mbadala

  1. sky soldier

    Wanaokimbilia Ndoa za Bomani ili kuoa zaidi ya mke moja, uhalisia ni tofauti, sheria zitakubana sana hautaweza kuongeza mke mpaka mkeo akubali

    Kwa watu hasa wakristo ambao ndoa ya dini zao huwaminya kubanana na wake zao mpaka kifo na wanatafuta mbadala wa kufunga ndoa kwa mataraajio ya kuongeza mke hapo mbeleni, huwa wanadhani ndoa ya serikali / bomani ndio mbadala. Uhalisia ni kwamba, ndoa ya bomani zipo za aina mbili, ya kwanza ni...
  2. Uhakika Bro

    Mbinu mbadala ya kumtambua potential 'soul mate' kwa kutumia vidole!

    Achana na nyota sijui nini mara nge mara ndoo sijui maji/moto etc!! , kule tena mbali sijui herufi za majina mara sijui jina la mama, kabila etc............ kuna njia rahisi sana ya tena inayogundulika mapema ya kumjua potential soulmate wako. Kabla sijaendelea naomba niweke wazi vile...
  3. B

    Pablo kuondoka ni sahihi. Matola naye asibake aje Pawasa mbadala

    KUONDOKA KWA PABLO NI SAHIHI KABISA Kocha yeye kila siku kulia Kocha amecheza mechi 4 na Yanga hajashinda hata moja hafai kuwa SIMBA Kocha hana mbinu za kuweka mpira chini, kushambulia kwa kasi, kutumia wachezaj vzr Kocha anadrooo nyingi muno hata mkumletea MESSI hawezi kudelievr MATOLA AONDOKE...
  4. Mshuza2

    Nimekuta mtu anatumia makaa ya mawe kama mbadala wa mkaa

    Ikoje hii kiafya? Kwanza una harufu kali sana..ni kujiongeza baada ya gharama za gesi kupanda au tuiteje? Ningependa kujua kama ni sawa au sio sahihi kwa matumizi ya nyumbani.
  5. Suley2019

    Igunga: Karatasi zinapotumika mbadala wa maji chooni

    Ni bomu kubwa linalotengenezwa linasubiri kulipuka na siku likilipuka litaacha madhara makubwa. Hivi ndivyo inavyoweza kuelezwa kwa kinachoendelea katika shule ya msingi Mwanzugi iliyopo wilayani hapa mkoani Tabora. Shule hii iliyo umbali wa kilomita 10 kutoka makao makuu ya halmashauri ya...
  6. B

    Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali inatafuta njia mbadala za kupunguza gharama za maisha

    SERIKALI INATAFUTA NJIA MBADALA ZA KUPUNGUZA GHARAMA ZA MAISHA - MAJALIWA *Aitisha kikao cha kutathmini bei ya mafuta WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutafuta njia mbadala ambazo zitapunguza gharama ya maisha kwa Watanzania kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta katika...
  7. Tunkamanin

    Malalamiko: kampuni ya umeme mbadala zola ichunguzwe

    Kampuni hii ilijijengea jina na heshima kubwa sana kwa watanzania hususan vijijini kwa kusaidia kutoa suluhisho LA umeme mbadala. Kwa sasa hawa jamaa wanatumia jina lao kulaghai watu. Ni warongo sana watu hawa kwa wateja wao. Ukiwalipa pesa ili wakufungie mtambo, pasa wanakula na mtambo hipati...
  8. ajent45

    Naomba kujua dawa mbadala ya vidonge vya once a day Kwa ajili ya vitamini vya macho

    Nimekuwa na shida ya macho yenye uoni hafifu kwa miaka kama mitatu sasa siwezi kuona maandishi madogo hata nikitumia lenzi yeyote ya miwani nilienda CCBRT waliniandikia dawa nyingi lakini nilipokuwa nameza sikupata nafuu nikaamua kwenda Muhimili kwa bima niliyokatiwa na mzazi baada ya vipimo...
  9. T

    Umoja Party kikiachana na tabia za upinzani wa sasa kitakuwa chama mbadala

    Muda mrefu hofu ya watanzania ni nani mbadala wa CCM kama CCM ikiondolewa? Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi niseme kweli nchi yetu bado haijashuhudia chama cha kuiondoa CCM hata kama CCM imechokwa sana bado wanaliona tumaini ndani ya CCM kuliko nje. Kuna tabia fulani fulani zilizokuwa...
  10. ACT Wazalendo

    Waziri Mkuu Kivuli, Dorothy Semu aja na mbadala wa hotuba ya Bajeti ya Waziri Mkuu

    MAELEZO YA NDUGU DOROTHY MANKA SEMU, WAZIRI MKUU KIVULI ACT WAZALENDO KUFUATIA HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU KUHUSU MAPITIO YA KAZI NA MWELEKEO WA SERIKALI NA MAKADIRIO YA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA WA 2022/2023 Ndugu Wanahabari, Mtakumbuka kuwa Bunge linaendelea kujadili mwelekeo...
  11. C

    Msaada wa kipimo mbadala

    Wakuu habarini za wakati huu. Nimeenda Muhimbili wameniandikia kipimo cha OGD. Kwa ninavyosikia hiki kipimo maumivu yake ni hatari. Naombeni msaada kama huwa kuna mbadala wake. Shida yangu kubwa ni maumivu ya kifua ya muda mrefu ila pia nimegundulika kuwa na vidonda vya tumbo. Nilipewa dozi...
  12. U

    Ninahama CRDB; ni benki gani inayoweza kuwa mbadala bora kwa Dar es Salaam?

    Ndugu wasomaji, Nimeamua sasa kuachana CRDB bank kutokana na makato yasiokuwa na Tija yoyote. Najiuliza, hivi ndio kusema kuweka fedha bank ni utajiti? Makato yao yanaumiza sana na hayana uhalali wa aina yoyote, haisadi sekta ya bank kukua, mitaji kukua, kukopesha nk. Nadhani ni wakati wa BoT...
  13. Suzy Elias

    Kwa nia njema kabisa, Rais Samia mfute kazi Waziri Makamba

    Samia,una habari Nchi ipo gizani? Hivi unatambua umeme ni bidhaa adhimu mno Tanzania kote kwa sasa? Una habari unapo kuwa kule batani ambapo sasa ndipo ulipopapenda wenzako huku wanajipigia tu pesa kwa kuainisha vi projects fulani fulani? Natambua utakuwa nje ya Nchi zaidi katika Utawala wako...
  14. Tony254

    Hongera Kenya. 92.3% ya umeme wetu ni wa nishati mbadala (renewable energy)

    92.3% ya umeme wetu ni renewable energy. Tutagonga 100% kabla ya mwaka wa 2030. Renewables Provided 92.3% Of Kenya’s Electricity Generation in 2020! As the world races to decarbonize, Kenya’s electricity sector is well on the way to being powered by 100% renewables. According to the latest...
  15. sky soldier

    Hata kwenye Katiba inayotubana kuna viongozi wenye nafuu, sijaona mbadala wa Rais Samia

    Yes, ni kweli katiba yetu imepitwa na wakati na imebana sana uhuru wa kisiasa, Lakini katika maisha haya ya Watanzania licha ya hiyo katiba sijaona kiongozi mwenye nafuu kuzidi Raisi wetu. Hebu naomba ukumbuke tu kile kipindi cha magufuli yani katiba ilitumika ndivyo sivyo, uhuru wa kujieleza...
  16. mr mkiki

    Chama kipya cha Siasa kinachoitwa "Umoja Party" kuanzishwa

    Chama Kipya Kinakuja, Kinaitwa Umoja Party...
  17. N

    Barabara Mbadala Kilwa Road

    Njia kuu za kuingia na kutoka jiji la Dar ni Morogoro Road na Kilwa Road. Kinachosikitisha ni kwamba njia ya Kilwa haina mbadala mzuri pale magari yanapoziba njia, labda mtu apite Magogoni au darajani . Tofauti kubwa unapopita Morogoro RD barabara za mchepuko ziko nyingi: 1. Selander Bridge...
  18. itakiamo

    Mbadala ni huu hapa

    Kwa wale wapenzi wa movie wanaopakua kwa kutumia netnaija tunajionea changamoto ya baadhi ya movie kutokuwepo, kuna website inaitwa fzmovies.net hii ina movies nzuri zenye quality nzuri na mb chache
  19. TheDreamer Thebeliever

    Kuna hasara gani kama Taifa tunazipata kwa kutokuwa na sera ya uraia pacha au "Special Status" inaweza kuwa mbadala?

    Habari wadau...! Habari wadau ebu leo tujadili kuhusu haya mambo ,naona siku hizi mbili yamekiki sana huku kwetu tunaohishi udayasporani baada ya muingereza mtanzania kuibuka na tuzo ya Nobel. Karibuni tujadili.
  20. lucas meshack

    SoC01 Njia mbadala ya Tozo ya Miamala ya Simu

    LUCAS MESHACK Hivi karibuni serikali kupitia Bunge lilipitisha sheria ya tozo katika mihamala ya simu kwa njia ya simu. Sheria hiyo ilitokana na mapendekezo ya Bajeti ya Serikali 2021/22 pamoja na sheria ya fedha ilipelekea kuweka tozo katika miamala ya fedha inayofanywa kwa njia ya simu, jambo...
Back
Top Bottom