Lema ameyasema hayo katika Mkutano wa kupinga Mkataba wa Bandari unaofanyika leo tar 23/7/2023 Temeke, ambapo amesema, Waarabu wanaangalia miaka 100 - 200 mbele wajukuu zao wataishije wabunge wenu wanaangalia 2025 watapata wapi pesa ya uchaguzi.
Huku akiendelea kuwa, Unapokuwa na viongozi...
Kumbuka, hakuna suluhisho la haraka au rahisi la kutatua matatizo yote ya maisha, lakini kutumia mbinu hizi na kufanya jitihada zako binafsi kunaweza kuboresha hali yako na kukuwezesha kuhimili ugumu wa maisha kwa ufanisi zaidi.
Kuelewa jinsi ya kupunguza ugumu wa maisha ni muhimu sana kwa...
Kama mawazo hasi, mawazo ya kujiua, mawazo ya kujihisi mpweke, mawazo ya kukataliwa au mawazo yoyote yanayokufanya ukose amani ya moyo basi ujumbe huu unakufaa sana, ujitahidi ufanye hivi.
Kila mtu hupatwa na mawazo hasi kwa namna moja au nyingine katika muda tofauti.
… ila kinachojalisha...
Kujenga vijana kifikra ni muhimu sana katika kuwawezesha kuwa na mawazo na mtazamo mzuri wa maisha. Hapa kuna hoja kadhaa za kujenga vijana kifikra:
Elimu yenye ufahamu: Badala ya kuzingatia tu kujifunza kwa ajili ya mitihani, ni muhimu kuhamasisha vijana kufikiri kwa kina, kuuliza maswali, na...
Wakuu salaam
Kuna ndugu yangu anataka kuanzisha biashara ya kununua FUSO zima la viazi vya chips / viazi ulaya/ viazi mviringo, Njombe na kuja kuuza Dodoma
Naomba Kwa mtu mwenye uzoefu au amewahi kufanya hii biashara atoe uzoefu wake
Hasa kwenye mambo ya soko kwenye kununua na kuuza
Hongera kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Hasa Rais wetu mpendwa kwa kupokea Wanafunzi wa Udaktari toka nchini Sudan.
Ikumbukwe nchi ya Sudan ipo katika vita vya wenyewe kwa wenyenye. Mungu akawape utulivu, wepesi na waendelee vema na masomo yao katika Chuo cha Kikuu cha tiba...
Habari wana JF, Mimi ni Developer ( Web & Mobile ). Nina uzoefu na web development upande wa Backend na Frontend. Pia nimejifunza mobile app development kwa Flutter na nimefanikiwa kufanya project kadhaa ndogo ndogo kwa ajili ya kujiimarisha na kupata uzoefu wa kile nilichojifunza.
Kwa sasa...
MAWAZO YENYE ATHARI CHANYA: KUCHOCHEA MAENDELEO NA MABADILIKO KATIKA JAMII
Imeandikwa na:Mwl.RCT
Picha | Kwa hisani ya 'training'.au
1. UTANGULIZI
Katika jamii yetu ya leo, mawazo yana nguvu kubwa katika kuunda mabadiliko chanya. Mawazo hayo yanaweza kuchipuka kutoka kwa mtu mmoja na kusambaa...
TIBA YA MSONGO WA MAWAZO.
Utangulizi.
Msongo wa mawazo ni hali ya mtu kuzongwa na mawazo hasi ambayo mara nyingi hupelekea matokeo mabaya Kwa muhusika hasa pale asiposaidiwa au asipojisaidia kutoka kwenye changamoto hiyo. Tatizo hili limekuwa ni jambo mtambuka Kwa kizazi chetu, na hii...
Kunatafutwa namna ya kusema wananchi waliunga mkono.
Wananchi wana ambiwa watoe mawazo kuhusu ubinafishaji bila kuweka wazi mkataba sasa mawazo yao hasa ni ya nini?
Ina maana Watu wote wanaoalikwa Ikulu huwa ni Waroho, wana Njaa sana na Makwao huwa hawali?
Natoa pongezi kwa wale ambao hawajaalikwa Ikulu kwani inaonyesha hawana Njaa, si Masikini, si Washamba wa Vyakula na Vinywaji na ni Watu Matajiri vile vile.
Hata Mimi MINOCYCLINE ikitokea nimefanya...
Maamuzi ndio yanachagua tufanye nini, tufanye nini na maisha yetu, au tufanye nini na wapenzi wetu. Ili kufanya maamuzi kwanza inabidi kujiuliza;
~ Ni kitu gani nataka?
~ Kitanifanya nijisikiaje?
~ Je, kitanisaidia kusonga mbele?
~ Ni kitu gani ningependa kitokee?
Ukishajipatia majibu ya hayo...
Vijana tunapenda sana kuiingizana kwenye mitego ili tunase, na ninasema hiviiiii...mimi sinasi kwa sababu nina Akili.
Sasa sikia! Hili naomba niliweke wazi kwa mara nyingine tena. Mimi siungi mkono mambo ya uchoko wala usagaji, na nikishajua fulani ni choko, kimsingi urafiki wangu na yeye...
Wazungu wanao huu msemo, "How you do one thing is how you do everything."
Na sisi makazini na majumbani tunauishi huo msemo. Ukichelewa intavyuu, mabosi wanahisi hata kazini utachelewa tu, na kazi zako zitachelewa pia. Ukidanganya sana kazini, hata kwenye mahusiano utachepuka sana.
Turudi...
Waziri wa Biashara wa Uingereza Dominic Johnson hivi karibuni alifanya ziara mjini Hong Kong, China, akiwa na lengo la “kuihimiza Uingereza kupata uwekezaji na biashara zaidi”. Hata hivyo, bado hakuacha kufuatilia mambo ya ndani ya Hong Kong, na kudhihirisha kuwa ni vigumu kwa Uingereza kuacha...
Jamii iko katika mchakato usio na mwisho wa uboreshaji ambao unahitaji kizazi thabiti cha mawazo mapya. Changamoto mawazo ya kawaida ni matokeo ya kufikiri ubunifu na hoja tata ambayo ni kazi ya elimu ya juu. Kama msomi, nimekuwa nikitamani kila wakati kuleta mawazo mapya, imani, imani, na...
Nimwombee Mzee Lowasa afya njema huko aliko. Ninapomsikia Bashe na hoja zilizoegemea kwenye mikakati iliyopo beyond hata muda wake wa uwaziri nafarijika kwamba Taifa bado tuna viongozi wanaoweza kurithi yale tuliyoanzisha huko nyuma.
Vision aliyonayo Bashe inapaswa kwenda kuwafungua macho...
WATOTO WASIOZALIWA
1. LETTER TO MY UNBORN CHILD - 2 PAC
Pac anamwandikia barua mtoto wake ambaye bado yupo tumboni mwa mama yake na KUMWAMBIA UKWELI kuhusu dunia hii.
Mistari ambayo inanigusa zaidi humu ni hii ifuatayo;
"MY ONLY FRIEND IS MY MISERY." 00:48
(Rafiki yangu wa pekee ni mabalaa...
Unapoachwa na mtu umpendaye inauma.
Hasa ukifikiria kwamba huyo mtu mlikua mnaendana sana. Mlikua mnaelewana.
Mawazo huwa ni mengi, lakini kitu kinachotokea ni kwamba unajikuta huwezi waza kitu kingine zaidi ya mawazo ya kuachwa.
Kila ukiwaza unaumia.
Unaona mambo ni mabaya kila sehemu, hupati...
Habari ya leo?
Naomba mnisaidie kuandika ushauri wenu juu ya hili.
Mm naishi mkoa X nina nyumba ambayo nimepangisha wapangaji na kupata pango la laki 5 kwa mwezi.
Sasa kuna eneo la shamba ekari nne eneo tambarare na karibu na barabara kuu linauzwa nami naona ni zuri na litanifaa kwenye miradi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.