mbagala

Mbagala is an administrative ward in the Temeke district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. The ward lies south of the Dar es Salaam central business district. According to the 2002 census, the ward has a total population of 70,290. It is also the site of an army base, which was hit by a deadly ammunition dump explosion on April 29, 2009.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Barabara ya Mbagala hadi Kongowe inatesa wananchi Serikali itupie jicho

    Kwa wakazi wa Toangoma Kongowe Mkuranga Vikindu na hata abiria wanaotokea Dar kwenda Lindi, Mtwara, Songea na masasi watakuwa wameshakutana na kero ya kipande cha barabara kutoka Mbagala hadi Kongowe ambapo Barabara ni nyembamba sana. Kero ya barabara hii hutokea pale mlima wa Kokoto ambapo...
  2. 2019

    Kipindi hiki cha mvua Tandika siyo sehemu ya kwenda kabisa

    Wilaya masikini kabisa kwa mkoa wa Dar es Salaam ni Temeke, wilaya yenye watu duni kabisa ni Temeke, wilaya iliyochelewa kabisa kimaendeleo ni Temeke. Hata mipango na miundombinu duni kabisa ni Temeke. Inaongoza kwa uchafu pia. Jambo la kushangaza nimepita soko Tandika kuna mitaa imepangwa...
  3. J

    Kondo Bungo alishinda Ubunge Mbagala, lakini hakutangazwa. Kesi yake ilikaa mahakamani miaka 4 kisha hukumu ikasema kesi "ime-expire"

    ..Kondo Bungo anaeleza jinsi alivyodhulumiwa. ..Kuna sababu za msingi wapinzani kutokuwa na imani na tume zetu za uchaguzi.
  4. Suley2019

    Rais Magufuli atembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete. Ujenzi wa Nyumba hiyo inajengwa na Serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999...
  5. Kididimo

    Mzee Kikwete leo Mbagala umenena vyema kuwa miradi mingi ya awamu hii uliiasisi wewe japo wa gesi ya Mtwara hujauongelea

    REA, Shule za Sekondari, Barabara za Lami nk ni baadhi ya miradi uliyoiasisi au kuiendeleza ulipokuwa Rais wetu. Mungu akubariki kwa kuwa mkweli. Tulifika mahala tukaaminishwa kwa nguvu za ajabu kuwa awamu zilizopita hazikufanya kitu! Nilimsikia mgombea mmoja akisema kuanzia wakoloni hadi...
  6. Mackanackyyy

    Kutoka Mbagala, namsikiliza JK akimnadi Magufuli, JK anazungumzia mafanikio ya Serikali yake badala ya kazi za Magufuli

    Tatizo la Rushwa: Serikali ya Awamu ya 4 ndo iliona tatizo hilo ndo maana akiwa Mwenyekiti wa CCM akataka jambo hilo liingizwe kwenye Ilani ya CCM na kumkabidhi Magufuli, kwa hiyo kazi ya kupambana na Rushwa aliianza yeye Elimu bure: Mwishoni Mwa Utawala Wake kulikuwa na Mjadala Mkali...
  7. J

    Hata Yusuf Manji alipogombea Udiwani Mbagala alikuwa akitumia Chopa, inasaidia kuvuta watu mkutanoni

    Tunakumbushana tu kwamba hata Yusuf Manji wakati anagombea Udiwani kule mbagala alitumia usafiri wa chopa. Chopa ni moja ya burudani katika mikutano ya wanasiasa kwani watu wengi hukusanyika kwenda kuishangaa. So Tundu Lissu kutumia chopa ni sawa tu na CCM inavyopendwa na wasanii akina Diamond...
  8. NCCR Mageuzi

    Uchaguzi 2020 Zakheim Mbagala: Yaliyojiri kwenye ufunguzi wa kampeni za NCCR-Mageuzi

    Chama cha NCCR-Mageuzi kinafanya uzinduzi wa kampeni pamoja na Ilani ya chama hii leo Septemba 05, 2020 kwenye Viwanja vya Zakheim, Mbagala jijini Dar es salaam. Viongozi mbalimbali akiwemo mwenyekiti wa chama ndugu James Francis Mbatia pamoja na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  9. Civilian Coin

    Uchaguzi 2020 Chama Cha NCCR-Mageuzi kuzindua kampeni Jumamosi tar.5/9/2020 Mbagala Zakhiem

    Chama kikongwe Nchini na maarufu kwa mchakato wa Katiba kinatarajia kuzindua kampeni zake Jumamosi hii jijini Dar es salaam kwa Kishindo kikubwa Sana. Wadau wote mnakaribishwa. Mimi sio msemaji wa chama Ila mdau wa MABADILIKO. DON NALIMISON Simu Na: 0682 94 29 01.
  10. Jaji Mfawidhi

    LATRA/SUMATRA wanakaa ofisini na kuacha wamiliki mabasi kujipangia nauli watakavyo

    Wakala wa usafiri wa Mchi kavu yaani The Land Transport Regulatory Authority (LATRA) ilianzishwa na sheria ya bunge t No. 3 of 2019. zamani tukiita SUMATRA. Gilliard W. Ngewe ndiye mkurugenzi mkuu wa LATRA, na makao makuu yapo LATRA Head Office,SUMATRA House, Nkrumah Street , Box 3093...
  11. YEHODAYA

    Uchaguzi 2020 CHADEMA hivi hitaji kuu la wakazi wa Mbagala ni kurudishwa majina ya Wabunge waliokatwa na Tume?

    Kampeni mtu unatakiwa ueleze changamoto za mahali husika na utakavyotatua CHADEMA Mbagala mbunge wao hajakatwa na tume lakini CHADEMA imewaeleza kuwa kipaumbele ni kurudishwa wabunge waliokatwa na Tume. Je, hilo ndilo hitaji la watu wa Mbagala?
  12. G

    TBC watimuliwa mbio na CHADEMA baada ya kukata mara kwa mara matangazo ya uzinduzi wa kampeni Mbagala Zakhiem

    Kinachofanyika ni kwamba muongeaji akianzankuigusa Serikali na taasisi zake wao wanazima matangazo na watangazaji kujitia waongeaji na wachambuzi. Hili nililitegemea.
  13. Roving Journalist

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa

    Salaam Mkuu, leo Ijumaa tarehe 28 Agosti 2020 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kinafanya uzinduzi wa kampeni za urais wa Tanzania zinazofanyika, Uwanja wa Zakhiem, Mbagala jijini Dar es Salaam. Tundu Lissu ndiye anayepeperusha bendera ya Chadema kwenye nafasi ya urais na Salumu...
  14. J

    Tukitoka Mbagala kwa Tundu Lissu nawakaribisha Uhuru kuwashuhudia Dulla Mbabe Vs Kiduku

    Baada ya heka heka za ufunguzi wa kampeni za CHADEMA huko Mbagala si vibaya makamanda mkapitia pale uwanja wa uhuru " shamba la bibi" kumshuhudia kijana wetu wa mwananyamala Dulla Mbabe akimchakaza Kiduku kwa knock out ya mapema kabisa. Siasa siyo uadui, karibuni sana akina bwashee. Maendeleo...
  15. kipapi

    Natafuta nyumba ya kupanga Mbagala

    .
  16. Jindal Singh

    Ni miaka 7 sasa ya mabomu ya Mbagala hakuna maazimisho

    Salaam... Wakuu mnajua tukio la Mabomu Mbagala na matukio mengine yanayogharimu maisha ya watu wengi huwa serikali wanayafumbia macho katika kuandaa maazimisho yake. Milipuko ya Mabomu - Mbagala ni tukio lililotokea mnamo saa 11:45 asubuhi ya tar. 29 Apili ya mwaka wa 2009 katika eneo la...
  17. Lunyungu

    Malipo ya mabomu Mbagala: Waathirika walipwa Fidia Tshs 1,950

    Waathirika mabomu ya Mbagala walia fidia finyu Imeandikwa na HabariLeo Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana mbele ya baadhi ya waathirika hao, Katibu wa Kamati ya Waathirika hao, Thomas Mbasha, alisema baada ya ajali hiyo, walilipwa fidia ndogo na waliandika...
  18. kbm

    Waathiriwa wa mabomu Mbagala walalama

    Mkutano kati ya waandishi habari na Waathirika wa Mabomu Mbagala, ambao umefanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Mbagala Kuu, jijini Dar-Es-Salaam mapema leo. Waathirika hao wapatao 1,361 kati yao 25 wameishapoteza maisha kutokana na athari za mabomu hayo. Mlipuko huo wa mabomu ni tukio...
  19. kibogo

    Waathirika wa Mabomu Mbagala Kuu Waibuka na kumlilia Kikwete walipwe stahiki yao

    WAATHIRIKA wa milipuko ya mabomu iliyotokea katika Ghala la Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Mbagala Aprili 29 mwaka 2009 wameibuka upya wakimuomba Rais Jakaya Kikwete kuwasaidia wapate malipo stahiki kutokana na milipuko hiyo iliyosababisha vifo na kuharibu nyumba na mali zao mbalimbali. Ombi...
Back
Top Bottom