Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Serikali haijazuia kuuza mazao nje ya Nchi isipokuwa imezuia Watu kufanya biashaea bila kufuata utaratibu wa kisheria .
Bashe ametoa kauli hiyo June 21, 2023 Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini Mwita Waitara...
Heshima yako Rais wangu Samia. Mimi ni mmoja wa Watanzania wasiokupinga wala kukubali sana nipo 50/50 kwa sababu nakuona kama Rais mwema, msikivu, mwenye hekima, una diplomasia nzuri sana ya kimataifa.
Kwenye uwekezaji wa Royal Tour nia njema nilikupa 100% utekelezaji unahitaji maboresho kidogo...
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema kilichozuiliwa na Serikali ni watu kufanya biashara ya mazao kinyume na utaraibu.
Bashe amesema hayo alipokuwa akizindua Ofisi ya kuleta mabadiliko ya sekta ya kilimo nchini jijini Dodoma leo jumatatu Juni 19, 2023 ambapo ameeleza kuwa Serikali haitaruhusu...
Moja ya wajibu mkubwa wa serikali ni kulinda na kudumisha usalama wa nchi. Usalama wa nchi huchangiwa kwa kiasi kikubwa na usalama wa chakula (upatikanaji wa chakula kwa bei inayohimilika).
Kinyume chake nchi inaweza kuingia ktk machafuko. Mfano, serikali ya Al Bashir wa Sudan iliondolewa...
Mazao Sio Mali ya serikali Bashe yupo sahihi.
Kuzuia kuuza nje chakula ni kuzidi kuongeza tatizo la ajira nchini. Kilimo kikilipa bodaboda na machinga watapungua mijini. Bodaboda na machinga ni wengi kuliko idadi ya wateja wao.
Mtaa upasao kuwa na bodaboda 5 kwa mgawanyo wa abiria una bodaboda...
Kwa Africa Macadamia inalimwa sana South Africa na Kenya, ingawa pia hata Zambia wanakuja kwa kasi ya kutisha. Macadamia kwa Tanzania sio sana ingawa kuna Wazungu wanalima kitambo ila sio sana kama Kenya.
Bei ya Macadamia kwenye soko la Dunia inatisha sana hata kwa hapa Tanzania bei ya...
Nipo Border ya Sirari na Kenya, kuna changamoto moja hapa Serikali haitaki kutoa vibali vya kusafirisha mazao kwenda nje ya Nchi ila sasa madali wanapitisha Mahindi njia za panya kupeleka Mahindi Kenya.
Je, kwanini Serikali isitoe Vibali ili ipate mapato?
Wakulima na Washauri wa Kilimo,
Salaam!
Tukitaka kusonga mbele katika sekta hii ya kilimo inabidi tubadili utamaduni na mfumo mzima wa kilimo kwa kuwa kuendekeza njia za mapokeo imesababisha tuendelee kukwama.
Kimkakati mazao ya muda mrefu ni pamoja na avocado (Hass hivi sasa bei kwa...
Kabla ya Mwaka 1968 Tanzania ilikuwa ni mojawapo ya nchi yenye akiba kubwa ya fedha za kigeni. Zaidi ya asilimia 40 ya fedha hizo zilitokana na kuuza nje zao la Mkonge. Bei ya zao la mkonge lilipoporomoka na uchumi wa Tanzania nao ukatisika.
Ni kwa nini soko la ndani siyo imara sana na la...
Hello there !
Niko Mbeya, katika Uzi huu ntakuwa naweka bei za vyakula
Mbalimbali kutoka Mbeya, kama mtu unataka utawasiliana
Na Mimi,makubaliano yatakuwa hivi, mi nitaweza kukuagizia
Kuanzia kilo ishirini, mfano Mchele au maharage
Ikiwa utaagiza kilo ishirini za Mchele, katika Kila kilo...
Sisi wakazi wa Kijiji Kilosa Mpepo, Tarafa ya Ngilangwa, Wilaya Malinyi Mkoa Morogoro tunachangamoto tunaomba msaada wa Serikali.
Serikali itusaidie kuhusu Tembo wanatumalizia mazao, kwa usiku mmoja wanaweza kula hekari zaidi ya 15, tumehangaika hadi ofisi za Wilayani, TANAPA wamekuja kama...
Salaamu
Karibu ujipatie PDF za mazao mbali mbali,
Zipo PDF za mazao 11 (1. Viazi Mviringo 2. Hoho 3. Tikiti Maji 4. Vitunguu Maji 5. Parachichi 6. Kabichi 7. Pilipili Kali 8. Karoti 9. Bamia 10. Nyanya, 11. Tango).
PDF zimeeleza kila kitu unachohitaji kujua kuhusu zao husika, kuanzia...
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) ametoa angalizo kwamba kupanda mazao katika maeneo ya Hifadhi ni ukiukwaji wa sheria huku akisisitiza kuwa yeyote atakayebainika kuendesha shughuli za kibinadamu katika maeneo hayo sheria itachukua mkondo wake
Ameyasema hayo leo...
HESHIMA KWENU WAKUU
Nimekaa nikiwaza sana kuhusu biashara ya mazao haya mawili. Sasa naomba mwenye kufahamu uendeshaji wa biashara ya kununua na kuuza haya mazao mawili (kahawa na parachichi). Hasa kwa kuzingatia yafuatayo;
1. Sehemu ya kununua
2. Soko
3. Mtaji
4. Changamoto zake
5. Utaratibu...
Ni msimu wa kilimo hasa kwa zao la mpunga kwa hapa nilipo. Nipo kijijini.
Kuna furaha kubwa sana kwa sisi wakulima mazao yakipanda bei sokoni! Thamani yetu na hali ya maisha inapanda sana.
Kundi ambalo lilisahaulika na kuwa kundi kwaajili ya kulisha watu mijini huku tukiumia mpaka tunaitwa...
Habari wanandugu, mimi ni kijana ninamiliki shamba lenye ekari 25.
Nimeplan kulima kilimo cha umwagiliaji na nina tamani kusafirisha mazao yangu nje.
Hivyo nilikua naomba kama kuna mwenye ABC za namna ya kupata markets nchi za nje anisaidie.
Wakuu amani iwe kwenu.
Naomba nisaidiwe kujua fursa za mazao ya bustani mkoani dodoma, yaani je uhitaji upo wa mbogamboga kama mchicha, chainizi, spinach, majani ya kunde n.k.
Naomba pia kujua maeneo gani wanakodisha mashamba ya bustani, hasa panapopatikana maji kwa wingi, bei zake, barabara...
Mawaziri wa CCM leo kwenye sherehe za CCM Morogoro mbele ya Karibu Mkuu wakijibu kero kwa wananchi wamedhihirisha kuwa maamuzi mabovu ya serikali yao ni chanzo cha matatizo Kwa Watanzania.
Ona mifano hii. Waziri wa kilimo anasema serikali ya Mhe. Samia Ina nunua mazao ya wakulima wakati wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.