Mbagala is an administrative ward in the Temeke district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. The ward lies south of the Dar es Salaam central business district. According to the 2002 census, the ward has a total population of 70,290. It is also the site of an army base, which was hit by a deadly ammunition dump explosion on April 29, 2009.
Salaam,Shalom.
Leo nitarudia kuandika japo kidogo kuhusu mji huu maana niliwahi kujaribu kuandika miezi kadhaa iliyopita, thread ilifutika yenyewe.
Mbagala Saku, Maji MATITU, maji meusi ndipo Hasa kilipo KITI Cha enzi Cha muungu wa Nchi ya Nyikani, wanajua waliyoyafanya hao viongozi wa watu...
Hii sijui ni tetemeko au ni kitu gani, wataalamu tunaomba mfuatilie na mtupatie majibu, Ardhi inapasuka na nyumba zinabomoka, eneo ni Saku Mwisho DSM
---
Taharuki imeibuka kwa wakazi wa Mbagala Saku baada ya kutokea kwa mpasuko mkubwa wa ardhi na kusababisha kubomoka kwa nyumba nyingi za...
Hii njia sasa imeshakuwa kero kwa wananchi. Haipiti siku bila kutokea ajali eneo la mzinga darajani mpaka kongowe. Wiki iliyopita lori lilifeli breki na kusomba wapita njia na kuwaingiza mtoni. Zaidi ya watu 5 walifariki hapo hapo. Wiki iliyopita nyuma yake lori liliangukia bajaji na wakapotea...
Habari ndugu zangu, leo imetokea ajali kubwa Mbagala wamekufa watu zaidi ya wa 4. Ajali hii imepelekea wananchi kufunga barabara, na kuandamana kwasababu wanadai hii ni ajali kama ya 30 hivi na wamelalamika sana kwa uongozi lakini suala hili halitatuliwi, hapo kwenye video wananchi wanalalamika...
NMB Mbagala, Poor service mtu unasimama kwenye foleni zaidi ya Lisaaa limoja teller mmoja, Vyumba vingine hakuna huduma, Sasa manager sijui hii resources ya staff anaitumiaje, nyingine Closed, Uchumi utakuwa kweli kwa namna hii? Just pissed……
HUDUMA YA MAGARI YA MWENDOKASI (BRT) IANZE MBAGALA
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa inayoongozwa na Makamu Mwenyekiti wake, Mhe Lazaro Nyamoga imefanya ziara ya kikazi ya kukagua mradi wa ujenzi wa miundombinu na uendeshaji wa mabasi yaendayo haraka
Akiongea...
Je supu ya ngozi ya ng'ombe inayouzwa maeneo ya mbagala inausalama kiafya
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Supu ya ngozi imayochanganywa na mapupu & bandama ambayo hupelekea rangi yake kuwa nyeusi ni maarufu maeneo tajwa
Wadau je kiafya kuna Usalama?
Karibuni tujadili
Wakazi wa mbagala kiburugwa tunaomba serikali iwajibike ipasavyo, barabara hii ni kubwa sana ila ni mbovu haipitiki kipindi cha mvua na kikiwa kipindi cha jua kali ni vumbi na mchanga mwingi kiasi kwamba inahatarisha watumiaji wake. Watumiaji wa hii barabara tunateseka.
Kuna kitu sijui naweza kusema ni nini, maana si ndege kwa muonekano wa taa ulivyokuwa mrefu, ila nimeshindwa kuelewa kwa sababu ya giza.
Kimetokea uelekeo wa Bagamoyo kwenda kigamboni, mliopo huko hadi mbagara mnaweza kutujuza au anayeweza kuelewa ni kitu cha aina gani.
Kwenye komenti No. #7...
Nasikitika nchi hii haina waandishi wa habari za kiuchunguzi kama zamani. Mradi wa mabasi yaendayo kasi Mbagala umeanza kuchakaa tayari kabla ya kuzinduliwa.
Zege lina majani, michanga kama vile limejengwa 80s, vituo vinapigwa vumbi tu. Pikipiki na Bajaji ndio zimejimilikisha njia hiyo...
Ni neema juu ya neema Kwa Sisi wakazi wa maeneo haya ya mbagala,chamazi,msongola,kitonga Hadi chanika baada serikali kutaka kuanza ujenzi ramsi wa barabara 4 ( 2 lanes)..
Toka mwezi uliopita TANROAD wamepigwa alama ya X nyumba zote zilizopo kwenye hifadhi ya barabara pamoja na notes ya siku 14...
"Watoto wetu huku Mbagala kwa Makusudi kabisa wakimuona Mtu tu mwenye Ugonjwa huu wa Macho wa Red Eyes wanaenda Kumshika na hata Kugusisha mikono yao na Macho ya hao Wagonjwa kisha kujigusa katika Macho yao ili Waugue na watege kwenda Shuleni" amesema Mzazi akiongea muda si mrefu na Mtangazaji...
habari wadau.
Utafiti wangu binafsi katika Kata moja inayoitwa TAMBANI iliyopo Mbagala Mbande kuna misikiti 36 ambayo imejengwa na wafadhili taasisi za kiislamu za wa Arabu na bado inaendelea kujengwa mingine.
kinachonishangaza kwa nini Wafadhili hao hawajajenga shule hata moja waislamu...
Bei ya Viwanja huko Tegeta, Bunju na Boko ni kubwa mno ukilinganisha na Mbagala, lakini linapokuja suala la Mvua Mbagala haina mafuriko kabisa kulinganisha na Tegeta, Bunju na Boko.
Sasa kinachowafanya wengi kukimbilia huko ni nini?
Bila shaka huyu ni kigogo mzito sana, anajenga frem kwenye hifadhi ya barabara, ndani ya kituo cha mwendokasi Mbagala, kibali amepata wapi? Ilikuja Tanroad ikasimamisha ujenzi na kupiga X jamaa akafuta kwenye x za kijivu ujenzi unaendelea, wakaja tena wakarudia kupiga X bado mafundi wanapaua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.