mawazo

  1. Miaka michache ijayo Tanzania itaenda kuwa na watu wenye msongo mkali wa mawazo kutokana na madeni

    Ili kuwepo na ustawi ni lazima nchi ikuze hali ya uchumi wa watu wake. Purchasing power lazima iongezeke. Kinyume na hapo ni stress na madeni. Leo kuna viwanja vinauzwa kwa mkopo, kuna wafanyabiashara wanakopesha zana za ujenzi kwa riba, kuna magari ya mkopo na hamna kipato cha uhakika...
  2. Hata kama kakuacha, ondoa mawazo ya kujiua na kuua watoto

    Nawasalimu kwa salami pendwaaa,jibu NI kazi Iko hivi Kuna watu walipendana sàana,huku na huko wakamwita shekhee,akachoma ubani,ndoa ikafungwaaa. Ndoa ikawajibu jamani wakapata watoto wawili. Sasa huyo mume NI mshika chaki na mke NI mshika chaki,jamoooon mnanielewaa! Sasa Kama mnavyojua Tena...
  3. Jaribu kukua kifikra

    Wakati nasoma ushuhuda wa yule binti wa Mbinguni na kuzimu miaka 10 nyuma, kuna vitu viliniingia kichwani. 1. Kamwe usimwamini binadamu. Kitu cha kwanza unachotakiwa kujua binadamu si malaika. Kila binadamu ana maisha ya pande mbili, kuna upande wa kwanza unaoujua, upande mwema lakini pia kuna...
  4. M

    Naomba msaada wa mawazo juu ya hili

    Habari za jion wana jf, Ni kuwa nina akaunti ya kuweka akiba NBC ambayo mara nyingi huwa naweka akiba yangu. Ila leo nimeangalia salio naona lile salio la mwsho kuangalia halijawa lile ambalo nilitarajiwa liwepo leo navyoangalia, yaani naweka ela nasema leo nianglie nbc mkonon lazima itakuwa...
  5. Nataka kuanzisha umissionari wa kupeleka Ukristo kutoka Afrika kwenda Ulaya na Marekani, naombeni mawazo

    Wakuu nimegundua Ulaya na Marekani kuna upagani mwingi sana. Wala hakuna ukristo kule ni zuga tu. Sina wasiwasi na uarabuni na china, Maana huko kwa utafiti wangu kuna wakristo kificho wengi sana ila wanaingia misikitini na kuswali kwa ajili tu ya usalama wao. Nimefikilia hawa wazungu kabla...
  6. Mawazo binafsi: Kwanini Tanzania tusiahirishe Uchaguzi Mkuu wa 2025 hadi mwaka 2026 ili kupata Katiba mpya?

    Serikali imepanga kutoa elimu ya katiba. Inaonyesha hadi mwaka 2025 katiba Mpya itakuwa haijapatikana kwa sababu elimu itakuwa inaendelea kutolewa. Sasa, kwanini Uchaguzi Mkuu usiahirishwe Ili ufanyike mwaka 2026 tukiwa na katiba Mpya?
  7. B

    Nauza mawazo

    Ndg wana JF, Kwa heshima na taadhima, naomba kuujulisha umma wa Watanzania kuwa kuanzia leo nianzishe biashara ya kuuza mawazo kwa watanzania wenzangu pamoja na wageni juu nini mtu afanye for development sake. Sasa nimeona sina budi nijiajiri ili niwe nawauzia bidhaa hii baada ya kufanya...
  8. Naomba mawazo yenu

    Wapenzi wangu, Kuna rafiki yangu anataka kufungua biashara ya nguo ipi itamfaa. Hii yakuprint tshirts na blauzi au kuletewa nguo kutoka njee na ninguo gani zitakuwa na wateja??
  9. R

    Deus Kibamba: Ukishastaafu unatoa mawazo yako kwa uhuru pasipokujali utapoteza nini kesho au kesho kutwa

    Wakati akiwa anahitimisha kutoa neno leo katika yake katika mkutano maalum wa vyama vya siasa leo tarehe 13/9/2023 ambapo ni siku ya tatu, Bwana Deus Kibamba alisema; "Mh. Mwenyekiti naomba nishukuru sana wazee wetu wastaafu, mmeona jinsi ambavyo ukishastaafu unakuwa very sober, unatoa mawazo...
  10. Simpendi Rais Samia ila yawezekana Akitokea mtu akaniambia alichofanya cha maana Tangu aingie Madarakani naweza kubadili mawazo nikampenda

    Ukihitaji salamu njoo unieleweshe kwanza,tofauti na hapo utaula wa chuya!. Hii nchi kila mtu yuko huru ili mradi asivunje utaratibu na sheria za nchi tulizojiwekea kwa utaratibu pendekezwa toka kwenye Katiba. Kumpenda au kumchukia mtu ni hiari au matakwa ya mtu. Mimi binafsi simpendi na si...
  11. R

    Je, waliomuua Alphonce Mawazo mkoani Geita wataachiwa huru kwenye rufaa?

    Nimeona kesi nyingi za rufaa zinazohusu mauaji watuhumiwa wanaachiwa huru katika hatua ya rufaa. Hali hii inaonyesha upo udhaifu mkubwa kwenye upelelezi, au uendeshaji wa mashtaka au utoaji hukumu. Katika hali hii inayoendelea upo uwezekano wauaji wenye nguvu ya fedha au siasa wakaachiwa wote...
  12. T

    Naomba mchango wako, unaonaje mawazo haya 🙏

    .
  13. Utafiti: Kazi 8 zinazoongoza kwa kuchochea Msongo wa Mawazo

    Kazi zenye msongo wa mawazo zinaweza kutofautiana kulingana na mazingira ya kazi, utamaduni na hali ya uchumi katika maeneo tofauti barani Afrika. Hata hivyo, kuna kazi kadhaa ambazo zinaweza kuwa na uwezekano mkubwa wa kusababisha msongo wa mawazo kutokana na shinikizo la kazi au mazingira...
  14. Y

    Kesho ni fumbo kubwa ambayo jana yake ina maumivu

    Kuna muda unakaa unawaza maisha jinsi utakavyojitoa kwenye umasikini lakini njia imefungwa. Mawazo nayo yanazidi kupamba moto kile ulichokuwa unakutamani kiwe hakiwi kama utakavyo. Unaamua kutumia njia nyingine kufikiri ni njia sahihi unatambua ni sahihi kwa watu wengine kufanikiwa kwa kutumia...
  15. Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

    Katika maisha kila mtu ana amini katika kile anachokiamini kuanzia kwenye maisha binafsi, dini, uchumi, siasa n.k. Kuna watu wanaamini biashara bila ndumba haiendi, kuna wanao amini mapenzi bila pesa lazima mwanamke Aku cheat n.k. Mimi kwa upande wangu nilikuwa naamini kutumia miti shamba...
  16. R

    Kalala vema anaona kabisa vizuri ila kaamka ni kipofu. Nini Tatizo?

    Nina ndugu yangu huwa ana tatizo la kisukari. Amekuwa aki -icontrol vizuri tu with medication as usually is controlled by many. Kalala vema anaona kabisa vizuri. KUAMKA NI KIPOFU. Nini kimetokea na remedy/treatment ni ipi?
  17. Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    Tamko hilo limetolewa leo na Padri Kitima. Kwa Mujibu wa Padri kitime ,TEC imeamua kusimama na wananchi kwenye suala la bandari Padri kitime amesisitiza kwa sasa serikali inataka kuligawa Taifa kwenye pande mbili wanaokubaliana na wasiokubaliana,lakini wengi wanaokubaliana wanahofi tu kwa...
  18. Ni wazi kabisa CCM Wameshapuuza Mawazo na Maono ya Mwl Nyerere

    CCM heshimu busara za wazee tofauti na hapo hakuna mtakachofanya kikawa na baraka. Bora hata magufuli alijaribu kufuata nyayo za huyu mzee. Nasikia hata huko TBC wosia wa baba unakuja kwa machale sana maana ni mwiba kwa CCM ya samia iliyo jaa wezi za mali ya umma..
  19. Tundu Lissu atembelea kaburi marehemu Alphonce Mawazo

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameitembelea familia ya aliyekuwa wanachama wa chama hicho marehemu Alphonce Mawazo ambaye aliuawa kwa kukatwa mapanga katika kijiji cha Chikobe Wilaya ya Geita mkoani Geita. Pia soma > TANZIA - Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa...
  20. S

    karibuni vijana wenye mawazo ya teknologia ambayo mnataka yafanyiwe kazi.

    kama kichwa cha uzi kinavyojieleza . nawakaribisha vijana wote wenye mawazo ya teknologia yabayoweza kua biashara au msaada kwa taifa ili yafanyiwe kazi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…