Kuna mazungumzo “ya siri” kati ya Netanyahu na Congo DRC ili kuweza kuwahamishia raia wa Gaza huko pamoja na nchi nyingine za Africa.
Kaazi kweli kweli daah!
https://www.thedailybeast.com/israel-in-secret-talks-to-resettle-palestinians-in-congo-report-says
Huku baadhi ya vikosi vya jeshi la Israel vikishangilia kuondoshwa Gaza baada ya kipigo,kule kaskazini ya Israel mpakani na Lebanon wanamgambo ya Hizbulla hawajaonesha dalili ya kuathiriwa na mashambulizi ya anga ya jeshi la Israel.
Baada ya kipigo cha jana na leo kulenga maeneo ya vikosi vya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Tanzania Startup Association (TSA) ikiongozwa na Mwenyekiti wao Ndugu Paul Makanza pamoja na Wajumbe aliofuatana nao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Desemba, 2023.
Baada ya tetesi za karibu wiki leo mjumbe wa ngazi za juu wa Israel kutoka shirika la ujasusi la Mossad amemfuata waziri mkuu wa Qattar ili kuangalia uwezekano wa kusitishwa vita kwa mara nyengine.
Misri kwa upande wake imejifanya inajua siri zaidi na kuamua kuzitoa hadharani kwa kusema sasa...
Kama hii picha ni ya siku za karibuni yaani baada ya Sabaya kutoka maabusu, basi watanzania tuna kila sababu ya kujawa na hofu kubwa kuhusu uongozi wa nchi yetu na mustakabali wa nchi yetu!
Wanaukumbi.
Netanyahu to the Israeli prisoners’ families: I will not be able to return them all, and the families left the meeting angry.
Sources: Hebrew Channel 12, Al Jazeera.
🚨🇵🇸 Hamas RESPONDS to NETANYAHU:
"There will be no negotiations or exchange of detainees until Israel’s...
Wanaukumbi.
Afisa wa Hamas aambia Al Jazeera mazungumzo juu ya kubadilishana wafungwa sasa yamekwisha na hayatarejelea hadi Israel itakaposimamisha mashambulizi na kuwakabidhi wafungwa wote wa Kipalestina.
Israel iliamuru timu yake ya mazungumzo ya Mossad huko Doha kurejea Israel kwa sababu ya...
Kupitia ukurasa binafsi wa mtandao wa X (Zamani Twitter) wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika. Mashariki, January Makamba ameandika ujumbe kuwa mapema leo amefanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel, Eli Cohen
Ujumbe huo umeeleza kuwa Waziri Cohen ameahidi Serikali ya...
Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Afya kukufua mazungumzo ili kuhakikisha kituo cha umahiri na ubobezi wa kimatibabu 'Apollo Hospital' kinajenga jijini Dar es Salaam na kukamilika ifikapo mwaka 2026.
Hayo yamesemwa leo Novemba 6, 2023 wakati ujumbe wa Rais wa Apollo Group Hospitals...
Maktaba ilibahatika kutembelewa na Mkutubi Festo Liheta kutoka National Archives Dodoma.
Kusudia la safari yake ilikuwa kupata nyaraka.
Tulifanya mazungumzo mafupi:
https://youtu.be/wO86ftnPSa4
Baada ya siku za hivi karibuni kuhusishwa na mpango wa kutuma wanajeshi kwenda kujiunga na Hezbollah kuipiga Israel, uongozi wa Taleban umejitokeza na kukanusha tuhuma hizo.
Taleban imetamka wazi kuwa haiungi mkono vitendo vya kigaidi na kuzitaka pande zote kuketi chini na kutafuta amani kwa...
Biblia inatufundisha kuwa Mazungumzo mabaya ndiyo yanayoharibu tabia njema ya mtu.
1Wakorintho 15:33 “Msidanganyike; Mazungumzo mabaya huharibu tabia njema”.
Maandilizi ya dhambi karibia zote yanaanzia katika “mazungumzo”.. wanaopanga kuua wanaanzia na mazungumzo, wanaopanga kuiba wanaanzia...
Hapa jana kwenye chakula cha jioni:
Neno "rafiki" lilitumiwa mara 12 kwenye chakula cha jioni kwa heshima Ya Kim Jong-un. Pia kulikuwa na vifungo vya urafiki, hali ya urafiki na hata urafiki wa urafiki. Kwa wengine, nostalgia, na kwa wengine, ukweli.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba (Mb.) amekutana na kuzungumza na Waziri wa Viwanda na Tekinolojia ya Juu wa Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu, Sultan Ahmed Al Jaber Jijini Nairobi, Kenya.
Waziri Makamba amekutana na Al Jaber pembezoni mwa Mkutano...
Ikulu ya White House ya Marekani, imesema kuwa Urusi inaendelea na mazungumzo ya siri na Korea Kaskazini ili kupata risasi na nyenzo nyingine za kivita dhidi ya Ukraine.
Mtandao wa BBC umeripoti kuwa msemaji wa usalama wa taifa hilo, John Kirby, amesema kuwa pamoja na vifaa vya kijeshi, Moscow...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa China Mhe. Xi Jinping kando ya Mkutano wa BRICS unaofanyika Jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 24 Agosti, 2023.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Visiwa vya Comoro nchini, Mhe. Dkt. Ahamada El Badaoui Mohamed katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam.
Viongozi hao wamejadili masuala mbalimbali ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Harold Sungusia Hati ya Kiwanja kilichopo Arusha kwa ajili ya Ujenzi wa Ofisi zao mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 14 Agosti, 2023.
Rais wa...
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Vietnam, nchini Mhe. Nguyen Nam Tien katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam, tarehe 9 Agosti 2023.
Viongozi hao wamejadili masuala mbalimbali ya...
Mpango unafanyika baada ya Staa huyo wa Paris Saint-Germain kuijulisha klabu yake kuwa anataka kuondoka licha ya kuwa amesaliwa na mwaka mmoja katika mkataba wake.
Neymar alijiunga PSG kwa rekodi ya Dunia Pauni Milioni 198 (Tsh. Bilioni 624) akitokea Barcelona Mwaka 2017.
Uamuzi unaendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.