MUDA WENU SI MUDA WANGU, MAWAZO YENU SI MAWAZO YANGU
Leo 14:30hrs 17/03/2021
Basi watu wakamwambia nenda kajionyeshe kwa Walimwengu, nae akawajibu.
Yohana 7:6
Basi Yesu akawaambia,wakati wangu bado haujawadia, lakini wakati wenu upo siku zote. YESU hakuweza kuruhusu mtu kuingilia Muda Wake...
Haiwezekani mtu mwaka unaisha anafuatilia pesa yake na amekwisha staafu anazungushwa tu hakuna majibu ya kueleweka. Hivi huyu mzee mnata aingie mtaani aishi vipi wakati mshahara hana na pesa anazodai ni zake?
Hii siyo kujitafutia laana na chuki ni kitu gani? Mnadhani kiwango cha chuki nchini...
UNPATRIOTIC! Mng'ang'ana hawajatangaza Corona ipo, Kwani Corona ni kama mwewe au mwizi unaweza kuifukuza kwa mayowe!? Eti hawajatoa takwimu, Hivi tukifanya sensa kila asubuhi nani anaumwa na kutaja kama mafungulio ya wafungwa ndio wanapona?
Tukitaja waliopoteza Maisha hata wa magonjwa mengine...
Kama ambavyo imekuwa ikielezwa na baadhi ya vyombo vya habari, wanawake wapo kwenye nafasi ya kupata msongo wa mawazo kwa kiasi kikubwa kuliko wanaume. Pia kiwango chao cha kupata matatizo ya kiafya au kujiua ni kikubwa mara tatu ya kile cha wanaume.
Utofauti huu kati ya jinsia hizi mbili bado...
Linapokuja suala la kilimo cha umwagiliaji, kuna mbinu nyingi hutumika. Leo naomba kushea nanyi drip irrigation. Sasa ili maji yasambae shambani yanatakiwa yawe na pressure nziri. Watu wengine hujengea tanki juuu ambapo maji hupandishwa kutoka chanzo husika hadi kwenye tanki ndipo yashuke kwa...
Habari ya leo wakuu,
Vijana tunapitia changamoto sana katika kupata support ya kiuchumi hasa tukiwa na wazo la kuanza biashara naamini mtaji wa kwanza ni wazo la biashara then pesa ina fuata baada ya hilo wazo.
Changamoto unaweza kuwa na wazo zuri lenye faida na uka jaribu kuanza lakini Kuna...
Salaam Wana JF,
Nianze kwa kusema kuwa wale wanaodhani Bunge letu ni Jumba la Sanaa wanakosea kimantiki na pengine hawajui Majukumu ya Mhimili huu na mipaka yake, Bunge lina utakatifu wake na upekee katika ustawi wa haki na Maendeleo kwa watu, Bunge Ni moyo wa nchi kiutawala.
Hatahivyo Kwa...
Wabunge msijisahau Wananchi wamewatuma muwawakilishe tafadhali msifanye mambo kama mmejipeleka wenyewe Bungeni msiwe walafi wa madaraka
Maana kelele hizi za kutaka Rais abaki madarakakani si kwamba ni kweli mnampenda abaki kwa sababu amefanya mazuri kuliko walio pita hapana bali kwa sababu...
Habarini wakuu, naomba kuingia kwenye mada,
Kwanza shukrani kwa wote mlionisaidia kunikutanisha na provider wa internet na nimefanikiwa,
Nimekuja kwenu vijana niliomaliza chuo kwa upande wa IT na ambao bado hamjaingia kwenye ajira na bado hakuna sehemu ya kujishikiza na una wazo zuri ila hujui...
Mara nyngi naona humu watu wana mawazo km haya, tena sio humu tu karbia watu wngi weusi wana mawazo haya hasa watanzania ati wazungu wanapenda sana anal sex. Wanamini km msichana akiwa na relationship na mzungu au ngozi nyeupe lazma atakua anafanya anal.
Wanachukulia kama vile hakuna ngozi...
Habari za wakati huu wapendwa,
Nipo hapa kuomba msaada wa kimawazo.
Mwenza wangu anakaribia kujifungua na amebakiza almost wiki kama5 tu. Clinick tumekuwa tukiattend pale Agakhan hospital ila tulivoulizia gharama za kujifungua tumeambiwa zinaweza kufikia hadi millioni6 au 7 in case kama kuna...
Nchi nyingi duniani zinakabiliwa na janga la ukosefu wa ajira kwa vijana, mfano nchi ya Nigeria ambayo nusu ya watu wake ni vijana wenye umri kati ya miaka 15-35 inakabiliwa na ukosefu wa ajira ya zaidi ya vijana 11.1 milioni. Halikadhalika nchi za Afrika ya Kusini, Kenya, Uganda na zingine...
Habari za majukumu ndugu wanajukwaa?
Mimi napenda kufahamu zile decent websites za kuomba kazi nchi za nje kama Norway, Sweeden, Canada, Turkey, Holland, Malta, Nk.
pia napenda kufahamu kwa wale tusio na elimu tunaotarajia kazi za unprofessional kama vile fruit picking, viwandani, house...
Jamani mambo zenu, Niko katika wakati mgumu
Mimi ni binti wa miaka 29 kwa sasa, nimempata mwanaume ambaye tulipanga mengi sana hadi kupanga jinsi ya kufunga ndoa,
Mwaka fulani niliingia kwenye mahusiano na kijana mmoja toka Mbeya, ila kwa sasa anaishi Afrika ya Kusini kwa shughuli zake ...
Tarehe 9/10/2020 kupitia Jukwaa la Siasa hapa JamiiForums, nilitoa pendekezo /ushauri kwa serikali juu ya namna gani wanaweza kutumia simu za mkononi kuanzisha Bima ya Afya na hata kugharamia elimu ya juu.
Serikali kupitia simu za mkononi, inaweza kukusanya fedha na kuanzisha Mfuko(Fund) wa...
Happy New year ndugu zangu,
Mwaka ndio umeanza kwa kasi namna hii na wengine ndio kama hivi weekend hii tunasheherekea birthday 🎂 zetu.
Bajeti yangu ni elfu 30 tu nataka mawazo yenu nifanye nini ili angalau hiyo 30 ifanye siku yangu iwe ya kukumbukwa na iliyojaa furaha tele.
Natanguliza shukrani.
Leo asubuhi nimetoka home Bukoli na kwenda zangu Katoro ili kuwaona washikaji,kama ilivyoada ikanilazimu nizame vijiwe vya kahawa ili kupata story mbili tatu za wadau.
Story kubwa ni kijana ambae alikuwa mjasiri na mpambanaji. Ambae alipoteza uhai wake kwa sababu ya siasa za kinafiki za Afrika...
Naombeni mawazo yenu wadau kuhusu biashara ya viatu vya kike kwa jiji la Mwanza sehemu ya kununulia mzigo na namna nzuri ya kuuza kwa wepesi mtaji wangu ni laki Saba (700000) siishi nyumbani nimepanga.
Pitia mitandao yote utagundua watu wanojenga hoja za kisera, kisheria, kikatiba, kiuchumi, kijamii na anga nyingine ni makundi haya
Wanaharakati
Wafuasi wa vyama vya siasa vya upinzani
Baadhi ya Wastaafu katika utumishi wa Umma hasa wale ambao hawana bodi Wala chombo Cha kuongoza
Baadhi ya...
Nimefanikiwa kukutana na kukaa a vijana na washikaji tofauti vijiwe tofauti ila ma jobless wanaongoza kwa kuwaza ujinga sana kuliko namna ya kujikwamua katika hali alio nayo
Unakuta ni kijana anawaza kuendesha gari ya baba kidogo kupiga masela vizinga na wengine wameka kama mitego wanasubiria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.