Wasalaam.
Huku Karatu mahindi yameota vizuri ila mvua hakuna.
Ikipita wiki moja hakuna mvua yanaelekea kukauka
Sijui maeneo mengine ila hali ya hewa ikiendelea hivi ni hatari.
Nimeshtuka kuona waafrika wana hizi mindset.
Yaan yupo radhi aachie dili ya mamilioni kisa tu uliyeleta hiyo dili ni mtu binafsi!!
We manager ni zero brain kabisa!!
Najua huu uzi utausoma
NB: Nadhan angekua ni mwenye kiwanda asingefanya huu ujinga
Wadau wa JF, habari zenu?
Katika hali ya sasa ambapo bei za mazao hubadilika mara kwa mara, ni muhimu kujua mwenendo wa soko ili kufanya maamuzi sahihi ya biashara na ununuzi. Leo tunajadili bei za mazao mbalimbali kote nchini.
Je, mkoani kwako bei zikoje kwa mazao haya?
Mahindi – Bei ya...
Ndugu poleni na majukumu naona fursa kwa upande wa mazao au nafaka pia hata matunda.
Nahitaji kuingia huku kwenye hii biashara ila nahitaji mwongozo zaidi.
Nilikuwa naomba kwa anae fanya hii biashara anipe mwongozo.
Naomba uwe unafanya hiyo biashara kwa sasa ili kupata uhalisia kamili wa...
WIZARA YATAKIWA KUBUNI MAZAO MAPYA YA UTALII KWENYE ENEO LA AMBONI
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kubuni mazao mapya ya Utalii ili kuwavutia watalii huku ikisisitiza kwamba inatamani watalii wanaotoka Zanzibar kwenda kutalii...
Wakuu wa JamiiCheck naomba kufahamu uhalisia wa hili kwamba ukungu unaweza kuathiri mazao na kupunguza kiwango cha uzalishaji. Huwa naona shambani majani ya mimea inaungua nikuliza wenzangu wananiambia ni ukungu je, ni kweli?
Habari wana jamii
Kwa jina naitwa Juma Issa Mikidadi, ni kijana mwenye shahuku ya maendeleo . Nimepata wazo la kufanya biashara ya mazao ya chakula yaan mchele, maharage , mahindi na unga. Eneo ni Mtwara ...
Serikali kwa kushirikana na sekta binafsi imendelea kuimarisha uzalishaji wa ndani wa mbegu bora za mazao ambao umeongezeka kutoka tani 42,096.68 msimu wa 2022/2023 hadi kufikia tani 56,114 msimu wa 2023/2024.
Makadirio ya mahitaji ya mbegu hizo nchini kwa msimu wa 2024/2025 ni tani 80,000...
Nitaelezea zaidi Kanda ya ziwa, hasa mkoa wa Kagera
Biashara ya mazao hasa nafaka ni biashara ambaya haimtupi mtu, yaani hapa faida inayoweza kuji double ni uhakika
Usichukue mtaji ukawekeza kulima kama kijana unayejitafuta maana kilimo kina risky zake Kwa sisi Africa tunaotegemea mvua ya...
Habari wana jamii wenzangu. Kama kichwa cha habari kilivyojieleza hapo juu. Nimekaa nakutafakari namna na jinsi ambavyo ninaweza, au tunaweza kama vijana kutafuta masoko ya mazao yatokanayo na kilimo nje ya nchi. Mfano wa uchache wao ni kahawa, korosho, pamba karafuu na mengineyo
Kwenye...
Sijui kama haya bado yapo siku hizi, lakini siku za nyuma ilikuwa kawaida kusikia:
1. Marufuku kufanya biashara ya mahindi mabichi kuepuka kuepuka upungufu wa chakula nchini!
2. Marufuku kusafirisha mahindi, mchele, n.k., nje ya nchi kuepuka upungufu wa chakula nchini
Ikiwa Serikali...
Sijui kama haya bado yapo siku hizi, lakini siku za nyuma ilikuwa kawaida kusikia:
1. Marufuku kufanya biashara ya mahindi mabichi kuepuka kuepuka upungufu wa chakula nchini!
2. Marufuku kusafirisha mahindi, mchele, n.k., nje ya nchi kuepuka upungufu wa chakula nchini
Ikiwa Serikali...
Moja kwa moja nawashukia wakala wa vipimo (Weights and measures Agency aka WMA) ambao wanahusika na udhibiti na ukaguzi wa uzito wa mazao hapa Tanzania. Hii taasisi ina vituo vyake katika kila sehemu zenye mizani katika barabara kuu hapa Tanzania. Mfano mizani za...
Wananchi Wakulima na Wafanyabiashara wa Kata Masakata Wilayani Hanang mkoani Manyara, wamefunga barabara ya Babati /Singida na kusababisha msongamano mkubwa wa magari kwa saa moja, huku wakipinga kuuza mazao yao katika mfumo wa stakabadhi ghalani, kwa madai ya kucheleweshewa malipo yao kwa muda...
Salaam,
Wakuu, naomba muongozo wa uzoefu kwenu.
Soko lipi nitapata bidhaa kama Mihogi, Viazi(vya aina zote ), Magimbi......etc.
Vipimo vikoje kwa kila zao.
NB; Nahitaji kwa ajiri ya kuuza rejareja gengeni.
Nawasilisha.
Wakulima wa Kijiji cha Luganga Kata ya Ilolo Mpya Halmashauri ya Wilaya ya Iringa wameilalamikia serikali kwa kushindwa kuwaondoa wanyama pori, Viboko na Tembo ambao wanaingia katika eneo la mazao yao na kufanya uharibifu hivyo kusababisha hasara kwa wakulima.
Wakulima wamesema kuwa wametoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.