Mawazo aliyoyatoa mbunge wa ubungo kilita mkumbo kuhusu kufuta cheo cha afisa elimu kata ni mazuri na yana tija kwani shughuli wanazofanya hao watu zinaweza kufanywa na mwalimu mkuu, au mkuu wa shule na tena serikali ikaokoa kiasi cha pesa kwani wanalipwa posho ya madaraka laki mbili na nusu...
Mshauri wa Rasilimali watu Mosses Raymond amezungumzia upande wa pili wa msongo wa mawazo kitaalamu kwa kusema huwa inasaidia kuleta mabadiliko katika maisha ya mtu binafsi na inaweza kumfanya anenepa.
Mosses amesema wengine wakipata msongo wa mawazo hunenepa na kupata nuru kwa sababu hupenda...
Wiki hii nilikuwa kwenye matembezi yangu mtaani mzazi fulani akiwa hoi anatoka shamba akakimbiliwa na mwanaye mtoto akamwambia mzazi,kule shule wameagiza traksut mzazi akaonekana kuzidi kuchoka mana hali ngumu ya maisha inampiga na mtoto ndiyo hivyo.Ukimuangalia mtoto kavaa yebo ametoka shule...
Ndugu msomaji wa nakala hii fupi. Habari ya wakati huu. Naomba rejea kichwa cha nakala hii kama kinavyojieleza hapo juu.
Naomba kunukuu
"Tunahitaji mgombea binafsi wa ubunge ili wabunge wawe huru kutoa mawazo yao bungeni bila kuogopa chama".
Tangu nimeanza kufuatilia mambo ya siasa za dunia...
Wakuu habari za mchana,
Nimekuja kwenu kuleta wazo na kuomba ushauri hii ni kutokana na ukweli kwamba nimechoka kuwapa hela vibarua wa kulima shamba langu kwa kutumia jembe la mkono.
Hivyo nikawaza nikiwa kijijini tulikuwa tunatumia jembe la kukotwa kwa ngómbe (Plau) hivi hakuna namna...
Nimeweka sana juhudi kwenye kujijengea maisha lakini nguvu zote hazijafua dafu. Muda huu nimelala apa kitandani ila usingizi sipati kwa maana nipo kwa baba wakati ilinipasa niwe nafanya harakati za kuoa kwa umri wangu.
Nimetafuta sana mtu wa kunifadhili mtaji nifanye biashara ninayoifaham vyema...
NAMNA YA KUTENGENEZA PESA KWA KUTUMIA MAWAZO (AKILI)
Mtaalamu Albert Eisteirn aliwahi kusema kwamba asilimia 5% ya watu wote duniani ndio wanaoweza kufikiri
Na asilimia 15% ya watu wote duniani huwa hawajui kama wanafikiri au hawafikiri.
Na asilimia 80% ya wanadamu wote wako tayari KUFA...
Uzi tayari.
Ila mimi sikubaliani na utafiti kwamba eti wanawake hawana Kinga ya kutosha kutokana na kuwaza zaidi.
Kama hawana Kinga mbona wanaishi Umri mrefu kuliko wanaume?
======
Imeelezwa kuwa mwanamke ana wastani wa mawazo 70,000 kwa siku na inaaminika asilimia 70 huwaza vitu vya...
Nilifuatilia mkutano wa waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi na waandishi wa habari uliochukua takriban dakika 70, na jambo muhimu kwangu ni yeye kuzungumza kuhusu ushirikiano wa China na Afrika.
Muhimu zaidi ni yeye kujibu madai kuwa China inaweka mitego ya madeni barani Afrika.
Wang Yi...
Wadau habari za mida naomba mchango wenu wa mawazo kwanini wafanyakazi wengi wa umma ni masikini unakuta mtuu ana bachelors degree ila unakuta anaishia kumiliki nyumba na gari moja tuu ambapo ukiangalia ni vitu vya kawaida sana yani hata hakuna maajabu wanauofanya kama wenzetu ukichukulia...
Habar wakuu,
Kwanza nikiri kuwa nepata wazo la kufanya hii biashara ya maharage ya kuchemsha kutoka humu humu kwa MSELA Q Beans, Ila sio dhambi, msela nimemtafuta kwa number yake ile ya watsap aliyoitoa lakini haipatikani.
Nimecheki inbox hajajibu, huenda Yuko bize, najua akiwa online...
Ndugu zangu, nimepata mawazo ya kufungua shule ya chekechea maeneo ya kiluvya, tuna eneo mimi na mkwe wangu la heka tisa. Tunataka kuanza na chekechea, baadaye tuongeze hadi primary baada ya kuisoma biashara na mwenendo wake.
Naomba mwenye uzoefu na biashara hii atuambie changa moto zake...
Kwanza kabisa naomba nitoe shukrani na samahani nyingi kwa kuchelewa kutoa shukrani kwa msaada mlionipatia hapa na nimerudi hapa pia hakika hapa ni shule na nisehemu ya kujifunza na kuelimika zaidi ya hapo ni mahala ambapo hutakiwi kuishi kiubinafsi mtu anapoleta hija au maoni tusiishie kumcheka...
Habari ya leo.
Miezi kama 3 iliyopita alinitembelea shemeji yangu wa kiume (miaka zaidi ya 30) na alilala chumba cha watoto. Ikumbuke Nina Binti/mtoto wa kike miaka 5, wakati huo niliongea na mama watoto kuwa next time sitaki kuweka utu wa mtoto wangu rehani kwa watu wanaojiita "uncle"
Leo...
Habari za wakati huu wana JF wenzangu. Washiriki wenzangu wa kila hali.
Leo na mimi nimepata tatizo, tena kwa ndugu yangu, tena ninayekaa nae nyumbani kwangu. Tatizo analolipitia ni anasikia SAUTI za watu zikimuita akiwa ndani, anasikia magari yanakuja nyumbani, anataja polisi wanakuja, mara...
Kuna jamaa mwamba wangu amenipa sugestion ya hii chuma katika kusakanya mkangafu wa kutunishiana misuri rodini huko.. toka jana nimekua na google nacheki youtube kuhusu hii chuma..
Mie ni mpenzi wa sedan ila huku mikoani ambapo nahamia kubaya sana kila siku kuna uwezekano wa kung'oa au bumper...
Habari wanajukwaa, kwa wale wapenzi wa music production tupeane mawazo mapya kwenye utengenezaji muziki, kuanzia utengenezaji wa melodies, drumkits na sounds nzuri zaidi.
Vilevile sound engineers kama wapo wanakaribishwa.
Sina uhakika kama thread ya aina hii imeshatengenezwa, lakini itasaidia...
wakuu habari zenu
Msaada wenu unahitajika sana,
Nina mdogo wangu amesoma famasi ana diploma yake na kutokana na ugumu wamaisha kupata ajira imekua shughuli pevu mdogo wangu huyu ameamua kujiajiri kwa kutafuta kaeneo kake afungue angalau duka la dawa muhimu.
Mimi kama kaka yake nimekuballiana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.