Mbagala is an administrative ward in the Temeke district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. The ward lies south of the Dar es Salaam central business district. According to the 2002 census, the ward has a total population of 70,290. It is also the site of an army base, which was hit by a deadly ammunition dump explosion on April 29, 2009.
Mtenja serious
____________
KIWANJA KINAUZWA MBAGALA CHAMAZI MBANDE BEI 💵 M3.3 KULIPA KWA AWAMU MTAA UMETULIA UDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO MAJI UMEME YAPO
CONTACT US 0768041126
0689357572
Hali kwa sasa ishakuwa Tete leo majira ya saa Saba usiku kundi la vijana wapatao 50 wamejeruhi watu watatu nakuiba pesa na Mali Kama tv halI ya majeruhi n mbaya Sana wapo temeke hospitali.
Tunaomba serikali iwape nguvu Zaid jeshi la polisi na mgambo kwa vifaa na ujuz pia.
Huku tozo huku wizi...
Siyo ule wimbo tunaoimba huku tumesimama wima mithili ya askari anayelinda benki ya CRDB.
Siyo ule wimbo ulioimbwa kabla ya Timu ya Taifa kupigwa risasi moja ya kichwa na Timu ya Taifa ya Uganda katika michuano ya CHAN pale kwenye uwanja wa Mkapa. Siyo huo !
Huu ni wimbo sugu unaoimbwa na...
Jengo la hospitali ya Mbagala Zakhiem lilifunguliwa na Rais Kikwete Desemba 2012, leo hii jengo hilo halifai kwa matumizi kwani lina nyufa nyingi sana, kwa ujumla limechakaa kupita kiasi likiwa na umri wa miaka 10 tu!
Je, haya majengo ya Serikali hukaguliwa kila hatua ya ujenzi na mamlaka husika?
Katika hali isiyo ya kawaida, mabasi/ daladala zenye TLB inayotolewa na LATRA Mbaga mpaka GEREZANI/ Kariakoo imekuwa shamba la bibi.
Kutoka kituo cha Kariakoo, Gerezani mpaka makao makuu ya LATRA ni kilometa 2 tu lakini Daladala zikifika kariakoo siti za kukaa ni shilingi 1000 na kusimama ni...
"Utakuta watu wa route hii ya Makumbusho Posta wana ustaarabu, akikuta gari limejaa kwanza hapandi, tofauti na route za Mbagala, hata mwonekano wa kondakta na dereva wa gari la Posta uko smart, "- Sgt Amin Iddi, Traffic Dar.
"Umepanda pikipiki dereva anaenda isivyo wewe unashindwa kumwambia...
Wananchi wa Mbagala Rangi Tatu Kesho mtaanza rasmi kutumia mabasi ya mwendokasi kutoka Mbagala Hadi viwanja vya Sabasaba yanapofanyika maonyesho ya kimataifa ya biashara ya Dar es Salaam.
Nashangaa kuona UJENZI WA hovio WA BARABARA mwendo Kasi kwenda Mbagala iko hovio.
Injinia WA mkoa, wilaya as if wao wanaishi mbinguni, hawaoni hawaioni hiyo adha ya hiyo BARABARA.
Tunaomba wafike saiti waangalie.
Habari za jioni
Kuna kaubishani kametokea site, sasa vijana wameshiba wanabishana kati ya Mbagala na Gongo la Mboto ipi kubwa zaidi?
Kwa anayejua ningependa kufahamu
Thank you
Ndani ya Masaa Matatu ya leo nimepishana na Mawakala Watatu Mmoja wa PSG ya Ufaransa, mwingine wa FC Barcelona ya Hispania na wa mwisho ni wa Klabu yangu pendwa ya Liverpool FC ya nchini Uingereza wote Wakihaha kutaka Kuonana na Viongozi wa Klabu ya Simba ili wamsajili Kipa Namba Moja kwa sasa...
Zile dalili na vurugu walizofanya machinga Mbagala Rangitatu, leo siku ya Jumanne wamedhihirisha kuwa hawako tayari kuhama, wamerudi barabarani kwa kishindo.
Toka saa 4 kamili usiku umeme umekatika, wananchi wa Mbagala tupo gizani na ni muda wa kukabwa.
Huyu waziri ana faida gani kwetu?
Nikisema mnaona mimi namchukia.
KUKAMATWA WATU 27 KWA TUHUMA ZA KUIBA MIFUKO YA SARUJI BAADA YA AJALI YA MALORI MBAGALA
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linawashikilia watu 27 kwa tuhuma za kuiba mifuko ya saruji baada ya ajali ya malori mawili eneo la Mbagala Mission.
Mnamo tarehe 04/10/2021 saa 04:30 asubuhi eneo...
Hii ndio Taarifa inayozunguka mitandaoni kwa sasa, ambapo baada ya lori hilo kubwa kupata ajali wananchi wa eneo hilo badala ya kuokoa majeruhi wamejisombea mifuko ya cement, huku wengine wakirejea tena na tena bila kipingamizi chochote.
Chanzo : Millard Ayo TV
MYTAKE : Hivi ndio vitu ambavyo...
Kama kuna mtoto wa kiume aliyepo Dar anicheki PM. Ni kazi ya siku 1 tu namtuma Kibaha na Mbagala posho elfu 15. Kwa maelezo njoo PM. Ni kazi inahitajika kufanyika kesho Jumatano. Ahsanteni!
UPDATE: Nimepata mtu tayari miongoni mwa waliokuja PM. Shukrani sana!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.