Maisha mazuri ni yapi?
Kutumikia tamaa za mwili?
Kutumikia tamaa ya mwili hakuna faida ni hasara tupu, ukiwa mpenda kubadili wanawake kila siku, unatambua hasara zake, mfano mdogo tu, ukipata magonjwa ya zinaa hasara yake hadi uzeeni unatambua vizuri.
haya mfano uwe mwizi, hivi siku ukishikwa...