mazao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Venus Star

    Haya ndiyo mazao ya falsafa ya 4R

    Kitendo cha Jeshi la Polisi kuruhusu maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) leo, Jumatano Januari 24.2024 ni ishara ya utekelezaji wa falsafa ya 'R4' iliyoasisiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo inatajwa kuimarisha Demokrasia na umoja...
  2. L

    Vifungashio vya mazao jamii ya kunde

    Habarin Wana-JF, Nahitaji msaada wa kujua ninawezaje kupata vifungashio vinavyokubalika kisheria vya kufangashia mazao jamii ya kunde na kama kuna mashine zinazoweza kubana nahitaji kuanzisha biashara ya kupaki na kusambaza dengu ila nataka niwe na nembo yang maalum so nimeshindwa namna ya...
  3. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Kigahe Apiga Marufuku Wakulima Kuuza Mazao kwa Lumbesa.

    Naibu Waziri Kigahe Apiga Marufuku Wakulima Kuuza Mazao kwa Lumbesa. Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe.Exaud Kigahe(Mb) amepiga marufuku kwa wakulima kuuza mazao kwa kutumia lumbesa. Kigahe amepiga marufuku hiyo kwa wakulima na wafanyabiashara desemba 20,2023 wakati wa ziara...
  4. Trainee

    Kilimo kinatesa sana siku hizi hebu wataalamu nisaidieni tatizo hili kwenye mazao ya chakula

    Zamani nakumbuka ilikuwa mchawi nguvu tu, chochote utakachopanda kinakubali na kinafika Siku hizi sasa mkulima ana vikwazo na maadui kibao! Hebu cheki mtu unalima mazao yako kisha kuna Viwavi Panya Njiwa Ndege Kware Panzi Mchwa Vibaruti Beetle Serikali Majongoo Konokono Halmashauri Mafuriko...
  5. Aliko Musa

    Kumiliki Mashamba Ya Kukodisha Kwa Ajili Ya Kilimo Cha Mazao Ya Chakula, Mazao Ya Biashara Na Bustani

    Shamba linauzwa Tshs.350,000 kwa ekari moja. Ekari hiyo hiyo inakodishwa kwa Tshs.100,000 hadi Tshs.130,000 kwa kilimo cha alizeti, mtama au mahindi. Hapa ni momba mkoani Songwe. Inawezekana kutengeneza kipato kizuri sana kwa kumiliki mashamba ya kukodisha ambayo yana tija kwa wakulima wa mazao...
  6. G

    Biashara ya Mazao ya chakula inabaki kuwa ndo biashara yenye Fursa nyingi nzuri pamoja na changamoto zake

    Wakuu naamini kila MTU Ana ndoto ya kufanya biashara Fulani ili afikie malengo yake aliyonayo. Naamini Kuna wengi wanatamani kujua zaidi hii biashara kabala hawajaingia Kuna Aina nyingi za Fursa katika biashara ya Mazao inategemea na MTU angependa kujikita wapi Kwanza Kuna wale wanunulia...
  7. benzemah

    Uwanja wa Ndege Songwe Kujengewa Chumba Maalum cha Baridi (Cold Room) Kuhifadhi Mazao

    Uongozi wa Uwanja wa Ndege Songwe umeagizwa kujenga chumba maalumu cha baridi (cold room) kwa ajili ya kuhifadhia mazao na vitu vingine vinavyoharibika ili kuwanufaisha wasafirishaji wa bidhaa mbalimbali ikiwemo mazao kwenda mikoa na nchi mbalimbali. Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa...
  8. Stephano Mgendanyi

    TBPL Zalisheni Viuatilifu Hai Ili Kupambana na Wadudu Waharibifu Katika Mazao ya Kilimo

    Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amekitaka Kiwanda cha Kuzalisha Bidhaa za Kibaolojia Tanzania (TBPL) kuzalisha kibiashara viuatilifu hai (Biopesticides) kwa kasi kwa ajili ya kupambana na wadudu waharibifu katika mazao ya kilimo wakati wa msimu wa mvua ujao...
  9. galimoshi

    Mbunge Condester Sichalwe: Tunauhitaji wa kinu cha kuchakata na kuyaongezea thamani mazao yetu

    Na Laudence Simkonda -Momba Mbunge wa Jimbo la Momba Mheshimiwa Condester Sichalwe (Mundy) ameiomba Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko(CPB) kuanza kuona uwezekano wa kujenga kinu cha kuchakata mazao ili kuyaongezea thamani ndani ya wilaya hiyo. Momba ni Halmashauri mkoani Songwe, ambayo...
  10. Roving Journalist

    Serikali yawataka Wakulima kuweka akiba ya mazao ya chakula kwa ajili ya kukidhi familia zao na kuuza ili kujipatia kipato

    Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli amesema Serikali itaendelea kujikita zaidi katika kuongeza bajeti ya kilimo, pamoja na kutatua changamoto za masoko, kuhamasisha matumizi ya taknolojia, pamoja na kuwapatia mitaji vijana, ili kuhakikisha nchi inakuwa na uzalishaji mkubwa wa chakula...
  11. GENTAMYCINE

    Zijue Mbinu kadhaa za Kupambana na Tembo Waharibifu wa Mazao Mashambani

    1. Zungushia Shamba lako na Kamba ya Katani kisha ipakae Pilipili Kali 2. Panga Matofali moja moja Kuzungukia Shamba lako lote 3. Tafuta Spika Ndogo Nne kisha zipange kila Kona ya Shamba lako kisha weka nyimbo zenye midundo ya Ngoma tupu 4. Ukiweza mtafute Mtu mwenye Pikipiki mbovu yenye...
  12. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Kigahe: Ni Muhimu Kuongeza Thamani Mazao ya Wakulima

    Naibu Waziri Kigahe: Ni Muhimu Kuongeza Thamani Mazao ya Wakulima Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Exaud Kigahe (Mb.) amesema ni muhimu kuwa na Viwanda vidogo, vya kati na vikubwa ili kusaidia kuchakata na kuongeza thamani mazao yanayolimwa nchini ikiwemo matunda kwa mahitaji ya soko la...
  13. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Condester Sichalwe - Uzeni Mazao wa Utaratibu, Njaa Bado Ipo Tanzania

    MBUNGE CONDENSTER SICHALWE AWAASA WANANCHI KUUZA MAZAO YA CHAKULA KWA UTARATIBU, NJAA BADO IPO Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe leo tarehe 22 Julai, 2023 amezungumza na wananchi wa Kijiji cha Iyendwe Kata ya Kapele na kuwasisitiza kuuza mazao ya...
  14. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kujenga Masoko Matano ya Mazao Halmashauri ya Songea

    WAZIRI JENISTA MHAGAMA ASEMA SERIKALI KUJENGA MASOKO MATANO YA MAZAO HALMASHAURI YA SONGEA Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) Peramiho awaomba wananchi kuchangamkia fursa za uchumi zitakazo chochewa na ujenzi wa Masoko ya Mazao yanayotarajiwa...
  15. Arch - Forum Tz

    SoC03 Somo la kilimo lifundishwe kama somo linalojitegemea na la lazima mashuleni. [kilimo cha mazao na mifugo]

    UTANGULIZI: Elimu ni ujuzi, maarifa au utaalamu anaopata mtu kutoka kwa mtu, mashine au uzoefu kutoka katika mazingira aliyopitia. Hata hivyo elimu inaweza kuwa Rasmi au isiyo rasmi. Elimu rasmi ni aina ya elimu inayohusisha usajili wa wanafunzi na kuwaweka darasani kwaajili ya kujifunza kwa...
  16. Saint_Mwakyoma

    Tuliowahi kuvuniwa mazao yetu shambani kimaajabu tukutane hapa tafadhali tutoe sumu

    Kilimo ni kweli kina kipato kikubwa pia ni uti wa mgongo wa taifa lakini kilimo narudia kilimo kina vitimbi vingi kwa ground. Ukifika mashambani kunatisha mno wivu, chuki fitina na imani za ajabu zimejaa haswa unapolima kilimo cha biashara sio kile cha gunia tatu au nne. Wote tuliowaipitiwa na...
  17. Mr Lukwaro

    Hebu fahamu mazao yanayotokana na Mdudu Nyuki

    °Nta °Asali °Maziwa ya nyuki yaani "Royal jelly" °Gundi ya nyuki °Chavusha ya nyuki "Bee pollens" °Hewa ya nyuki Sumu ya nyuki yaani bee Venom Najua wengi wanafahamu kuhusu Asali tu 🙏🏾
  18. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Kigahe: Anzisheni Mfumo wa Stakabadhi za Ghala kwenye mazao mengine.

    Kigahe: Anzisheni Mfumo wa Stakabadhi za Ghala kwenye mazao mengine. Naibu Waziri wa Uwekezaji,Viwanda na Biashara Mhe.Exaud Kigahe ameitaka Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi kuzingatia maagizo ya Serikali ya kukamilisha taratibu za kuanzisha Mfumo wa Stakabadhi za Ghala kwenye mazao mengine...
  19. P

    SoC03 Uwajibikaji katika kupanga Bei za Mazao

    Kupanga bei za mazao ni mchakato wa kuamua au kuweka thamani ya jumla ambayo wauzaji na wanunuzi wanakubaliana kwa ajili ya mauzo ya mazao fulani. Kupanga bei za mazao inaweza kufanywa na pande tofauti, kama vile serikali, vyama vya wakulima, vyama vya ushirika, au wafanyabiashara wengine...
  20. Stephano Mgendanyi

    Wabunge Watoa Hoja Kuishauri Serikali Juu ya Wakulima Kuuza Mazao Nje ya Nchi

    WABUNGE WATOA HOJA KUISHAURI SERIKALI JUU YA WAKULIMA KUUZA MAZAO NJE YA NCHI Mbunge wa Jimbo la Momba, Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe amewaongoza wabunge wanaotokea maeneo ya wakulima na wafanyabiashara kutoa hoja ya kuishauri Serikali namna nzuri ya kuwasaidia wakulima wanaouza mazao...
Back
Top Bottom