Habari za leo marafiki, vijana wenzangu, wakubwa wangu na maboss zangu,
Naomba tushiriki huu majadala kwa kupiga kura ikiwezekana tutolee na maelezo.
Karibuni
Habari wakuu,
Naomba mwenye usafiri au mwenye kujua bei za kusafisha mazao kutoka Karagwe kwenda Dar anijuze ni shilingi ngapi kwa gunia la kilo 100.
Asanteni
Babati. Wimbi la wadudu waharibifu wa mazao maarufu kama “mbirizi” limevamia mashamba ya mahindi ya wakulima katika kata ya Kiru na vijiji vya jirani wilayani Babati mkoani Manyara.
Mkulima wa mahindi kutoka kijiji cha Kiru, Six Salao akizungumza leo Jumanne Desemba 27, 2022, amesema makundi...
Waziri wa Ulinzi na JKT, Innocent Lugha Bashungwa (Mb) amesema anajivunia kuongezeka kwa uzalishaji wa zao la msingi katika Shirika la Mzinga.
Ameyasema hayo Disemba 13, 2022, alipofanya ziara ya kutembelea Shirika hilo.
Hiyo ni ziara ya kwanza kufanywa na Waziri Bashungwa katika Shirika la...
Habarini ya sherehe za uhuru? Mtu ambaye hawezi kujilisha hawezi kuwa huru.
Kila mazao ya chakula kuna hali ya hewa inafaa kuyalima. Mahindi yalikuwa yanastawi kwenye temperate climates huko America, yaani kusiko na baridi kali ya barafu lakini kuna mvua nyingi, ngano nayo hivyohivyo. Mchele...
Tokea Awamu hii iingie Madarakani naona imeamua kuwachia wakulima hasa wa nafaka wanufaike, kila siku ukienda sokoni bei ya nafaka iko juu, kwani mipaka imefunguliwa na ukichanganya na Athari za mabadiliko ya Tabia ya nchi.
Kama Mkulima umeweza kuhifadhi angalau gunia 20 za Mahindi mwezi...
Wanajamii habari zenu wote.
Polen wadau kwa Mihangaiko za hapa na pale, Ndugu zangu najua huku kuna wakulima wazuri japo wapo pia paper farmers lakini najua mkulima wakweli akitoa ushauri huwa tunamwelewa kwasababu huwa anatoa uhalisia wa mambo ambapo hata msomaji anarithika kabisa.
Ndugu...
Mwenyekiti wa jumuiya ya wakulima wa parachichi Tanzania (ASTA), Rebeca Hesewa amesema changamoto inayowakabili wakulima kunufaika na masoko ya nje ni kukosekana kwa ubora wa mazao wanayozalisha.
Kukosekana kwa ubora huo, alisema kunatokana na aina ya viuwatilifu wanavyotumia wakati wa...
Mwanga wa Jua unacheza katika nafasi kubwa sana katika ukuwaji mzima wote wa mimea kuanzia nyakati za mbegu, udogo wake na mpaka nyakati zile za ukomavu wake.
Katika kuhakikisha ukuwaji wa mmea ni lazima mchakato wa kisayansi unaoitwa " Photosynthesi " ufanyike ambapo ni kitendo cha mmea...
Rais Ruto ameidhinisha uingizaji wa mazao na vyakula vilivyobadilishwa vinasaba (GMO), na hivyo kuondoa zuio la mazao hayo lililowekwa Novemba 8, 2012.
Uamuzi huo umefanywa ikiwa ni njia ya kusaidia kuongeza mavuno wakati ambao nchi inakabiliwa na ukame mbaya zaidi katika miaka 40 na kuacha...
Hello! Natafuta mtu anayefanya au kuniconnect na wakulima wakubwa na wa saizi ya kati sehemu yoyote Tanzania wanaojihusisha na kilimo cha mazao mbalimbali! Ikiwemo Parachichi, Maembe, Pilipili, Kunde, mbaazi, Njegere, Maharage e.t.c
Naomba tuwasiliane: 0743 848598
Wakuu hili ni wazo langu kutokana na gharama za uzalishaji kuwa juu itafaa bei za vyakula na mazao mengine zipande ili kumsaidia mkulima..
Haya ni baadhi ya mabadiliko ya gharama za kilimo msimu huu ukilinganisha na msimu uliopita kwa hapa nilipo na hapa nazungumzia zao la mpunga
-Kukodi...
Salamu!
Mada inajieleza,
Fursa zinazotakiwa kufunguliwa na ambazo nitaziona kama kipimo cha wizara ni zile za mazao ya biashara mfano pamba,kahawa,mwani na mazao ya wanyama kama ngozi ,pembe na kwato.
Nadhani nimeeleweka!
SoC 2022 Kilimo kwa ukuaji wa uchumi na ustawi wa jamii.
Kwa mda mrefu Sasa watanzania tunaendelea kukumbana na matatizo ya upungufu wa baadhi ya bidhaa Kama vile mafuta ya kupikia, Jambo ambalo hupelekea Bei kuwa kubwa na kuzua taharuki.
Aidha baadhi ya jitihada za serikali kupitia wizara ya...
Umefika sokoni kununua maharage unakuta yamepangiwa magunia tofauti. Muuzaji anakueleza kuwa kila aina ya maharage yapo ndani ya gunia lake, na unaona yana mwonekano wa kutofautiana.
Anaandisisha kuwa maharage haya ni ya soya, haya huku ni mekundu na yale kule ni ya njano. Mchuuzi huyo...
Kinana ashauri wakulima waachwe wauze popote wanapopata bei nzuri
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania bara Ndugu Abdulrahman Kinana ametoa wito wa kuondolewa kwa vikwazo dhidi ya wakulima pale wanapotaka kuuza mazao yao.
Akizungumza na wana CCM na wananchi waliyojitokeza kumlaki Nyakanazi...
Kilimo ni uzalishaji wa mazao mashambani na ufugaji wa mifugo kama ng'ombe, mbuzi, kuku, Bata, nguruwe na kondoo. Kwa nchi nyingi za Afrika ikiwemo Tanzania kilimo ndiyo sekta muhimu kwani ndio uti wa mgongo kwa uchumi wetu, kwani ni miongoni mwa sekta ambazo zinachangia pato la taifa na ni...
Wadau wa Kilimo na wenyeji wa kanda ya ziwa Mwanza n.k.
Nataka kulima Karanga na muhugo sehemu gani nzuri kwa mazao haya iwe ndani ya mkoa wa Mwanza au jirani na mkoa wa Mwanza.
Pia sehemu ambayo taweza kulima mahindi angalau mara mbili kwa msimu mmoja.
Kuna wimbi kubwa ya biashara haramu ya ngono vijijini hivi sasa. Biashara hii ni mpya kabisa kutokea sio kama inayofanyika mjini.
Wadada wanakuja vijijini ,hasa wakati wa mavuno ,wanaweka kambi kwa kupanga vyumba hivi hivi vya tembe. Kisha wanaanza biashara ya kubadilisha .
Iko hivi ,kule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.