu au wanawake siku hizi wamebadilika sana wengi wao wanawaza kupata mwanamme wa kumtimizia mahitaji yake haswa ya kimaisha. Wao wanawaza kupendeza na kuvaa vizuri kuliko kujishughulisha katika vitu vya maendeleo ndio chanzo cha kuangukia kuwa malaya na kujiuza...
Katika watu ambao wameingia katika kinyang'anyiro cha kugombea ubunge na ambao kama wakipata nafasi hiyo, watachangamsha sekta za uchumi, biashara na viwanda ni Dr Charles Kimei.
Dkt. Charles Kimei ni mmoja wa watu ambao wana matamanio ya kufanya mabadiliko ya haraka yaani "quick...
Wakuu habari zenu, kutokana na uzoefu nilioupata kutokana na kupeleka watu machimbo ya maeneo ya biashara, nimeweza kugundua biashara nyingi za kawaida tu, zikiwa na faida nzuri tu, sasa nataka kuandika kitabu ambacho kitakuwa na mambo yafuatayo.
AINA YA BIASHARA: Hapa nitafafanua aina za...
Habari wana JF,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26, ni mhitimu wa Shahada ya Electrical & Electronics Engineering. Katika moja ya Chuo Kikuu hapa mjini Dar es Salaam kama ilivyo kawaida ya vijana wengi tukiwa vyuoni hujisahau kuwa kuna kumaliza masomo na kushindwa ku tafakari kukabiliana na...
Kila nikimwangalia mtoto mchanga huwa napata picha fulani ya Kiungu. Ni picha ya ajabu. Mfano, nikimwona mtoto ana mzazi au mlezi wake huwa napenda kuona ana'behave' namna gani.
Unaweza kumwona mtoto mchanga amebebwa na mama yake na amelala usingizi na hana habari ya kinachoendelea karibu naye...
Wakuu, Ninaombeni maelekezo kuhusu kufanya masters online kwa vyuo vya ulaya na marekani, Ni njia gani rahisi ya kufanya hivyo? Naomba msaada kwa mtu mwenye uzoefu na hayo mambo.
Ni chuo gani kilicho Bora na Cha uhakika?
Mafunzo yanapatikana kwa muda gani?
Ni majira gani ya kufanya...
1. Una miaka mitano mshahara wako serikalini ni ule ule aliouacha JK
2. Una madai yako serikali na huu ukiwa ni mwaka wa tano hujalipwa na wala juju utalipwa lini
5. Kila mwisho wa mwezi unakatwa asilimia 15 ya mishahara wako kulipa mkopo wa Bodi ya Mikopo
6. Una mzee wako kastaafu huku hajui...
Nawapa mawazo ya bure wadogo zangu wa miaka 18-35. Kwasababu wasanii wetu hasa wa musiki wanafanya vizuri jamii hasa wanasiasa watawatumia wenyewe kwa manufaa yao binafsi. Lakini kwa mawazo yangu acheni kuwafuata wasanii na kushinda mitandaoni kuangalia maisha yao na kutaka kuiga badala yake...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania;
Serikali itumie mbinu gani ili kufidia muda wa likizo ya Corona na wanafunzi waweze kumaliza mitaala yao kwa wakati...
Nimejaribu kufanya Hesabu Zangu za Darasa la 7 D kuhusu huyu Bilionea mchimbaji mdogo wa madini.
Hebu Twende Sawa Hapa na hesabu za Darasa la saba!!
Tanzanite thamani yake hupimwa kwa Carats.
1 Carats = 0.0002kg
Je 15kg ni sawa na ngapi?
= (15kgs x 1 carats) gawa kwa 0.0002kg
Hapa jibu ni...
Binafsi nimepaua kibanda changu kwa bati nyeupe, ila kuna jamaa yangu yeye anashinda ya macho na ana project yake ya ujenzi ngazi ya kupau na anatamani msouth. Tumekwenda halafu bei imemshinda wanauza 28,000/ 27,000 kwa pc za rangi. Yeye ana uwezo wa 24,000/- katika kuzunguka tukakutana na watu...
Habari ndugu zangu,
Ninawasalimu kwa jina lake bwana wetu
Nimejaliwa kukusanya shilling 5M kutokana na nilivyokuwa najikusanya kwenye kimshahara changu kwa mwaka sasa,
Naona maisha ya kuajiriwa siyo,
Nikaamua niwaze kuanza uuzaji wa mchele kutoka mbeya au Ifakara,
Nataka niende Jumamosi...
Nimemaliza chuo muda (2016) kidogo, nimesota sana kupata ajira, nimesota sana mpaka nilifikia kukata tamaa ya maisha, Mungu mkubwa mwaka jana mwezi wa 5 nikaja kupata kazi kwenye mradi mmoja hivi, kutokana na mapito ya kukosa kazi na kuangaika mtaani, nilijichanga mnooo mnoo nilijichanga kupita...
Biashara ya filamu imeenda chini sana kuanzia enzi za Kanumba kwasababu hakuna ubunifu. Mimi kama diaspora nimefanya uchunguzi kujua kwanini hii inatokea. filamu zetu zinaiga na kujaribu kushindana na Nigeria lakini Tanzania tuna kitu kimoja ambacho wenyewe hawana. Sijawahi kuona picha kutoka...
Habari wanna JF.
Wanaume siku zote ni watu wanaozungukwa na msongo wa mawazo katika mihangaiko ya kimaisha ha hapa na pale......
Baadhi ya vitu vinavotuletea msongo wa mawazo ni Kama;
1.kuachwa na mwanamke umpendae
2.kumpenda mtu asiekupenda
3.kuwa na madeni lukuki
4.kukata tamaa/kufeli Jambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.