Mbagala is an administrative ward in the Temeke district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. The ward lies south of the Dar es Salaam central business district. According to the 2002 census, the ward has a total population of 70,290. It is also the site of an army base, which was hit by a deadly ammunition dump explosion on April 29, 2009.
Taharuki imetawala maeneo ya Mbagala-Zakhem, baada ya Polisi kupiga mabomu ya machozi kuwatuliza wafanyakazi zaidi ya 1,000 wanaotengeneza barabara ya mwendokasi kugoma wakishinikiza kulipwa stahiki zao.
Tukio hilo lilitokea leo, Septemba 6,2021 baada ya Polisi kupiga mabomu hayo mara mbili...
Mahabusu waliokuwa wanashikiliwa kwenye Kituo cha Polisi cha Maturubai, kilichopo Mbagala wilayani Temeke wametoroka baada ya kumpiga askari kisha kuvunja lango la chumba cha mahabusu na kutokomea kusikojulikana.
Tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa moja usiku, jijini Dar es Salaam...
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makala umetoa matamko sana tangia ule kiapo cha kuwa Mkuu wa Mkoa, cha ajabu hakuna linalotekelezwa hata moja
1) Ulianza na machinga ukachimba biti weeeh mwisho siku hakuna lililotekelezwa.
2) Ukaenda kukagua mradi wa mwendo kasi Mbagala ukachimba biti ukatoa siku 3...
Niende moja kwa moja katika hoja ya msingi. Leo nikiwa natokea maeneo ya kijichi majira ya saa mbili usiku, nimeshangaa sana kuchukua zaidi ya masaa mawili bila ya kufika mtongani. Yes naelewa ujenzi wa barabara unaoendelea lakini bado sitaki kuamini kwamba inaweza kuwa sababu ya kuwaweka watu...
Naipongeza serikali kwa ujenzi wa BRT Phase ya Mbagala kwenda Kariakoo. Shida inakuja pale inapojengwa barabara bila vituo vya daladala wakati wakijua fika kuwa lazima daladala ziwepo.
Angalia shida iliyopo BRT ya kuanzia kimara mpaka inapoishia, barabara haina vituo vya daladala na wakati...
Mgombea wa Udiwani wa ACT Wazalendo Kata ya Mbagala Kuu, Shaweji Mketo amekamatwa na Polisi akiwa kituo Cha Kupigia kura ambako alikwenda kuzuia watu wasioandikishwa kupiga kura.Amejuruhiwa mguuni na Polisi akiwa mikononi mwao na sasa anapelekwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa yaTemeke.
Wadau Habari zenu. Kuna dawa kuku mpya nilisikia muda kidogo ikitangazwa kwenye redio jina sikumbuki vizuri maana nilisikia kwa mbali tatu kwa moja yaani inakuwa na newcaster na mchanganyiko wa dawa zingine mbili na kufanya kuwa mchanganyiko wa dawa tatu kwa pamoja sasa swali langu kwa kisiwa...
Waswahili ama waafrika tuna ujinga wa kuwaza "hakuna kitakachotokea" ndio maana mambo mengi tunafeli.
Wakati wenzetu walioendelea wanawaza kwamba "kitatokea kitu".
Mswahili haoni shida kuendesha gari hajafunga mkanda hawazi kabisa kwamba endapo ikitokea ajali bila kufunga mkanda naweza...
Weekend iliyopita nilikuwa bar moja ukipita Dar live upande wa kushoto.
Saa moja usiku nipo counter, kaja dada mmoja ile kumuangalia tu kosa, kanifata ananinong'oneza chumba 5000 na mimi 5000 kwampalange tunaenda hata sikujua nijibu nini. Sitakuja tena Mbagala bakini huko na ushenzi wenu. Acha...
Katika kipindi cha matukio Times fm
Imekuja na ripoti ya mayor wa Temeke kuhoji uwepo wa soko la ghorofa Mbagala.
Kauli hii imetoka wakati wa kikao cha baraza la madiwani ambapo mayor alitolea mfano soko la ghorofa lkn pia mayor huyo ametoa rai kwa kamati ya fedha ya baraza ilo kutembelea...
Mbunge Abdallah Chaurembo amesema Kata za Mbagala, Kilungule na Kibonde Maji hazina kabisa Shule za Sekondari licha kwamba Sera ya Serikali ni kuwa na Sekondari katika kila Kata.
Akiwa Bungeni, pia amezungumzia hali ya msongamano wa Wanafunzi madarasani katika Shule mbalimbali zikiwemo Mbande...
Moja kwa moja kwenye dhumuni la mada hii, huu mradi wa mwendo kasi kutoka Kariakoo mpaka Mbagala umekuwa kero sana. Si asubuhi, mchana ama usiku ni kero mtindo mmoja, kero yenyewe ni kujitokeza foleni. Yaani huu mradi umefanya iwepo kamba ya maana si mchezo. Hivi hiyo kampuni ama serikali haioni...
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Temeke, Abdallah Mtimika na kuwa mazishi yake yatafanyika leo katika makaburi ya Tanita yaliyopo eneo la Kibonde Maji.
Mmoja wa wahudumu nyumba hiyo ya kulala wageni (jina lake linahifadhiwa) amesema diwani huyo alifika akiwa...
Land is suitable for both farming and commercial development purposes.
Fully fenced, great access, 8.3 acres’ land.Price TZS 8,500 million.Title deed ready.
Please contact for viewing and/or further information. 0784225000
Habari za sikukuu!
Biashara ya miwa imeshika kasi sana maeneo ya Mbagala hasa toka kizuiani mpaka Mbagala rangi tatu, ukipita njia ya Mbagala maeneo hayo utakuta vijana wengi sana wanajipatia ridhiki yao kwa kufanya biashara hiyo ambayo kiukweli inafanya vizuri kutokana na muonekano wa maeneo...
Hii ndio awamu ya sasa nchini Tanzania ambapo kila kiongozi anayo mamlaka ya Uteuzi kwenye eneo lake, kama ambavyo Mh Diwani amefanya.
Bado haijafahamika kama wateule hawa wataapishwa lini ili waanze kulitumikia rasmi Taifa.
KIWANJA KINAUZWA
KIPO-DAR ES-SALAAM Tz
MAHALI-MBAGALA
ENEO - CHAMANZI
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃
UMBALI DK 4 TOKA BARABARA KUU YA LAMI
__________
NYUMA YA SHULE YA SEKONDARI YA CHAMANZI
_______
UKUBWA WAKE KIMEPIMWA #SQM_2643
_____
NYARAKA ZA UMILIKI KINA #HATI SAFI
_____________...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.