Huku duniani kuna mifumo mingi sana ya kuondoa tawala yoyote ile madarakani,Baadhi ya njia hizo ni halalai na nyingine ni haramu.
Katika kutafuta haki unaweza kuamua kutumia njia halali au kuamua kutumia njia haramu yote inategemea tu na malengo yako kisiasa.
Je, ni kweli Chadema wamesihiwa...