mazao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Wakulima jifunzeni kula mazao mnayolima

    Kuna msemo kuwa. Unakula usichozalaisha, na unazalisha usichokula! Juzi nimeshangazwa na majibu ya Mkulima mmoja wa Dengu aloponiambia kuwa hajui dengu zinliwaje!? Hiini baada ya mimi kumuuliza bei ya dengu kwa kuwa nilijuwa nahitaji Kama Kg 20 kwa matumizi ya nyumbani. Tafadhalini wakulima...
  2. Teleskopu

    Mazao yasiyo na mbegu ni kitu chanya au hasi?

    Sijui kama ni maendeleo au ni kinyume chake. Leo kuna mazao mengi yasiyo na mbegu. Ukinunua mbegu ukazalisha mazao hayo, hicho unachovuna huwezi kukipanda kikazaa. Ili upande tena, lazima ukanunue tena mbegu. Haya yanatokana na na teknolojia ya kubadili vinasaba - genetically modified crops...
  3. J

    Umewahi jiuliza kwanini tunapalilia mazao yakiwa bado ni madogo?

    Habari zenu wapendwa natumai mnaendelea vizuri na mimi pia sijambo Kwasababu kilimo pia ni sayansi basi hata mambo yanayofanywa kwenye kilimo huzingatia sana mambo pia yakisayansi Kupalilia ni sehemu muhimu sana katika kusaidia mazao yako kukua na kama usipo inzingatia hii stage basi na...
  4. J

    Kwanini uandae shamba kabla ya kupanda mazao?

    Habari yako Naamini unaendelea vizuri na kama haupo vizuri basi MUNGU afanye wepesi kwaajili yako. Karibu tujifunze pamoja Kwenye kilimo kuna mambo mengi sana ambayo huchangia sana katika mavuno baadae ikiwamo kuandaa shamba kuchagua mbegu,kutunza shamba na kulinda shamba . Miongoni mwa mambo...
  5. A

    SoC01 Serikali ifanyie kazi kilio cha wakulima nchini

    Tanzania bado ina safari ndefu ya kumwinua mkulima ili ajikwamue kutoka kwenye kilimo cha kujikimu kwenda kwenye kilimo cha kibiashara ambacho kitamwezesha kuwekeza kwenye sekta hiyo kikamilifu. Zaidi ya asilimia 70 ya Watanzania ni wakulima lakini wengi wao wanafanya kilimo cha kujikimu wakati...
  6. K

    Bidhaa za viwandani zinapanda bei kwa kasi, mazao ya wakulima yanashuka Bei, hujuma hizi

    Mfuko wa cement unauzwa 1900 na 23000 kutoka 12000-14000 mwaka 2015, hujuma Sukari haishuki 26000 Mafuta ya kula lita tano ya Alzeti 30,000 kutoka 14000 mwaka 2015 Mafuta ya magari nayo yanakimbilia huko juu sijui Kuna Nini Vifaa vya ujenzi vimepanda zaidi ya nusu Bei kuanzia mwaka Jana...
  7. J

    Mazao Bora

    Mazao bora hutegemea sana kilimo bora Unapoongelea kilimo bora huwezi kuacha kuongelea uandaaji wa shamba,upandaji wa shamba na utunzaji wa shamba bora ukitaka mazao yako yawe bora zingatia sana haya mambo, kwenye utunzaji wa shamba linda mazao yako kwa kutumia viuatilifu (pesticides) vilivyo...
  8. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mkuu Majaliwa atangaza zabibu kuingizwa kwenye mazao ya kimkakati

    WAZIRI MKUU ATANGAZA ZABIBU KUINGIZWA KWENYE MAZAO YA KIMKAKATI Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa amesema zao la zabibu litajumuishwa katika mazao ya kimkakati ikiwa ni mkakati wa serikali kuinua zao hilo linalolimwa jijini Dodoma. Kutokana na hatua hiyo, zabibu zitajumuishwa katika...
  9. World Logistics Company

    Uzoefu wetu na India: Kwanini wafanyabiashara wanaagiza mazao kutoka nje ya nchi?

    Wadau wa Biashara na Ujasiriamali, Tumeona humu kuna wazoefu wa biashara hizi za mazao ya kilimo, bila shaka ni sahihi kuleta jambo hili kwenu ili tubadilishane uzoefu. Pichani ni mzigo wa nafaka za mahindi uliagizwa na mteja wetu wiki kadhaa zilizopita. Mzigo huu ulitokea nchini India na...
  10. Chorter

    Karibu tufanye biashara ya mazao mbalimbali kutoka Rungwe, Mbeya

    Habari wanna JF. Sisi n wasambazaji wa mazao mbalimbali kwaajili ya biashara sehemu mbalimbali tz bara, tuliamua kufanya hii kazi ili kuwarahisishia wafanya biashara mbalimbali kujipatia mazao wanayoyahitaji kwaajili ya biashara zao yanayopatikana huku RUNGWE mbeya kwagharama nafuu sana tena...
  11. ROJA MIRO

    SoC01 Shina moja la Mahindi hulipwa Tsh 60/= mifugo inapokula mazao fidia inayowatesa wakulima

    Ripoti ya wizara ya mifugo kwa mwaka 2019 inaonesha kwamba sekta ya mifugo inachangia 6.9% ya pato la taifa,na kwa upande wa taarifa ya wizara ya Kilimo ya mwaka 2020 inaonesha kwamba sekta ya Kilimo inatoa robo tatu ya mauzo ya nje ya bidhaa,inachangia 95% ya mahitaji ya chakula nchini,26.8% ya...
  12. M

    Wananchi watozwa faini na kijiji kwa kosa la kushindwa kulima mazao ya biashara

    Wananchi watozwa faini na kijiji kwa kosa la kushindwaazao ya biashara Na Amiri Kilagalila,Njombe Wananchi wa kijiji cha Usililo kata ya Luwumbu wilayani Makete mkoani Njombe,wameilalamikia serikali ya kijiji hicho kwa kuwatoza shilingi elfu 3 mpaka elfu 5 kutokana na kushindwa kulima mazao ya...
  13. Analogia Malenga

    WAFUGAJI wa mazao ya baharini wametakiwa kujikita katika kilimo cha majongoo ya pwani ambacho mahitaji yake ni makubwa katika soko la nje la kimataifa

    Hayo yalisemwa na Waziri wa Uchumi wa Bluu na Uvuvi, Abdalla Hussein Kombo, wakati akiwasilisha makadirio, mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2021-2022 katika kikao cha Baraza la Wawakilishi. Alisema wizara tayari imeanza kuwashajihisha wafugaji wa mazao ya pwani ikiwamo...
  14. Mangole Valles Michael

    Ushauri wangu kwa Wafugaji

    Anaandika Dr Christopher Cyrilo Jana nilipata bahati ya kutembelea Malembo Farm na kukutana na rafiki yangu Lucas Malembo. Nimshukuru Malisa GJ kunileta kwenye darasa hili la kilimo na ufugaji. Nimejifunza mambo mengi sana kuhusu kilimo na ufugaji. Kuna mambo ya kufurahisha, na mengine ya...
  15. Mangole Valles Michael

    Shida ya Tanzania ni nini hasa? Na je tufanyeje

    Anaandika Dr Christopher Cyrilo Jana nilipata bahati ya kutembelea Malembo Farm na kukutana na rafiki yangu Lucas Malembo. Nimshukuru Malisa GJ kunileta kwenye darasa hili la kilimo na ufugaji. Nimejifunza mambo mengi sana kuhusu kilimo na ufugaji. Kuna mambo ya kufurahisha, na mengine ya...
  16. Analogia Malenga

    Serikali Singida yakamata malori yenye tani 40 za mazao yasiyolipiwa ushuru

    SERIKALI mkoani Singida imekamata malori matano yenye magunia ya mazao mchanganyiko zaidi ya tani 40 yaliyokuwa yakipitia mkoani hapa bila ya kuwa na nyaraka zozote za kulipia ushuru. Kufuatia kukamatwa kwa shehena hiyo Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhandisi Paskas Muragili aliagiza...
  17. J

    Waziri Mkenda: Kwa sasa hakuna mazao ya Wakulima na Wafanyabiashara yanayozuiwa kwenye mpaka wetu na Kenya

    Waziri wa kilimo Prof Adolf Mkenda amesema hali ni shwari kabisa katika mpaka wetu na Kenya na kwa taarifa za leo hakuna mzigo wowote uliokwama mpakani. Mkenda amesema watanzania wasiwe na wasiwasi kwani sasa biashara kati yetu na Kenya imeimarika sana labda kuliko wakati mwingine wowote...
  18. Kibanga Ampiga Mkoloni

    Mwongozo wa uzalishaji mazao kulingana na kanda za kilimo za kiikolojia juni 2017

    MUHTASARI Kulingana na Kituo cha Utafiti wa Udongo cha Mlingano cha mkoani Tanga chini ya Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi, Tanzania ina jumla ya Kanda Kuu saba (7) za Kiutafiti wa Kilimo. Ndani ya kanda hizo kuu saba, zipo Kanda ndogo 64 za kiikolojia zinazoonyesha aina ya mazao yanayoweza...
  19. beth

    Hasunga: Ushirika unalazimisha wasio wanachama kuuza mazao yao kupitia Vyama. Serikali ina mpango gani kuruhusu Wafanyabiashara kununua kwa wakulima?

    Mbunge wa Vwawa, Japhet Hasunga amesema kwa mujibu wa Sheria, Ushirika ni kwa Wanaushirika wenyewe lakini hali ilivyo sasa, Ushirika umekuwa ukiwalazisha watu wasio Wanachama kuuza mazao yao kupitia kwenye Vyama vya Ushirika. Akiwa Bungeni Dodoma, Hasunga ambaye amewahi kuwa Waziri wa Kilimo...
  20. YEHODAYA

    Wakazi wa Magamba Songwe wachoma mazao yao ya ufuta mashambani mwao kupinga agizo la Mkuu wa Wilaya ya kutaka wauze kwa mfumo wa stakabadhi ghalani

    Wakazi wa Magamba Songwe wachoma mazao yao ya ufuta mashambani mwao kupinga agizo la mkuu wa wilaya ya kutaka wauze kwa mfumo wa stakabadhi ghalani ambao wanasema hauna faida kwao SOURCE : channel 10 taarifa ya habari
Back
Top Bottom