Hili ni wazo la ijumaa, kabla sijala biriani wala kwenda kwenye senene za mabibo wine.
Ni hivi suluhisho la kweli la Tanzania kama tunataka kweli maisha bora kwa wote uanze mchakato wa Tanzania kujiunga na United states of America yani total sisi tuwe Wamarekani, na hii proposal Wamarekani...
Viongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja One na Kenya Kwanza wamefikia uamuzi huo ili kutafuta mwafaka wa maandamano ya kupinga Serikali yanayoongozwa na Raila Odinga.
Katika taarifa iliyotolewa leo Julai 29, 2023 imeeleza kuwa majadiliano hayo yanatarajiwa kumhusisha Rais wa zamani wa Nigeria...
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais wa Kenya, William Ruto kando ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa JNICC - Dar es Salaam
"Tumewaletea wana Yanga SC Mchezaji ambaye hatakama hatofunga Goli ila atahakikisha Mashabiki Wote Uwanjani wanaburudika kwa Maufundi yake ya Kuchezea Mpira" amesema Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe aliye Studioni sasa Spoti Extra ya Clouds FM.
Haji Manara (Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC) hakukosea...
Mkataba ule wa bandari, nasema ni wa kishenzi kwa sababu unapima uwezo wa Watanzania katika Kufikiri. Kila mwenye akili anajua kuwa mtu yeyote ambaye yupo kwenye utimamu wa akili hawezi kuukubali mkataba kama ule.
Nani atakubali kitu chake ambacho amewekeza trilioni kadhaa ampe mtu anayekodi...
WAZIRI DKT. DAMAS NDUMBARO AMEJADILI MCHAKATO WA KATIBA MPYA NA TAASISI ZA DINI MBALIMBALI
Waziri wa Katiba na Sheria, Mheshimiwa Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania na Uongozi wa Jumuiya ya Mabohora Tanzania tarehe 13 Mei, 2023...
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo amekutana na kuzungumza na mabalozi wa China, Kenya, Denmark, Italia na Sudan kwa nyakati tofauti na kujadiliana nao masuala mbalimbali ya ushirikiano baina ya Tanzania na nchi zao.
Mabalozi...
Mara tu baada ya kuwasili mbinguni, Bernard Membe anakutana na Rais John Magufuli wanasalimiana na kuanza kuzungumza, ila punde si punde Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere anawajoin. Membe alimuuliza Mwalimu Nyerere kama alikuwa amefurahishwa na jinsi Tanzania ilivyokuwa ikiendelea tangu...
Zifuatazo ni Kauli zake za Kipuuzi ambazo hazivumiliki tena na zinakera amezisema Leo Jumapili tarehe 7 May, 2023 katika Kipindi cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One.....
1. Mwanaume yoyote anayecheza VICOBA au yuko katika Vikundi vya Mikipo vya Mtaani ni Dhaifu na Hajitambui
2. Mwanaume...
China ndio ilikua tegemeo la Urusi na kwa hali inavyokwenda hali inabadilika...
Pia balozi mpya ameteuliwa kuwakilisha Ukraine China Zelensky appoints ex-minister for strategic industries as ambassador to China
Zelenskyy said he had “a long and meaningful phone call" with Xi. His press officer...
Nimekereka mno Jioni hii baada ya kuingia Baa Moja na wakati Nakula Chakula changu kaja Mmachinga Mmoja na kunisogezea Usoni mwangu karibu na Mdomo Ndaba ( Kiatu ) ili Nikinunue na nilipomwangalia nikihisi labda Kakosea na ataniomba Radhi nikashangaa Kiatu kingine Kimeshadondoka katika Sahani...
1. Kupenda kutamka kila mara ( kuwaita Watu ) Wajinga.
2. Kupenda kutumia Maneno ya Kiarabu / Kiislamu Redioni kwani hasikilizwi na Waislamu wenzake pekee.
3. Aache Dharau
4. Aache Ujivuni
5. Aache kudhani kila ambaye bado hajafanikiwa Kimaisha kajitakia au ni Mjinga.
6. Apunguze Sifa zake...
Mwanamke ambaye hamtakutana tena usipoongea naye kwa muda huo. Umemuona mwanamke na amekuvutia, sasa unajiuliza nini ukaongee naye ili muanze mazungumzo. Lengo lako lisiwe kupata namba. Lengo lako uweke ni kumfanya ajisikie hisia za raha kuwa na wewe.
Hivyo, hata akikupa namba inakua rahisi...
Sijajua kwanini Urusi ilikua inamshobokea sana Museveni hadi kutuma viongozi kwake, hata hivyo hali imebadilika, Museveni na Zelensky waingia kwenye makubaliano.
========
President Yoweri Museveni and his Ukraine counterpart, Volodymyr Oleksandrovych Zelensky, on Wednesday evening spoke to...
Aidha unaongea na mwanamke kwa mara ya kwanza au tayari upo na mwanamke lakini mazungumzo yenu yanakua kama mahojiano ya kutafuta kazi/ polisi hakuna hisia zozote, hakuna kuchombezana na we mwenyewe unaona haufurahii mazungumzo. Hivi ndivyo unaweza na kuyabadilisha kuwa mazungumzo yenye raha...
Lissu amesisitiza wananchi waweke shinikizo kudai Katiba Mpya.
Kwamba Mbowe ataheshimiwa ktk meza ya maridhiano kama itaonekana anaungwa mkono na umma wa Watanzania.
https://m.youtube.com/results?sp=mAEA&search_query=Lissu%2C+Mbowe%2C+Heche
Ni kipi chema kama upendo?
Wakati nilipokua niko mbali na mwandani wangu, nilikua kila tukiongea narekodi mazungumzo, kisha nikikaa nasikikiza bas nafarijika sana.
Unakua unahisi kama vile yuko karibu au mnaongea, now we are together,
i am her and she is me.
Haya maeneo ambayo Ukraine hataki kwenda meza ya mazungumzo pasipo kukabidhiwa
.Russia amekwapua maeneo hayo kwa ajili ya mkakati wake wa kuikabili NATO.
Kama Ukraine atang'ang'ana na mpango wake wa kwenda NATO hayo maeneo asahau katika ramani ya Ukraine.
Ukraine ameshupaza shingo na NATO yake...
Wale mnaopiga kelele kulalamikia usiri wa mazungumzo ya maridhiano kati ya Mbowe na Kinana tuambieni.
Ni wapi ulishawahi kuona umma ukitaarifiwa kinachozungumzwa kwenye meza ya maridhiano?
Taarifa hutolewa mwishoni kile walichoafikiana mezani.
Uhuru anaongoza mazungumzo kati ya Eritrea na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.