MWANDISHI wa Habari Mkongwe, Jenerali Ulimwengu leo Septemba 21,2021 amezindua Kitabu chake RAI YA JENERALI jijini Mwanza na kuhudhuriwa na Askofu Benson Bagonza.
𝗛𝗔𝗬𝗔 𝗡𝗜 𝗕𝗔𝗔𝗗𝗛𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗡𝗘𝗡𝗢 𝗬𝗔𝗪𝗔𝗟𝗜𝗬𝗢𝗭𝗨𝗡𝗚𝗨𝗠𝗭𝗔 𝗪𝗔𝗞𝗔𝗧𝗜 𝗪𝗔 𝗨𝗭𝗜𝗡𝗗𝗨𝗭𝗜 𝗛𝗨𝗢....
"Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina zaidi ya wanachama milioni 8...
Nina mashaka juu ya haya ambayo sisi binaadamu tunavyozidi kukua,kubadilika,kughadhabika na utu pia kututoka.
UBINAAMU
Tunaishi katika hali ambazo jamii ndio tunayo-iogopa zaidi kuliko hali zetu za afya. Ninayo mengi sana ambayo nitayazumgumzia ningependa pia kwa sisi wote ambao tunahisi utu...
habari great thinkers.
Uwepo wa mungu ni matokea ya maendeleo ya binadamu katika kuupata ustaarabu.Men create the god in their own imagination.Ndo mana wale miungu ya kale kabla ya hizi dini mpya za kisasa walikuwa na maumbo ya kibinadamu(human look_like) hata sifa walikuwa kama binadmu...
Naona gazeti la Mwananchi wanasema Hamza alipata msongo wa mawazo baada ya kuwekeza milioni 400 Mbeya na kutofika malengo aliyokusudia, jana pia imesambaa video ikionyesha Hamza lengo lilikuwa ugaidi.
Polisi wangejitokeza basi kutupa muelekeo wa tukio, naamini sababu ya Hamza kufanya...
Habari wana Jf,
kama kichwa cha habari kinavyojeleza, lengo la uzi huu ni kuwa endelevu, kuorodhesha startups mbalimbali na mawazo mbalimbali ya kuanzisha Startups hapa Tanzania ili kuletata hamsa ya ukuwaji wateknolojia yenye kuleta faida kwa jamii yetu na ulimwengu kwaujumla.
Kwanini...
Mimi ni kijana/mwanaume ninayeishi na VVU kwa muda mrefu sasa hivi nimekua nina mahusiano na binti asiye na maambukizi na kwa sasa kwa hakika ninashuhudia mapenzi ya dhati katika historia ya maisha yangu.
Changamoto; kwa muda amekuwa akitaka mimi na yeye tukutane kimwili nikawa namtolea nje...
Habari!.
Watoto wa matajiri hufanikiwa zaidi kwakuwa ni watoto wanaokua kwa furaha.
Wazazi wao ni marafiki zao.
Mtoto hahitaji majumba ya ghorofa, hahitaji magari ili afurahi. Anahitaji kupendwa na kupewa vizawadi vidogovidogo kabisa.
Uswahili watoto wanadundwa sana , wanakaripiwa sana na...
Habari, hii ni habari ya kweli kabisaa, niliunganishwa na best friend wangu katika kazi Fulani, nilifurahi Sana kutokana na wakati huo nilikuwa na uhitaji wa kazi.
Rafiki yangu hiyo naweza sema.ni mtummwenye moyo wa kipekee Sana maana,kibongobongo ni ngumu rafiki kukupeleka sehemu yenye ulaji...
Kozi nzuri kwa mwalimu wa shule msingi anayoweza kuchukua kwa kiwango Cha degree, kozi yenye wigo mpana pamoja na fursa, chuo gani?
Ufaulu div 3.13 HGK
Anayetaka mawazo yenu ni in-service wa miaka 5
Juzi ndugu yangu aliweza kuwasajili wazazi wetu kwa chanjo kwa kutumia mtandao.
Walipewa tarehe 5 kwenye kituo kule Ununio. Leo hii wakagundua kuna utaratibu mwingine wa kwenda kupanga line na kupata chanjo papo kwa papo kwa kujaza form. Sasa waliojiandikisha ni kama wanarukwa na hawa ambao...
ATHARI 8 ZISABABISHWAZO NA MSONGO WA MAWAZO
Msongo wa mawazo unajulikana kama sehemu ya maisha ya kawaida. Mwili wako unaweza kuitikia hali hii kiakili na kimwili. Hata hivyo msongo wa mawazo unaweza kusababisha athari mbaya kwako.zifuatazo ni athari mbaya za msongo wa mawazo.(8).
1. Uharibu...
Hello members,
Nimeanza kusoma CPA NBAA Tanzania. Nipo foundation Level. Bado sijatembelea vituo vingi vya tuition. Najisomea taratibu kila nipatapo chance.
Karibuni tujadili mawili matatu.
Ntafurahi nikiona mawazo ya mpwa want HUyu kabla ya mechi Simba vs yanga
Otherwise namtakiaaa mechi njema.kama n mpenzi waoujichanganya avae BARAKOA anawe mikono kabla ya kuzama vibandavyetu vile binafsi ntakuwa kimara bucha WAZEE wA bomoabomoa
Njoooona SADAKA YA UKOMBOZI
OKOA YANGA ISHINDE
Hans Pope ameeleza sababu za Manara kukataa kusaini mkataba na Simba ambao ni mil 4 akiogopa kujifunga kwani unamkataza kufanya kazi na kampuni zingine nje ya Simba.
barbara gonzales
haji manara
hataki
klabu
kuondoka
kwanza
lazima
likizo
mashabiki
mawazo
mbali
mgando
milioni
mkataba
mshahara
muda
sahihi
siku
siku 7
simba
wachezaji
Je haya mawazo ni sahihi au kuna sehemu nimekosea nipeni mwongozo.
Mawaziri na Spika: Waziri mkuu, mawaziri wa wizara, spika wa bunge na naibu spika wa bunge wanatakiwa wasiwe wabunge.
Matokeo ya uchaguzi Mkuu: Matokeo ya uchaguzi mkuu yahojiwe mahakamani.
Tume huru ya uchaguzi: Kuwepo na...
Wakuu habari zenu na poleni kwa majukumu.
Naombeni ushauri kwa hili jambo ingawa ni la kiofisi ila naamini humu nitapata muongozo au mawazo yatayoniongoza kufanya maamuzi sahihi.
Ipo hivi, nipo kwenye kampuni ambayo inajihusisha na mambo ya afya narudia tena (a profit kampuni) kwasasa nimepewa...
"Tukisimama pamoja kama Wananchi hakika tutasonga mbele kulipa kodi moja kwa moja ni kuijenga nchi yako. Tutakuwa wakali kwenye ubadhirifu.
Bunge tulijadili bajeti ya kila Wizara takribani miezi mitatu yanayotokea leo ni utekelezaji wa bajeti iliyojadiliwa takribani miezi mitatu ndugu zangu...
Wadau habari za jioni?
Kama mada ilivyo hapo juu kuna huo ugonjwa unaitwa Anal fissure siujui jina lake kwa kiswahili, yani unakua kama kunavinyama fulani vinatokea kwenye anus vinatokana na mchaniko unaosababishwa na choo ngumu.
Huu uugonjwa unadawa ambayo inaweza kuuponesha tofauti na...
Kulingana na utafiti mpya wa Chuo Kikuu cha Columbia uliochapishwa katika jarida la eLife: wakati chanzo cha mafadhaiko kinapoondolewa, nywele zinaweza kurudi kwenye rangi yake ya kawaida.
Kwa miongo kadhaa tumejaribu kuelewa husiano uliopo kati ya msongo wa mawazo na kuota kwa mvi, na huu ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.