Mazao mkakati ni mjumuhisho wa mazao ambayo uzalishaji wake umekua hafifu"mdogo" kulingana na huitaji wake sokoni yanaweza kua ya chakula au biashara. Hivyo serikali kuandaa mikakaati kwaajili ya kukuza na kuamasisha uzalishaji wake. Mfano; pamba, korosho, chai, karafuu, mkonge, michikichi na...
Jamani nimejitahidi Sana kuzungukia mikoa Kama mtwara, tabora, singida. Nimekuta watu wanamsifu Sana mama kwa masoko ya uhakika kwa mazao hayo tofauti na mwendazake ambaye aliolua masoko kabisa.
Wanasema mama for presidency forever
Nnaona kuna upotoshwaji wa hali ya juu wa hali ya chakula nchini. Si kawaida yangu kuanzisha thread, ila hili imebidi nianzishie thread.
Kwanza kabisa ni declare interest, mimi ni mdau wa kilimo kwa miaka mingi, hivyo nnachoandika hapa ni kutokana na uzoefu wangu kwenye kilimo.
HOJA KUU
Watu...
Wadau kwema? Kumekuwa na miito ya baadhi ya watu wakitaka serikali izuie watu kuuza chakula nje ya nchi ili kukabiliana na tatizo la bei ya chakula kupanda.
Sina uhakika sana kama hilo litachangia kushusha bei ya vyakula likifanyika sasa hivi, ila nina uhakika litarudisha nyuma sekta ya kilimo...
Huku mimi nafurahi sana ninapouza kipeto cha viazi debe sita vikiwa shambani nauza 65000, sichimbi wala siweki kibarua, japo parachichi soko kidogo lilisumbua, maziwa yanauzika ng'ombe tunataja bei tunayojisikia, nguruwe wanakuja kukuomba uwauzie, naona huu mwaka sio haba gharama za mbolea...
Marekani kimya kimya imeanza kuhimiza makampuni yake yanayojihusisha na manunuzi ya mbolea ya Urusi na usafirishaji wa mbolea hiyo, yanunue zaidi mbolea hiyo na kusafirisha kwa wingi kwenda Marekani. Hiyo ni baada ya Marekani kupatwa na uhaba mkubwa wa mbolea, baada ya kujitia kususia mbolea ya...
Tuache siasa za kujipendekeza kwa mataifa mengine, na kuwatesa wananchi wanyonge.
Serikali izuie uuzaji wa mazao ya chakula nje ya nchi. Hali inazidi kuwa mbaya.
Mikoa iliyopo mpakani mazao yanasafirishwa kwa wingi kwenda nje ya nchi.
Serikali iingilie kati, ama sivyo ijiandae kutoa msaada...
Leo Asubuhi nimeenda shambani kwangu nimekuta sehemu ya mazao yangu yamevunwa na watu wasiojulikana.
Usiku wa jana majira ya 3 usiku natoka senta kupiga piga story kijiweni nilikutana na vijana Sita wakiwa na Guta wamekwama karibu na Shule yetu ya kijiji na vitu walivyokuwa wamebeba ndivyo kama...
Nchi hii imekuwa na shida sana tunasifia watu kwa jinsi wanavyofanya ziara au kuongea majukwaani, hizi siyo njia sahihi. Tunatakiwa kuwapima kwa matunda.
sasa nasikia kila kona watu wanamsifia Bashe ni bora tuweke vigezo sahihi vya kumtazama na hivyo vigezo ni kupima ameleta mabadiriko gani...
Naam mm ni mkulima ambae nimekua nikilima mihogo sana, sasa naona ardhi yangu inaanza kupunguza uzalishaji. Nimewahi kuskia nikilima mihogo pamoja na mazao mengine yanayoendana yataongeza rotuba ya udongo.
Msaada, ni mazao gani hayo?
Leo katika pita pita zangu nimekutana na mzee wa makamo nikajaribu kumshilikisha mipago yangu ya kilimo pamoja na utunzaji wa mazao pindi yatakapo panda bei niweze kupata faida.
Mzee ameanza kunipa historia ya kuanzia miaka ya 1974 na kunieleza ya kuwa na uzoefu wa hio biashara kwa mda mrefu...
Naomba kuanza kwa kuweka bei za mazao mbalimbali kwa mkoa wa Iringa kwa mwezi February.
1. Mchele super Tsh2000-2200/ kg
2. Mahindi Gunia Tsh 70,000
3. Maharage ya njano Tsh2000/kg
4. Vitunguu Tsh 210,000 kwa gunia la debe 8
5. Nyanya kwa tenga Tsh 20,000.
Kama Bashe mwenye wizara yako upo humu utaniwia radhi kwani hawa wamasai wamezidi dharau.
Leo nimemkuta masai anachunga ndani ya shamba huku akipawabembeleza ng'ombe wake kwa miruzi wale shambani kwangu jambo ambalo nimewaza nimeona njia rahisi ni kpuliza sumu ndani ya shamba yeyote...
Wadau wazoefu kwenye kilimo cha bustani naomba kupata ushauri kuhusu kilimo hicho,bei na masoko ya mazao haya.
1.kindola (matango madogo).
2.Kalela
3.Maharage ya kichina
4.Kisola
5.Pilipili maricha
Note: Baadhi ya majina yaliyotumika ni ya asili
Siku chache zilizopita nilikuwa safarini na nimeona maeneo mengi Wakulima wakiweka mbegu mashambani.
Ingawa sikuweza kujua aina ya mbegu wanazopanda lakini kwa mazoea tuliyonayo wengi wao watakuwa wanapanda mahindi au Maharage.
Ni jambo la kutia moyo kutokana na kusuasua kwa mvua za msimu...
Mh. Ukiachilia mbali mfumuko wa bei wa ajabu kuwahi kutokea,,,nakuomba zuia mazao kwenda nje ya nchi ulinisuru Taifa na njaa,,mvua zimegoma kunyesha mahindi na mpunga vimeanza kupandishwa bei kiholela.Mh.nakuomba simama na wananchi angalau kwa hili njaa itakuletea mgogoro mkubwa katika utawala...
TBS yatoa mafunzo ya sumukuvu kwa wadau wa mazao ya mahindi na karanga wilayani Kiteto
Na Mwandishi Wetu
Serikali kupitia Shirika la Viwango Tanzania (TBS) imeanza rasmi kutoa mafunzo kupitia Mradi wa Kitaifa wa Kudhibiti Sumukuvu "Tanzania Initiative for Preventing Aflatoxin Contamination -...
Kumekuwa na utamaduni wa kale wa wakulima kuchoma mabaki ya mazao kwa kigezo Cha kujiandaa na msimu mpya wa kilimo.
Mabaki hayo ni pamoja na mabua, magunzi na hata nyasi kavu. Hii ni MBOLEA YA MBOJI au composit Manure. Inarutubisha udongo hapo baadae na kupunguza umri wa aridhi yako kuchoka au...
📍🇹🇿NEEMA KWA WAKULIMA WA MAZAO YA NAFAKA
"CPB na NFRA zinanuanua nafaka 'CASH' bila kuwakopa wakulima Nchini, kwa Mwaka wa fedha 2021/2022 serikali imetumia jumla ya Bilioni 119 katika manunuzi ya mazao ya Nafaka kutoka kwa wakulima na vikundi vya wakulima. Mazao hayo yatauzwa katika Masoko ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.