Salaam kwenu wadau hapa mjengoni JF!
Usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto ambayo imenfanya nitafakari ule msemo watu huwa wanasema eti ndoto ni "reflection" ya mawazo tunayowaza tukiwa hatujalala.
Ndoto yenyewe iko hivi:
Nilikua maeneo ya mtaani nikabanwa na haja kubwa, basi nkacheki...
Ripoti ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam kitengo cha Afya inaeleza kuwa, Msongo wa Mawazo ni mfadhaiko wa akili anaoupata mtu kutokana na shida, taabu, dhiki, matatizo au changamoto zinazomkabili katika maisha.
Ripoti inabainisha mgawanyiko wa sababu za Msongo wa Mawazo kuwa ni sababu za...
Msongo wa mawazo unaweza kukufanya ushindwe kufanya shughuli zako za kila siku kwa ufanisi. Jambo la kufurahisha ni kuwa msongo wa mawazi unaepukika, leo nimechambua baadhi ya mambo ambayo yanaweza kukuwezesha kuepuka kupata msongo wa mawazo.
1. Usiweke Malengo ambayo Hayafikiki
Kila mtu ana...
Habari.
JF imekua ni mwalimu wangu tokea nimeanza kuijua, naelewa humu ndani kuna watu wamepitia mengi sana watanipa ushauri ambao utanijenga Mimi kijana wao.
Imepita mwaka sasa tokea ili swala limetokea nilipokua chuo naombeni ushauri wenu kutokana na experience yenu ambayo mmeshapitia...
Leo ikiwa ni siku ambayo kamanda Mawazo aliuwawa mwaka 2015,picha za mwili wake ukiwa umevujaa dama zimesambaa huko twitter kama kumbukumbu ya tukio hilo la kinyama.
Waliotenda unyama ule sijui kama waliowahi kamatwa, ila kibaya ni watu wa chama fulani kutojali unyama huu na kutumia nguvu...
Viongozi wa dini wa aina ya shehe wa Darisalama Alhadi Musa Salum, Kadinali Pengo, Gwajima nk. Naona Sasa mioyo yenu imetulia mmepata amani ya moyo baada ya mlichokipambania kutimia.
Naona baada ya kuhakikisha kuwa upinzani makini umekufa mioyo yenu imetulia sasa mnajiandaa kula matunda ya...
Za pilika !
Nimekuwa nikifuatilia michakato ya Uchaguzi ya vyama vingi toka 1995. Mimi ni mdau wa "utulivu" yaani tuwe na jamii tulivu. Kwanini naongelea UTULIVU? . Utulivu ndo hasa kitu pekee halisi kinachoweza kuwepo katika kundi la binadamu wanao kaa/Ishi pamoja.
Kiasili hakuna usawa wa...
Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana.
Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store).
Hivi kwa akili za kawaida unawezaje kufungia play store? Kwamba hata apps ambazo hazihusiani na twitter nazo tusi download...
Nataka kushare nanyi experience moja katika utafutaji.
Kuna kipindi nilipoteza muda sana kwa kuhama hama. Nilikuwa na marafiki zangu kadhaa watafutaji, na Mungu kawabariki yani mtu kupata milion 7 kwa miki au 50 kwa mwezi kwao ni kawaida.
Sasa nikawa ninaona kile ninachofanya mimi kama...
Wakubwa nina mtaji wa shilingi milioni mbili na nataka nifanye biashara.
Je, biashara gani ninaweza kufanya kulingana na pesa hiyo?
Nimetafakari sana ila nakosa kujua kwa usahihi biashara gani inanifaa.
===========
SIMILAR CASES:
===========
May 18, 2012:
May 10, 2014:
May 16, 2014...
Ndugu zangu, niende moja kwa moja kwenye mada yangu, baada ya kutafuta kazi muda mrefu mpaka nikahisi nimerogwa pasipo mafanikio yeyote yale, hatimaye Mungu akaniona nikapata kazi kwenye mradi mmoja hapa hapa nchini, ndani ya mwaka mmoja nimejipinda na kujichanga aswaaaa mpaka ninapoongea na...
Mambo vipi wadau. Natumai mko poa na mihangaiko.
Anyways moja kwa moja kwenye mada. Nilikuja hapa miezi iliopita kuomba ushauri jinsi ya ku deal na wakopaji maana walifikia kunifilisi kabisa ikabidi nitafute mtaji nianze upya. Nashukuru sana kwa michango yenu niliweza kudhibiti kukopesha na...
Leo Simon Msuva alipokuwa JKNIA amesema anatamani na atawasaidia mabondia wa Tanzania.
Mytake
Ni kama vile diamond alivyotuaminisha anahela ya kununua timu ya vpl ,halafu ikatokea mbao inauzwa million 300 tu, hakujitokeza hata kuomba negotiations.
Tahadhari Msuva asiwe kanjanja.
Rais Mstaafu wa awamu ya rtatu, Marehemu Benjamin William Mkapa alitanabahisha kuwapo kwa umuhimu wa kuheshimu mawazo mbadala na kuyafanyia kazi inapobidi, lakini ni kama tumepuuza busara hii sasa upinzani ni kama uadui, kushirikiana nao ni kama usaliti na wala hatuoni aibu kusema hivyo...
CCM mgombea wake kazungumzia ndege,barabara,stigraz,sgr na meli .
Ningependa kusikia pia akizungumzia mambo yanayowagusa wananchi moja kwa moja na effect zake zinaonekana ndani ya muda mfupi, nayo nihayo niliyoorodhesha kwenye kichwa cha habari cha thread hii.
Lakini niwakumbushe wana CCM...
Nimeipitia kwa mhutasali rasimu ya jaji warioba, Ni nzuri na imebeba mawazo halisi ya wananchi, nikagundua, ila za vyama makini vya upinzani vimekopy KUTOKA rasimu ya Jaji Warioba.
Nashauri wapinzani kuisoma Tena hadharani ili wananchi wakumbushwe tu kuwa, rasmu ya katiba mpya ni nzuri kiasi...
Habarini ndugu zangu, naombeni niwape mkasa wangu kidogo ili walio nizidi umri na wenye busara wanishauri kwenye ili ninalopitia, maana nina ongozwa na mawazo sana na nashindwa kuiona kesho yangu ilio bora
Kwanza kabisa umri wangu ni miaka 30 kwa sasaivi, nimetokea katika familia ya ufukara...
Mimi ni Kijana wa miaka 26 nikiwa na shahada ya uhandisi wa mitandao na mawasiliano...baada ya kuhangaika sana bila majibu nimeambulia kufahamu fursa nyingi ambazo nimetumia na akili yangu kidogo kuweza kupata mawazo kadhaa ya kibiashara ambazo zenye kuleta matunda chanya kwa muda mfupi sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.