mbadala

  1. kagoshima

    CCM wanaongoza nchi kisanii, ngumu sana kwa Tanzania kusonga mbele bila mbadala

    Nitataja mambo kadhaa 1. Kwanini mchakato wa katiba mpya awamu ya pili ya Mh Jakaya utumie mabilioni ya pesa kisha uwe abandoned kirahisi tu hivi????. Hizo fedha zingesaidia kumaliza tatizo la maji mikoa kadhaa yenye shida ya maji. They don't care 2. Baada ya zoezi la sensa meseji zinazotumwa...
  2. Nyankurungu2020

    Hakuna anayemhujumu Rais Samia. Wananchi kwa macho yao wanaona namna anavyoboronga ila hawana mbadala kwa sasa

    Bei ya vya vyakula ni mateso raia wa kawaida sasa ni mateso kuishi Tanzania kwa raia wa kipato cha chini. Maana kula imekuwa anasa. Wale mabwenyeye CCM wasio na huruna na raia wanyonge wameshika hatamu. Maana umeme kero,.maji kero ajira kero na amayeumia ni mlalahoi. Madeni ya taifa...
  3. Tengeneza Njia

    Apatikane Mbadala wa DAWASA na TANESCO ili kuongeza ushindani na ufanisi wa utoaji huduma

    Wadau, Katika kipindi chote cha kuona serikali tofauti tofauti hapa Tanzania kero ambazo zimekuwa zikijirudia rudia sana ni hii ya upatikanaji wa maji na umeme. Watanzania wameshazoea kuiomba serikali kupewa huduma hizi kitu ambacho ni haki yao tena ya msingi kama walipa kodi. Ifike mahali...
  4. Dr Matola PhD

    Tatizo la Maji nchini na hasa jiji la Dar hakuna njia mbadala kumaliza tatizo hili? Mimi napendekeza hili

    Hivi haiwezekani kutumia teknolojia ya maji taka yote kwenye vyoo vyetu kwenye majiji yetu Yale maji taka yarudi kwenye mzunguko kwa kuyatreat ili yawe maji safi na Salama? Kuna nchi moja nilitembelea ughaibuni mwenyeji wangu aliniambia wanatumia system hii ila sikumtilia maanani nilikuwa...
  5. JOTO LA MOTO

    Natafuta mshirika wa kuzalisha mkaa mbadala

    Habari nyote. Mimi ni Mjasiriamali na hivi karibuni nimeanzisha shughuli ya kuzalisha Mkaa mbadala kwa kutumia unga wa mbao, chenga za mkaa na makaratasi. Nahitaji Mtu au Watu wa kushirikiana nao, ikiwezekana Mtu Mwenyeji au aliye na wenyeji maana mimi sio Mwenyeji sana hapa Dar. Ninaamini...
  6. Lycaon pictus

    Katibiwe ila fahamu kuwa tiba mbadala wote ni matapeli

    Inasaidia sana kwenye saikolojia lakini fahamu watu wote wa tiba mbadala ni matapeli! Babu wa Loliondo, Sheikh Yahaya, Dr. Mwaka, Dr Ndodi, Sanitarium kliniki zote, wamasai, matabibu wote wanaojitangaza redioni, watu wa maombezi n.k n.k. Tiba mbadala wote ni matapeli, dawa zao hazifanyi kazi...
  7. N

    Njia mbadala ya kufidia tozo

    Serikali sikivu ya Rais Samia Suluhu baada ya kufanyia kazi maoni ya wananchi kuusu tozo sasa imekuja na njia zitakazofidia tozo njia moja wapo ni kupunguza matumizi ya serikali yasiokua na ulazima ambayo ni: -Semina zimepunguzwa ili kubana matumizi -Misafara, (magari) machache kubakizwa...
  8. U

    Msaada kuhusu tiba mbadala ya maumivu

    Ninaomba mwenye kuijua tiba mbadala ya maumivu ya mwili mzima anisaidie Tafadhali!
  9. Mtambo 1272019

    SoC02 Suluhu mbadala ya ukosefu wa ajira nchini Tanzania

    SULUHU MBADALA YA UKOSEFU WA AJIRA NCHINI TANZANIA Maana ya ukosefu wa ajira. Kwa maana ya kawaida na inayoeleweka na wengi. Ukosefu wa ajira humaanisha kitendo au hali ya mtu kukosa au kutokuwa na shughuli(kazi) rasmi ya kumuingizia kipato. Neno “ Ukosefu wa ajira “ imekuwa wimbo wa...
  10. Green Thoughts

    SoC02 Agizo lolote linapotelewa, muongozo wa mbadala wake utolewe, ili kuepusha kukiukwa kwa agizo hilo

    Tunaishi katika ulimwengu ambao kila mahali utakapofika au utakapodhuru kuna utaratibu maalum uliowekwa na wahusika wa eneo hilo ili kuepusha sintofahamu yoyote inayoweza kujitokeza, inayoweza kumgharimu mhusika au mgeni yoyote kwa namna moja au nyingine. Hii inaanzia katika ngazi ya mtu...
  11. 6 Pack

    Ten years now, tasnia ya movie imekosa mbadala wa Kanumba nchini

    Vipi wakuu, kwema huko mitaani. Ebwana inasikitisha kuona nchi kubwa kama TZ, iliyosheheni watu wenye vipaji mbali mbali vya uigizaji, anakosekana mtu wa kuziba pengo aliloacha hayati Kanumba. Mwanzo mwanzo Rey alikuja na mikwara ya kujifanya kuwa yeye ndo mwenye uwezo wa kuliziba na kulifunga...
  12. S

    Ushauri: Serikali iharakishe matumizi ya gesi asilia kama nishati mbadala kwenye mafuta ili kupunguza mfumuko wa bei

    Ukweli ni kwamba, japo bei ya mafuta mwezi huu imetangwaza kushuka, bado wananchi hawataona tofauti ya maana katika bidhaa na wala hakuna uhakika kuwa huko mbeleni mafuta yataendelea kushuka kwani yanaweza kupanda pia. Hivyo, kwakuwa bei ya bidhaa na huduma kwa kiasi kikubwa inachangiwa na bei...
  13. Action and Reaction

    Nani Mbadala wa Shomari Kapombe na Muhammed Hussein wakiwa majeruhi?

    Kwa muda mrefu nimeangalia kikosi chagu cha Simba na inanisikitisha pale ambapo Hussein anakuwa majeruhi au Kapombe kawa na majeraha mbadala wao hawapo Simba. Tangu wapo Misri pre-season siwakubali kabisaa Israel na mwenzake Gadiel Mbaga.... Uongozi wa Simba utafute wachezaji wa uhakika wa...
  14. Gotzon

    Serikali ingefanya haya kama mbadala kuwatua wananchi mzigo wa tozo

    Kuweka usimamizi mzuri wa fedha za umma, kuhakikisha fedha zote zitokanazo na ushuru, madini, utalii na kodi mbalimbali zinaingia mahali stahiki. Kupunguza matumizi na gharama zisizo za lazima kama kununua magari ya gharama kubwa, safari zisizo za lazima kwa viongozi, na kupunguza misururu ya...
  15. J

    Watumia ugoro kama mbadala wa tendo la ndoa

    Kama unadhani ugoro hutumika mdomoni na puani pekee kama sehemu ya kilevi, basi fahamu umeongezewa matumizi mengine kwa wanawake, wanautumia kukata hamu ya tendo la ndoa. Iwapo utapewa kiburudisho hicho kwa mara ya kwanza, hakika hutothubutu kukigusa kutokana na ukali wake, lakini hivi sasa...
  16. Raphael Thedomiri

    Adhabu mbadala wa viboko kwa watoto na wanafunzi wetu

    Hoja ya kutowacharaza watoto na hata wanafunzi mashuleni sio mpya, lakini je ni upi unaweza kuwa mbadala?! Nimejaribu kuwashirikisha njia mbadala niliyojifunza mahali fulani. Adhabu ya viboko ni ya muda mrefu sana duniani, ni ya karne na karne. Ikikita mizizi zaidi katika bara letu la Afrika...
  17. EINSTEIN112

    NHIF yasitisha mabadiliko yaliyokuwa yaanze 2/8/2022

    Baada ya wananchi kupigia kelele mabadiliko ya mfuko wa bima ya afya, hatimaye NHIF wamesitisha mabadiliko hayo. Hii ndio nguvu ya mitandao ya kijamii ============== Pamoja na hivyo kumetolewa taarifa mbili ambazo ni wazi zina onesha wahusika hawakujipanga, taarifa ya kwanza imetolewa na NHIF...
  18. Surya

    Ifike sehemu jamii Itafute mbinu mbadala ya Kuwafunda dada zetu

    Last time hapa nilikuja na kuandika uzi mfupi tu, sikupata muda wa kusema yoteee Kuhusiana na hili janga la dada zetu wengi kushindwa kusimama kama Mke wa mume fulani na kukaa na familia wa kwanza Mume na watoto kwa pamoja. Taraka za midomo zimekua nyingi sana, watoto wanzidi kukosa malezi ya...
  19. Gama

    Matatizo ni mtaji: Finland imegundua njia mbadala ya nishati

    Ama kwa hakika matatizo ni mtaji. Finland nchi ambayo imepakana na urusi na ambayo imekuwa ikipata nishati hasa ya gas kutoka Urusi na mabayo Urusi imeikatia huduma hiyo imegundua aina mpya ya nishati ambayo inaweza kuzalishwa na kuhifadhiwa kwa mda mrefu. Nishati hiyo ni betri maaluma ambazo...
  20. Action and Reaction

    Simba mjitahidi kumtafuta mbadala wa Shabalala na sio Gadiel Maiko

    Kwa kipindi kirefu nimemfwatilia Gadiel kwa kweli hatoshi kwenye namba ya Shabalala, ni vyema viongozi watafuta mchezaji mzuri wa timu za ndani anakayeweza kuitendea haki hiyo namba, mbona wapo huko nje ya Simba. Na ikikosekana basi msajiri kutoka nje tu iliekeweke kwani Shabalala naye ni...
Back
Top Bottom