mbagala

Mbagala is an administrative ward in the Temeke district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. The ward lies south of the Dar es Salaam central business district. According to the 2002 census, the ward has a total population of 70,290. It is also the site of an army base, which was hit by a deadly ammunition dump explosion on April 29, 2009.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    DOKEZO Vituo vya mwendokasi ya Mbagala vinajengwa chini ya kiwango

    Kichwa cha uzi kinajitosheleza, wahusika chukueni hatua mapema. Zege lilotumika cement ni kidogo sana, limeanza kubomoka kabla ya matumizi. Screws, bati na zile bars miaka miwili tu zitakua zishahalibika na kutu.
  2. A

    DOKEZO Ubovu wa Barabara ya Mbagala - Mbande ni kitegauchumi

    Ubovu wa Barabara kutoka Mbande kwenda Msongola imekuwa ni kama kitega uchumi. Ni Barabara ambayo haijengwi Bali huchongwa tu kwa greda tu kwa muda Kisha huaribika tena na kurudiwa kuchongwa mfano kipindi hiki cha masika wamechonga kabla mvua hazijaisha imechongwa tena na tayari imeshaharibika...
  3. benzemah

    Kasi ya Rais Samia Usipime, Hospitali Ghorofa Sita Yanukia Mbagala

    Imeandikwa katika gazeti la mzalendo: Kasi ya Rais Dk. Samia Suluhu kufanya mageuzi makubwa nchini inazidi kuleta neema kwa wananchi, safari hi Serikali imekuja na mpango wa kupanua huduma za afya, ikiwemo kujenga hospitali yenye ghorofa sita. Jiji la Dar es Salaam ikiwemo eneo la Mbagala...
  4. Hismastersvoice

    Update: Zinakaribia saa 24 Mbagala hakuna umeme.

    Wakazi wa Mbagala jana kuamkia leo hawana umeme na sasa ni saa 8:19 hawana umeme ni kasoro saa tatu zitimie saa 24 za Tanesco kutokuwa na umeme.
  5. Roving Journalist

    Wananchi wa Mbagala wapelekewa huduma za kibingwa za mifupa, ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imeendelea kusogeza huduma zake za kibingwa kwa Wananchi katika maeneo mbalimbali hapa nchini, ambapo wagonjwa 150 wamehudumiwa katika Hospitali ya Epiphany Mbagala iliyotolewa Machi 31, 2023. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt. Anthony Assey amesema...
  6. Roving Journalist

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) yapeleka kliniki maalum Mbagala

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Hospitali ya Wilaya ya Epiphany inatarajia kuendesha kliniki maalum (MOI Mobile clinic) kwa wa kazi wa Mbagala jijini Dar es Salaam. Kliniki hiyo itahusisha huduma za kibingwa na kibobezi za mifupa, Ubongo, Mgongo na mishipa ya...
  7. kimsboy

    Kwanini ukijenga nyumba Vikindu na Mbagala hata iwe ya kifahari itakuwa ya kishamba tu?

    Kwanini hivi huwa hata ujenge ghorofa mjengo wa milioni 200 wa kuishi Chamazi, mmbande, mbagala hadi Vikindu bado tu itaonekana ni kama umechezea hela? Au umejenga sehemu isiyo faa au lazima itaonekana ina kasoro? Maana utaskia mtu anasema "daaah mjengo mkali ila upo mbagala' "Mjengo mkali...
  8. BARD AI

    Barabara ya Mwendokasi kutoka Gerezani - Mbagala kukamilika Aprili 2023

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema awamu ya pili ya ujenzi wa barabara za mabasi yaendayo haraka kutoka Gerezani hadi Mbagala Rangi tatu, utakamilika Aprili. Mradi huo unahusisha ujenzi wa barabara zenye urefu wa kilomita 20.3. Pia ujenzi wa vituo 27 vya mabasi ya...
  9. M

    Mbagala Chamazi kuna nyomi la watu, kumekuwa na fursa nyingi za biashara

    Kuna wimbi kubwa la wafanyabiashara na biashara kwa ujumla kwa maeneo ya Mbagala kata ya Chamazi: Hii ni kutokana na nyomi la watu: Siku hizi kumekuwa na biashara nyingi sana, sasa kwa anaeogopa kuanza biashara Mbagala fursa ndo hiyo… Tafuta sehemu ambazo mji umekuwa
  10. 2019

    Mwendokasi Mbagala ukikamilika utasababisha foleni ya kihistoria, Serikali ichukue hatua hizi mapema

    Kwanza kuna tofauti kati ya mwendokasi ya Gerezani na maeneo mengine ya Morogoro rd ba na Gerezani na Mbagala. Mbagala kuna gari nyingi sana, afu pia njia kuu Kilwa rd ndio inayotumia kwa daladala kupakia abiria. Mfumo huu ni mbaya sana kwani unasababisha foleni kwa sababu njia ya kupita vyombo...
  11. Suley2019

    Magari ya Mbagala ni kama magari ya vita

  12. Mbute na chai

    Kwanini nyumba za Chamazi, Mbagala, Chanika zinauzwa sana?

    Kwenye matangazo mengi, mf. Kupatana, Facebook market n.k, utakuta matangazo mengi ya nyumba zinazouzwa zipo Mbagala Chamazi. Ni kwanini? Hii inatia shaka hata kununua nyumba hizo. Kunani Chamanzi?
  13. Hismastersvoice

    Mbagala Dar es Salaam ni chafu sana, inanuka

    Eneo la Mbagala lililomo kwenye wilaya ya Temeke ni eneo chafu sana sana, ili uweze kuelewa ninachokisema kabla haujanipinga ni vizuri utembelee eneo la Rangitatu nina uhakika hata hizo Rangitatu hautaziona kutokana na uchafu ulioko huko. Mbagala ina barabara kuu ya Kilwa japo kote inaonekana...
  14. M

    Mnaposema Dar es Salaam itapata maji 100% ni ipi hiyo? Ile ya Mabwanyenye wa CCM na washirika wao? Vipi madongo poromoka kama Buza na Mbagala?

    Nina hakika mtandao maji ya Dawasa haujtandaa Dar yote. Ni baadhi ya maeneo tu ndio kuna mtanado huo Sasa hao wanaokaaa madongo poromoka mnawafikiria vipi na wao? Mtakuwa mnajaza waterbowser na kuwapelekea? Ndiyo kusema mnaposema Dar mna maanisha mnapooshi nyie mabwanyenye?
  15. BARD AI

    Bungeni: Milipuko ya mabomu Mbagala yatafuna Tsh. Bilioni 17.4

    Waziri George Simbachawene amesema Serikali ilitumia kiasi hicho kuwapa pole waliothirika na milipuko iliyotokea Aprili 29, 2009 katika Kambi ya JWTZ KJ 671 na kuua zaidi ya watu 29. Amesema wananchi 12,647 waliathirika na mlipuko huo uliosababisha huku watu kujeruhiwa na familia nyingi kukosa...
  16. Replica

    Mabasi 750 ya mwendokasi kuanza kazi Mbagala Machi mwakani

    Mabasi 750 Yaendayo Haraka yanatarajiwa kuanza kufanya kazi katika barabara ya Mbagala jijini Dar es Salaam, Machi 2023. Mradi huo ambao ni awamu ya pili unatarajiwa kuanza na mabasi 750 kutokana na wingi wa watu katika eneo hilo. Mradi wa mwendokasi Mbagala utasaidia kusafirisha abiria...
  17. Roving Journalist

    DOKEZO Wananchi wa Mbagala walalamikia DAWASA kusitisha huduma ya mwekezaji binafsi

    Wakazi wa Mitaa ya Bughudadi, Kizinga na Moringe, Kata ya Mbagala wameilalamikia Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) wa kutowatimizia mahitaji yao ya maji maeneo yote na kudai kuwa hali hiyo inawalazimu kutumia muwekezaji binafsi kupata huduma hiyo. Malalamiko hayo...
  18. F

    Mwalimu wa Shule ya Msingi Mbagala Kuu apandishwa kizimbani kwa kumbaka mwanafunzi wa Darasa la Sita

    Mwalimu wa Shule ya msingi Mbagala Kuu, mkazi wa Mwanamtoti aitwaye Ally Said Kaule (26) maarufu kama Sir Ally amepandishwa kizimbani katika mahakama ya wilaya ya Temeke kwa kosa la kumuingilia kingono mwanafunzi wake wa darasa la sita. Akisomewa mashtaka leo Jumanne mbele ya hakimu mkazi Aziza...
  19. adriz

    Majibu ya hoja za uzi kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani nitajibu humu

    Habari za muda huu wana Jf, nimeona na kusoma comments zote za uzi wa Retired wenye kichwa cha habari " Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani? Nilichogundua watu wamekosa umakini kwa kiwango kikubwa watu wengi wanajadili bila facts na porojo nyingi sasa nimejipanga kujibu baadhi ya hoja...
  20. R

    Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?

    Miaka nenda miaka rudi, ardhi ya Mbagala imekuwa haina thamani pamoja na kuwa na watu wengi. Nenda Goba, kivumbi, miji ya juzi. Mbagala ya zamani haina hadhi mpaka leo. kwanini?
Back
Top Bottom