Tunayategemea mazingira, tunaishi ndani yake, hapana Shaka bila ya mazingira maisha yetu hayawezekaniki, pengine niseme, Sisi ni watoto wa mazingira, nayo ndiyo Mama yetu anayetulea Kwa kutupatia kila tunachokihitaji, hata hivyo katika Mazingira vipo vitu vingi hasa, vingine hata hatujui kazi na...