Hii kitu ni mbaya sana kwa wanawake, kwa ufupi nimegundua ndoa nyingi zina mifarakano mikubwa na wenza wengi wanaishi ili siku zisonge tu.
Hisia na kujaliana kwa wenza wengi hakupo tena, wanaume wengi pia hawajali kuhusu kujua ratiba za wake zao zipo vipi.
Mwisho kabisa niwaase wana ndoa kama...
Habari za mda huu
Nahitaji mchango wenu wa mawazo katika hili ni kwamba nina eneo langu la wazi linatazamana na kituo ch mafuta ambach hakijaa anza kufanya kazi bado hili eneo kama mnavyojua sasa hivi matumizi ya mabanda au vibanda vya biashara ni changamoto sana. Sasa kun wazo nimepewa lakini...
Wakuu,nawasalimia kwa jina la nchi yetu pendwa Tanganyika.
Jana nilikua na jamaa yangu mmoja hivi bar ya mtaani kwetu tunapiga vyombo. Sasa bana kwenye ile bar kuna bar maid tumezoeana kiaina, so jioni ile wakati kagiza kameingia na safari lager zangu zikiwa zimenikolea, nikawa nimemuita yule...
Rafiki yangu mpendwa,
Wengi wetu huwa tunakutana na hali hii.
Pale unapokuwa huna fedha unakuwa na mawazo mazuri sana.
Unakuwa na mipango mizuri kwamba ukipata fedha utazitumiaje vizuri ili upate manufaa makubwa.
Ukimuona mtu mwenye fedha anazitumia vibaya, unajiambia huyo hajui matumizi...
Eti umemrudisha Iyombe kuwa Mwenyekiti wa Mfuko wa PSSSF. Hivi kweli kabisa mmekosa watu wazuri wenye mawazo ya kuukwamua huo Mfuko. Huyu Iyombe ndiyo chanzo cha kuua huo Mfuko tangu akiwa Mwenyekiti wa Bodi ya PSPF.
Kuna wakati JPM alishaamua kumtoa lakini basi tu akaona bora amalizie muda...
Tanzania inashindwa kuendelea kwa sababu ya kuweka madarakani viongozi wenye damu ya Utumishi wa umma na kushindwa kuweka mchanganyiko wa Watumishi wa umma na wafanyabiashara. Ntatoa mfano kwa awamu zote sita zilizowahi kuwepo kwenye utawala
Historia ya Mwalimu alikuwa Mtumishi wa Umma kwenda...
Siku hizi naona mambo yamebadilika, night clubs zimejikita zaidi kwenye kuuza vinywaji kuzidi uwaja wa kucheza (dancig floor), hii nimeona inanyima watu ule mzuka wa kwenda club kwa jili a kucheza.
Kiukweli mimi ni mgeni kwenye hii biashara ila zamani nlikuwa napenda sana kwenda disco zenye...
Kwa umri wangu wa kwenye mitandao, JF specifically nimejifunza na kugundua jambo hili, Pro-CCM wengi kama sio wote ni very antisocial na wanakitu kama stress Fulani hivi.
No nadra sana kumkuta Proccm kwenye majukwaa ya MMU, Chitchat etc na hata ukibahatika kuwakuta huko lazima wachafue hali ya...
Kama dunia imekwama mahali fulani au imefanikiwa sana basi yote hayo mawili yamesababishwa na mwanamke.
Wanaume wote kabisa kwa 90% ni wanawake kwa mawazo yao (ambayo ndiyo yanayotengeneza tabia zao na mifumo ya maisha yao), pia wanaishi mfumo ambao siyo dume bali jike (feminism) kasoro...
Habari wana Jamvi.
Leo nimejifikiria kuhusu Biashara ya tofali naamini kila mtu kwa nafasi yake ameshiriki katika biashara hii. Leo ningependa tuelezane mambo kadha wa kadha kuhusu biashara hii, jinsi yakufanikiwa zaidi na zaidi, uendeshaji na maono yako kwa mfanyabiashara baada ya miaka...
HUMPHREY POLEPOLE SI KUBEZA
Na Thadei Ole Mushi.
Huenda Polepole yupo sahihi lakini Madhara ya anachokisema ni makubwa mno.
1. Yeye kama Kiongozi ana Platform kubwa zaidi kuliko Mimi na wewe ya kushauri Kwa kumfuata Mkuu wa Mkoa DSM wakajadiliana kuhusu wamachinga.
2. Kauli hizi zinaweza...
Kuhusu Bwawa la Nyerere: Ukweli ni kwamba Umeme wa Bwawa la Nyerere utatutosheleza lakini sio mwingi kiasi cha kuuza nje. Kuna umeme sasa umefika vijijini, joto la dunia linaongezeka, treni ya umeme, matumizi ya Air condition kuongezeka, viwanda vipya. Mfano viwanda vya chuma na cement vinatumia...
Shirika la UNICEF limesema Mtu 1 kati ya 5 wenye umri wa miaka 15 - 24 duniani husema ana Msongo wa Mawazo. Siku ya Afya ya Akili Duniani huadhimishwa Oktoba 10 kila mwaka.
Imeelezwa, kila mwaka Vijana wapatao 45,800 hupoteza maisha kwa kujiua, sababu ambayo imetajwa kuwa ya 5 kwa vifo vya...
Baada ya kupitia BOT nikaona kitu kinaitwa IFEM yaani interbank foreign exchange market, imenichanganya how it works kwamba ni mfumo unaodili globally au ndani ya nchi, nikaamua kuingia chimbo nikakutana na melezo haya,
LONDON, NEW YORK – EBS(electronic brokering service), ICAP’s...
Habari wanajamvi, poleni na majukumu ya kila siku!
.
.
niende moja kwa moja kwenye mada, kwa mara ya kwanza kusema nyumbani kuwa unataka kuoa, dada zako na mama walichukuliaje?.
.
.
binafsi mimi ni kijana wa miaka 30 kwa sasa, nina mchumba tayari, lakini imekuwa kila nikisema nyumbani hata kwa...
Habari za asubuhi waungwana!
Nimeamka salama nimekutana na habari moja ya ugunduzi wa madini katika Kijiji fulani huko Mtwara a.k.a Ntwala.
Nikajisemea moyoni kuwa bado hayataleta impact kwa taifa ingawa wananchi wachache watanufaika kwa kupata vibarua huko.
Nimebahatika kufanya kazi kwenye...
Kwa kipindi cha miaka ya hivi karibuni kumekuwa na matukio ya watu kuchukua maamuzi magumu ya kujitoa uhai. Vilevile kumekua na ongezeko la watu kuishi mtindo wa maisha usiofaa ambao huweza kuleta madhara kwenye maisha yao na jamii inayowazunguka, mfano tabia ya ukahaba, matumizi ya pombe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.