Huwa siwezi kutumia linux completely kwenye mashine yangu haiwezekani, hivyo huwa nafanya dual boot Kwa Linux na window 10, baada ya kuona mapungufu kadhaa ya VM, ila kuna kipindi Microsoft walitoa WSL ambayo ina version kadhaa nadhani zimefika mbili mpaka sasa.
Hii inasifika kwa kuwa na uwezo...
Story of Change kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. Naanza kwa nukuu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Aliwahi kusema ili tuendelee tunahitaji mambo manne. Watu, Ardhi, Siasa Safi na Uongozi Bora. Katika haya nachagua Ardhi na Watu kukusanya fedha ya kutosha ikiwa ni mbadala wa Tozo...
GTs,
Hivi wapinzani wetu wataacha lini kufanya mikutano isiyokuwa na tija?
Juzi hapa Zitto Kabwe kaitisha kikao cha majungu majungu, yaani mchumi mzima anaongelea eti tulikosea kukabiliana na Corona utadhani yeye mwenyewe hajioni kuwa ni mfaidika wa njia sahihi na bora ya kukabiliana na korona...
Utangulizi
Kumekuwepo na utokeaji wa maafa mbalimbali kama vile moto, ajali n.k ambayo kwa kiasi kikubwa yamekuwa yakisababisha athari ambazo zinaathiri ustawi wa mtu mmoja mmoja na ustawi wa jamii kwa ujumla. Baadhi ya athari ambazo zimekuwa zikijitokeza ni pamoja na upotevu mkubwa wa nguvu...
Spika Ndugai amesema wabunge wameshapitisha tozo ya kizalendo kwenye miamala ya simu na sasa ni sheria hivyo asiyeitaka atupe njia mbadala ya kutufikisha 2025
Roho wa Bwana akamshukia mtumishi wake Jerry Slaa mbunge wa Ukonga naye akajibu; Wabunge tuanze kulipa kodi.
Labda kama Spika ana swali...
Kwanza ieleweke wazi kuwa kodi ya itayolipwa na wananchi kupitia manunuzi ya vocha za simu ni sawa na kodi ya kichwa waliokuwa wanatoza wakoloni kisha tukairithi na baadae kuondolewa miaka tisini baada ya kuwa ni kodi inayodhalilisha watu.
Kwamba ukiongeza salio unakatwa pesa ili kuchangia...
Kampuni ya Teknolojia ya China, Huawei inaanzisha mfumo wake mpya wa uendeshaji wa simu za janja (smartphones) unaojulikana kama HarmonyOS baada ya Marekani kuizuia kufanya kazi na kampuni ya Google.
Huawei inatarajiwa kuzindua mfumo huo leo kwa baadhi ya vifaa kama simu za janja, vishkwambi...
Bosi wa Uwanja wa Ndege wa Dubai, Paul Griffiths amesema haoni mbadala wa Hati za Kusafiria ‘Passports’ ambazo zitaambatanisha na chanjo za COVID19 ambao hawatakuwa wamechanjwa hawatasafiri
Hatua hiyo imekuwa ikikosolewa kuwa inabagua wale ambao hawana uwezo wa kupata chanjo, lakini Griffiths...
Kwa siku tano mfululizo maeneo haya umeme ifikapo jioni unakatwana bila taarifa kwa sisi wateja labda Kama tangazo Hilo sijalisikia.
Maeneo ya ubungo Mandela Rd kuanzia external, maziwa, hadi darajani unaotazamana na rivaside.
Pamoja na kuwa jirani kabisa na mitambo ya umeme ya ubungo...
Mganga wa tiba mbadala ndugu Shabani wa Lushoto mkoani Tanga amesema amegundua dawa ya kinga ya Corona ambayo imewasaidia watu wengi mkoani Tanga.
Shabani amesema dawa hiyo ni kinga kwa magonjwa yote ya mfumo wa kupumua na kwamba hadi sasa wabunge wengi wameshakwenda hapo Lushoto kunywa kikombe...
Leo katika kuchezea chezea simu nimekutana na mitandao ya kujuana, kuwa marafiki, kupeana kampani na hata kutafuta wapenzi.
Sasa nmeingiza app inaitwa badoo, tagged na tinder zote naona bila malipo ni sawa na kutoweza kuzitumia.
Unakuta unataka umtumie mtu meseji inakwambia ulipie elf 30 kwa...
Maalim Seif alikuwa mwanasiasa wa upinzani ambaye ameleta na kukuza upinzani huko visiwani Zanzibar na inasemakana ameshinda Mara kadhaa ingawa chama tawala hakikuwa tayari kumtangaza kuwa ndiye mshindi.
Jua lilichomoza na Sasa just limezama, Maalim nguvu na pumzi vimemuishia kiasi kwamba Sasa...
Nimeamua kuachana kabisa na harakati za kisiasa kwa nia ya kuitoa CCM. Nimeamua kuachana na njia za kisiasa kama kupiga kura, maandamano ya amani na mikutano ya kisiasa kwa sababu CCM haiheshimu maamuzi ya wananchi wengi kwa njia ya kura,au sauti za walio wengi. CCM wameamua kutumia nguvu za...
Tanzania inahitaji chama kipya cha upinzani chenye sera mbadala za kueleweka za kudumu kwa wananchi sio za matukio.
Hivi vilivyopo hakuna hata kimoja chenye sera ya kudumu kinachoeleweka sera zake za kudumu hasa ni zipi.
Hivi vya kwetu havieleweki kabisa vinaenda na matukio tu.
Mfano CCM...
Watanzania tumechoshwa na manyanyaso ya vyombo vya dola hasa polisi. Kila kukicha watu kupigwa risasi, kubambikiwa kesi na kuuliwa bila makosa.
Hatuoni hatua stahiki zinazochukuliwa au adhabu kwa wanaofanya haya makosa.
Wazee mlioko Rukwa, Kigoma, Handeni na Lushoto tunaomba mtusaidie, maana...
Hello bosses
Kwa hali ya sasa kumekua na wimbi la watu kukimbilia VPN ili kuaccess internet kwa wanaopata shida ya internet breakdown. Kutumia VPN kuna madhara yake ukiachana na slow speed kwa baadhi ya VPN providers.
Madhara makubwa ya kutumia VPN ni kwamba VPN provider wako anaweza kuona...
Dkt. Mwinyi mgombea wa kiti cha urais Zanzibar ni kiongozi mwenye hoja mama na falsafa za ukombozi zenye kujikita kwenye uungwana wa utu kwanza katika kuwatumikia watu, anashawishi anapojenga hoja na ana jenga hoja zenye mwelekeo wa sura za kiutumishi kwa Wazanzibar, ni viongozi wachache wenye...
Tulishuhudia kampeni za uchaguzi wa 2015 Lowassa akizunguka na timu nzima ya viongozi wakuu wa CHADEMA na karibu wabunge wote kila alipokuwa anakwenda kufanya kampeni.
Mwaka huu ni tofauti kidogo, tunaona kila Kanda ikijitegemea inatumia ratiba yake siyo kupangiwa na Makao Makuu, ndio maana ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.