mazao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sky Eclat

    Mazao jamii ya maharage ni fursa nzuri ya biashara

    Mazao jamii ya maharage ni maharage, kunde, choroko, mbaazi, njugumawe nk. Kutokana na idadi ya wasio kula nyama duniani kuongezeka soko la mazao haya limeongezeka sana. Mazao haya hutumiwa na watu wa dini na race zote. Licha ya mabara mengi kuwa watumiaji wazuri wa mazao haya, Afrika ya...
  2. Star onair

    Natafuta partner wa kusafirisha naye mazao ya nafaka

    Habar zenu jamani. Kama kuna mtu anauzoefu wa kusafirisha mazao kwa kutumia mafuso katika mikoa hii Morogoro, Mbeya na Iringa. We can join together na ku-transport mzigo. Nimechoka Kusafirisha mahindi kwa njia ya bus coz inanifanya nashindwa kusupply mzigo mwingi. Kwa wiki najikuta naleta...
  3. N

    Natafuta Dalali wa Masoko ya mazao

    Habari wakubwa naomba msaada wa dalali au masoko ya mazao ya kilimo kama vile maharage na mahindi katika mkoa wa Dar es Salaam. Asante
  4. J

    Waziri Mkuu Majaliwa: Wakulima wa mazao wanapaswa kulipwa ndani ya siku 4, tutaanzisha soko la chai Dar es Salaam

    Akiwa mkoani Njombe Waziri Mkuu mh Majaliwa amehoji kwanini wawekezaji wa viwanda vya majani ya chai wanashindwa kuwalipa kwa wakati wakulima wa zao hilo. Majaliwa amesema mkulima anapaswa kuwa amelipwa fedha zake ndani ya siku 4 baada ya mauzo. Kadhalika mh Majaliwa amesema serikali...
  5. Lameckjr

    Ushuru wa Mazao

    Habari wana jamvi!!! MH rais amekuwa akisisitiza kuwa mkulima anapaswa atozwe ushuru na mamlaka husika ikiwa tu amebeba mzigo unaozidi Tani moja!! Lakini Mbona tunaendelea kutozwa tu na Mamlaka husika!! Mfano mimi nasafirisha viazi ulaya kutoka mbeya kwenda mwanza kila Gunia natozwa 2000...
  6. beth

    Wizara ya Kilimo yasema Serikali imeruhusu mazao ya kilimo kuuzwa nje ili kuwaimarisha Wakulima kiuchumi

    Serikali imeruhusu mazao ya chakula kuuzwa nje ya nchi ili kutoa fursa kwa Wakulima kunufaika na mazao mbalimbali wanayoyazalisha. Imesema kuwa itakuwa ikitoa vibali kwa wafanyabiashara wa mazao. Hayo alisemwa juzi na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Kusaya, walipokuwa kwenye ziara ya...
Back
Top Bottom