mazao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hali ya mazao huko kwenu ipoje?

    Wasalaam. Huku Karatu mahindi yameota vizuri ila mvua hakuna. Ikipita wiki moja hakuna mvua yanaelekea kukauka Sijui maeneo mengine ila hali ya hewa ikiendelea hivi ni hatari.
  2. Kuna kiwanda nimewambia niwape mteja kutoka china wa mazao !! Meneja kagoma kasema wao hawafanyi kazi na mtu binafsi na middle man??

    Nimeshtuka kuona waafrika wana hizi mindset. Yaan yupo radhi aachie dili ya mamilioni kisa tu uliyeleta hiyo dili ni mtu binafsi!! We manager ni zero brain kabisa!! Najua huu uzi utausoma NB: Nadhan angekua ni mwenye kiwanda asingefanya huu ujinga
  3. Tujuzane bei za mazao mbalimbali – wakulima, wafanyabiashara na walaji karibu!

    Wadau wa JF, habari zenu? Katika hali ya sasa ambapo bei za mazao hubadilika mara kwa mara, ni muhimu kujua mwenendo wa soko ili kufanya maamuzi sahihi ya biashara na ununuzi. Leo tunajadili bei za mazao mbalimbali kote nchini. Je, mkoani kwako bei zikoje kwa mazao haya? Mahindi – Bei ya...
  4. I

    Mnaofanya biashara za mazao au nafaka au matunda naombeni ushauri

    Ndugu poleni na majukumu naona fursa kwa upande wa mazao au nafaka pia hata matunda. Nahitaji kuingia huku kwenye hii biashara ila nahitaji mwongozo zaidi. Nilikuwa naomba kwa anae fanya hii biashara anipe mwongozo. Naomba uwe unafanya hiyo biashara kwa sasa ili kupata uhalisia kamili wa...
  5. Wizara Yatakiwa Kubuni Mazao Mapya ya Utalii Kwenye Eneo la Amboni

    WIZARA YATAKIWA KUBUNI MAZAO MAPYA YA UTALII KWENYE ENEO LA AMBONI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kubuni mazao mapya ya Utalii ili kuwavutia watalii huku ikisisitiza kwamba inatamani watalii wanaotoka Zanzibar kwenda kutalii...
  6. Aina ya mazao ya kilimo yanayolimwa butiama

    Habarini za saiz!? Kwa mtu anayefahamu kwa wilaya ya butiama ni zao gan la kilimo ambalo linalimwa katika maeneo hayo hasa zao kilimo la biashara !?
  7. E

    Bull Forge mazao ya ng'ombe.

    Bull forge tunanua bidhaa zitokanazo na ng'ombe kama ngozi kavu, pembe kavu. n.k
  8. Marine time: Mada maalum ya viumbe maji, uoto, mazao kwenye mito, maziwa na bahari

    🌱🌱 Chumvi ya Baharini {Ile ya Mawe) husaidia kuponya Wenye changamoto ya ngozi (eczema) na ukoma Chunusi Psoriasis Inasaidia follicles za nywele kukua Hurudisha Utumbo Uliojikunja Inaua Bakteria Inaua Fangasi aina ya Mould Inaondoa fangasi aitwaye candida yeast Husaidia ktk usagaji chakula...
  9. KWELI Ukungu unaweza kusababisha magonjwa kwa mazao au mimea na kudhoofisha mazao shambani

    Wakuu wa JamiiCheck naomba kufahamu uhalisia wa hili kwamba ukungu unaweza kuathiri mazao na kupunguza kiwango cha uzalishaji. Huwa naona shambani majani ya mimea inaungua nikuliza wenzangu wananiambia ni ukungu je, ni kweli?
  10. M

    Nimepata wazo la kufanya Biashara ya mazao ya chakula (mchele,mahindi,unga,maharage)

    Habari wana jamii Kwa jina naitwa Juma Issa Mikidadi, ni kijana mwenye shahuku ya maendeleo . Nimepata wazo la kufanya biashara ya mazao ya chakula yaan mchele, maharage , mahindi na unga. Eneo ni Mtwara ...
  11. Serikali kwa kushirikana na Sekta Binafsi imendelea kuimarisha uzalishaji wa ndani wa mbegu bora za mazao ambao umeongezeka kutoka tani 42,096.68

    Serikali kwa kushirikana na sekta binafsi imendelea kuimarisha uzalishaji wa ndani wa mbegu bora za mazao ambao umeongezeka kutoka tani 42,096.68 msimu wa 2022/2023 hadi kufikia tani 56,114 msimu wa 2023/2024. Makadirio ya mahitaji ya mbegu hizo nchini kwa msimu wa 2024/2025 ni tani 80,000...
  12. Jinsi ya kutoboa kupitia biashara ya mazao (nafaka)

    Nitaelezea zaidi Kanda ya ziwa, hasa mkoa wa Kagera Biashara ya mazao hasa nafaka ni biashara ambaya haimtupi mtu, yaani hapa faida inayoweza kuji double ni uhakika Usichukue mtaji ukawekeza kulima kama kijana unayejitafuta maana kilimo kina risky zake Kwa sisi Africa tunaotegemea mvua ya...
  13. Nawezaje / Tunawezaje kuuza nje mazao ya yatokanayo na kilimo

    Habari wana jamii wenzangu. Kama kichwa cha habari kilivyojieleza hapo juu. Nimekaa nakutafakari namna na jinsi ambavyo ninaweza, au tunaweza kama vijana kutafuta masoko ya mazao yatokanayo na kilimo nje ya nchi. Mfano wa uchache wao ni kahawa, korosho, pamba karafuu na mengineyo Kwenye...
  14. Serikali inatoa wapi ujasiri wa kumzuia mkulima kutumia mazao yake kwa namna aonavyo ina manufaa kwake?

    Sijui kama haya bado yapo siku hizi, lakini siku za nyuma ilikuwa kawaida kusikia: 1. Marufuku kufanya biashara ya mahindi mabichi kuepuka kuepuka upungufu wa chakula nchini! 2. Marufuku kusafirisha mahindi, mchele, n.k., nje ya nchi kuepuka upungufu wa chakula nchini Ikiwa Serikali...
  15. Serikali inatoa wapi ujasiri wa kumzuia mkulima kutumia mazao yake kwa namna aonavyo ina manufaa kwake?

    Sijui kama haya bado yapo siku hizi, lakini siku za nyuma ilikuwa kawaida kusikia: 1. Marufuku kufanya biashara ya mahindi mabichi kuepuka kuepuka upungufu wa chakula nchini! 2. Marufuku kusafirisha mahindi, mchele, n.k., nje ya nchi kuepuka upungufu wa chakula nchini Ikiwa Serikali...
  16. Kununua mazao na kuweka ghalani

    Habari naomba mwenye uzoefu na biashara yaa kununua mazao na kuweka ghalani kisha kuuza baada ya msimu wa mavuno kuisha anishauri
  17. M

    Wakala wa Vipimo (WMA) mbona mageti yenu ya ukaguzi wa mazao hayazuii wala kupiga marufuku rumbesa? Wafanyakazi wenu wanaongoza kula hongo

    Moja kwa moja nawashukia wakala wa vipimo (Weights and measures Agency aka WMA) ambao wanahusika na udhibiti na ukaguzi wa uzito wa mazao hapa Tanzania. Hii taasisi ina vituo vyake katika kila sehemu zenye mizani katika barabara kuu hapa Tanzania. Mfano mizani za...
  18. Wananchi wafunga Barabara ya Babati/Singida wakipinga kuuza mazao yao katika mfumo wa stakabadhi ghalani

    Wananchi Wakulima na Wafanyabiashara wa Kata Masakata Wilayani Hanang mkoani Manyara, wamefunga barabara ya Babati /Singida na kusababisha msongamano mkubwa wa magari kwa saa moja, huku wakipinga kuuza mazao yao katika mfumo wa stakabadhi ghalani, kwa madai ya kucheleweshewa malipo yao kwa muda...
  19. E

    Soko lipi naweza kupata mazao aina ya mizizi.

    Salaam, Wakuu, naomba muongozo wa uzoefu kwenu. Soko lipi nitapata bidhaa kama Mihogi, Viazi(vya aina zote ), Magimbi......etc. Vipimo vikoje kwa kila zao. NB; Nahitaji kwa ajiri ya kuuza rejareja gengeni. Nawasilisha.
  20. KERO Kijiji cha Luganga, Viboko na Tembo wanaingia mashambani na kuharibu mazao

    Wakulima wa Kijiji cha Luganga Kata ya Ilolo Mpya Halmashauri ya Wilaya ya Iringa wameilalamikia serikali kwa kushindwa kuwaondoa wanyama pori, Viboko na Tembo ambao wanaingia katika eneo la mazao yao na kufanya uharibifu hivyo kusababisha hasara kwa wakulima. Wakulima wamesema kuwa wametoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…